ZABURI 91 mstari 1. KJV-lite VERSES

Similar documents
John Lesson Eighteen Yohana Somo la Kumi na Nane

There is one God Mungu ni mmoja 1

Psalms 91:1-16 King James Version February 24, 2019

Psalms 91:1-16 King James Version February 24, 2019

Psalm 91 (NKJV) He who dwells in the secret place of the Most High, Shall abide under the shadow of the Almighty. I will say of the LORD, He is my

Pre-Departure Program Swahili Unit 11 Worksheet UNIT 11: LOCATIVES, PREPOSITIONS, AND RELATIVE AND OBJECT INFIXES

The Ninety-First Psalm

PRAYER FOR ISRAEL. The Lord's Prayer

three Diary YEAR She looketh well to the ways of her household; AND EATETH NOT OF the bread of idleness Proverbs 31:27

NO AUTHOR IS LISTED FOR THESE PSALMS THE PRECEDING PSALM 90 HAS ALWAYS BEEN ATTRIBUTED TO MOSES AND CERTAIN COMMON THEMES ARE PRESENT IN PSALMS 91

MALAIKA: WAJUMBE WA MUNGU

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF BOMAS OF KENYA

NEW INTERNATIONAL VERSION

Verses 1-8: God Is Our Refuge. Verse 1 a. This verse speaks of great nearness a condition of God s promise to both the psalmist and to us.

The Most High s Protection, Power and Promises

Adult Sunday School Lesson Summary for November 21, 2010 Released on Wednesday, November 17, 2010

BARAZA LA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA (Mawasiliano yawasilishwe kwa MSAJILI)

Lastly Father, thank You for assigning angels to each of us, to protect us and to keep us from harm. We love You Father. Amen

Kitabu Changu cha Mistari ya Biblia Swahili

An Order for Compline

NEW LIFE IN CHRIST MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO

An Order for Compline

An Order for Compline

NANDI COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

You are the God of Abraham. I will not be afraid, for you are with me. Genesis 26:24

Psalms Ch. 91 page 1 of 8 M.K. Scanlan. Psalm 91. Authorship: Anonymous, possibly Moses or David - could make an argument for either.

PSALM 91: LOVE & SECURITY OF THE GODLY

Compline. Alleluia. Psalm 4 Cum invocarem

Dwelling in the Secret Place September 17, 2017 Pastor Derek Forseth

The Four Lepers Saved the Day!

EVANGELISM FOR CHRIST UINJILISTI KWA AJILI YA KRISTO

The First foundational key to winning the fight of faith is to know by revelation that Jesus is God.

SATAN TEMPTS JESUS IN THE WILDERNESS

God Bless America! Prayer for Revival in America

Je, Umesikia Juu Ya Kanuni Nne Za Kiroho?

Imâm Al-Albâni, Katika Kumsifu Mwanafunzi Wake, Muheshimiwa Sheikh Ali Hasan 1

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF

MTIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA KIRINYAGA YA KATI MWAKA WA 2013

Kuishi Maisha Tele. Katika mwanzo wa mwaka mpya, Niliwapa changamoto

BARUA YA TATU KWA SHEIKH UBAYD AL-JÂBIRĪ [AULIZWA SHEIKH UBAYD] NA Sheikh Sālim at-twawîl (hafidhahullāh)

The Man Who Thoroughly Trusts God Psalm 91

ABIDING AND HEALTH Part #2. Sermon by Dr. Ron Susek Antrim BIC Church October 16, 2011

The General Synod of the Church of England

Living With God's Loving Assurance

NEW INTERNATIONAL VERSION

Jameson Daniel Edward Whittaker CELEBRATION OF LIFE

Walking With Jesus - Kids Clubs Curriculum A Chronological experience of the Life of Christ.

Hymn #591- I Know My Heavenly Father

Jesus is By Chris Monnerjahn

UNDERSTANDING TRUE BIBLE FELLOWSHIP and FAITH quotes

Welcome to Promise Land Bible Church We re glad you re here!

Evensong 16 November 2018 at 5:15 p.m. Salem Ballroom, Benton Convention Center

Under the Shadow of His Wings

This is the Day that the Lord Has Made I will Rejoice & Be Glad in It!

first sunday of lent

AMITY BIBLE CHURCH To Know God and To Make Him Known

For the Lord is good and His love endures forever; His faithfulness continues through all generations. Psalm 100:5 NIV

Celtic Eventide Compline

Compline in Lent, Sunday

An Order for Compline

Ukweli Uliopotea - Sehemu Ya Tatu

Facing the Giants (Deut. 9:1-6; I Samuel 17: 45-50)

The Lord empowers me to prosper! The Lord will show me good joy, peace, and safety! The Lord will protect me!

NO FEAR UNDER HIS WINGS CONFIDENCE IN GOD S PROTECTIVE CARE GIVES VICTORY OVER FEAR. TO EQUIP GOD S PEOPLE FOR A LIFE OF VICTORY OVER FEAR.

A SMALL GROUP STUDY SUPPLEMENT for

Dhana ya Ndoa ya Mitala na Ndoa za Mtukufu Mtume

Psalm 91:1-16; Isaiah 40:27-31 On Eagles Wings Hymns of Faith Sermon Series January 5, 2014

Deuteronomy (Deuteronomio) 1:1-3:22

HOLY COMMUNION ACCORDING TO THE KENYAN RITE

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, MANDERA CENTRAL CONSTITUENCY, HELD AT RHAMU

Robert Baral*Hospital Chaplaincy*Verbatim 7*Ministry in Critical Illness*6/14/2008*p 1/9

Compline. Our help is in the Name of the Lord; The maker of heaven and earth. Let us humbly confess our sins to Almighty God.

WELCOME TO GOD S SERVICE A.C.K. ST. LUKE S PARISH UMOJA & TENA CHURCH QUOTE OF THE WEEK PRAYER OF THE DAY

The 91 st Psalm. Psa 91:2 I will say 559 of YHWH, 3068 He is my refuge 4268 and my fortress: 4686 my Elohim; 430 in him will I trust.

VACATION BIBLE SCHOOL VBS. Newsletter. #Rebuilding through prayer, hard work & perseverance.

FOUNDATIONS OF FAVOR Lesson 3

And I say also unto thee, That thou art Peter, and upon this rock I will build my church; and the gates of hell shall not prevail against it.

Your God is Too Weird Your God is Too Series November 14-15, 2015

Ujasiri wa Kimaadili. Mojawapo ya madhumuni ya maisha ya duniani

February 9, 2017 COUNTY ASSEMBLY DEBATES 16 MOMBASA COUNTY ASSEMBLY

Ukweli wa hadith ya karatasi

AN ORDER FOR COMPLINE

For God has not given us a spirit of fear and timidity, but of power, love, and self-discipline.

SCRIPTURES & CONFESSIONS FOR PREGNANCY AND CHILDBIRTH

NANDI COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

2002 Version of the Basic Talk on "Using African Proverbs, Sayings, Idioms, Riddles, Stories, Fables, Play

Sura al-ahzaab. Tafsiri na Maelezo. Abdilahi Nassir

Finding God in the Dark Places. (Psalms 6, 42 & 91)

Tawasali. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags:

I ve Got Plans for You!

STRONG TOWER. Strong Tower. Proverbs 18:10 The name of the Lord is a fortified tower; the righteous run to it and are safe.

DECEMBER Tis the Season to. Serve

Repent: Turn to Jesus and Not to Yourself

Celebration of Life Lived by Freda G. Rebelsky. Carman Center Mayflower Community Grinnell, IA. Rev. Christine Tinker.

The Lord be with you And with your spirit

Bismillah ar-rahman ar-raheem SHAHADA 1 YALIYOMO

ARTIN M LUTHER COLLEGE WORSHIP COMPLINE I

DINI JE, DINI NI MUHIMU?

The Sixth Hour. The Royal Hours of Holy Friday

Crying Out To God. Luke 18:7 And shall not God avenge his own elect, which cry day and night unto him, though he bear long with them?

Transcription:

This Psalm is a talk between those bringing the Good News and an individual who responds and then with our great God who has been listening to this conversation; and at the end, He also wants to jump in. (Some messenger or messengers first speak ) 1 He that dwells ( in Hebrew language, this is one simple word: yashab meaning to dwell, or to inhabit. Psalm 23: says, I will dwell in the house of the Lord; Psalm 22 says, Thou are holy and dwells in the praise of Thy people. And here in Psalm 91, we discover an individual a man or a woman is in focus) He or She who dwells in the secret place ( the word is: cether; Psalm 119 speaks of a hiding place. Now days, we would best understand this place of an emergency as a storm shelter hidden from the hurricane; or even that area identified by the yellow tape surrounding and sectioning off a police or medical emergency we re learning about a help zone) He or She who dwells in the help zone of the most High ( in Hebrew: ELYON The Supreme; The Highest God first recorded in scripture as the name God used when He spoke to Abraham our father of faith) (He or she who dwells in that shelter zone, that emergency zone wherever that is: on the beach, in the office; on skid row; on death row; wherever someone needs the Lord s help, the promise is: He is there ) shall abide ( lodges and passes the night) Zaburi hii ni majadiliano kati ya waletao habari njema... na mtu ambaye anajibu... na kisha kwa Mungu wetu mkuu ambaye amekuwa anasikiliza mazungumzo haya; na mwishoni, Pia anataka kuruka katikati ya mazungumzo yayo. (Baadhi mjumbe au wajumbe wa kwanza kuzungumza...) 1 Aketiye (...kwa Kiebrania, hii ni neno moja rahisi: yashab... maana kwamba wakae, au kukaa ndani Zaburi 23: anasema, nami nitakaa nyumbani mwa Bwana; Zaburi 22 inasema, Wewe ni takatifu na anakaa katika sifa ya watu wako Na. hapa katika Zaburi 91, tunagundua... mtu binafsi-mtu au mwanamke... ni katika mwelekeo) Yeye... ambaye aishiye... mahali pa siri (...neno ni: cether; Zaburi 119 inazungumzia mahali pa kujificha. Siku ya leo, tunaweza bora kuelewa nafasi hii ya dharura kama makazi ya siri kutoka upepo wa dhoruba; au hata eneo linalo tambuliwa na mkanda wa njano...au mahali palipo teuliwa na polisi au matibabu ya dharura kuhusu au kutoa msaada) Yeye ambaye aishiye ndani ya eneo wa msaada... wa Aliye juu sana (...kwa Kiebrania: ELYON... Mkuu; Mungu Aliye Juu... mara ya kwanza ilipoandikwa katika maandiko kama jina la Mungu, alitumia wakati alizungumza na Ibrahimu... baba yetu wa imani) (Yeye... ambaye aishiye ndani ya hiyo sehemu ya siri au ya dharura... popote pale iwepo: pwani, katika ofisi, wasio na makazi, walio gerezani, waliohukumiwa kunyongwa, popote mtu anahitaji msaada wa Bwana, ahadi ni: Yeye yupo pale...) watakaa (...chumba cha wageni... au makazi ya kulalia usiku) 1 ilibros.net internacional 2012

under the shadow ( and that s very close) the shadow of the Almighty ( this Hebrew name is: Shaddai; first identified with the God of Abraham, Isaac and Jacob literally: the breasted One: God, from the beginning, identifies best His loving nature with that of a mother who would nurture and comfort her infant child; the Lord will provide all this individual needs) He that dwells in the help zone of the most High, abides under the shadow of the Almighty. (Hearing this good news, that individual responds ) 2 I will say to the LORD, my Refuge my Fortress: my God; in Him will I trust ( this is one Hebrew word: batach; meaning like leaning on a walking cane, I will lean on the LORD; Confidently, I will put my full weight on Him because He will be my support and hold me up. So, are we remembering all these names of GOD? He is: the Most High; He is: the Almighty; He is Yahweh; my Refuge; my Fortress my God). (The messenger continues ) 3 Surely He shall deliver thee ( God has always promised to be the Deliverer of His people. This word can mean: to quickly grab and snatch away) Surely He shall deliver thee from the snare of the fowler, and from the noisome pestilence ( from whatever evil has been designed to entrap; or destroy, He will deliver). chini ya kivuli (...na hiyo ni karibu sana) kivuli 'ya Mwenyezi' (...jina hili kwa Kiebrania ni: Shaddai, kwanza kutambuliwa na Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo... halisi: Aliye na matiti mengi: Mungu, tangu mwanzo, anabainisha bora asili yake ya upendo... na ile ya mama ya kulea na kumfariji mtoto wake, Bwana atatoa mahitaji yote... anayohitaji) Yeye aishiye... katika ukanda wa msaada wa Aliye juu sana hukaa chini ya kivuli ya Mwenyezi. (Kusikia habari hii njema, huyu mtu binafsi anajibu...) 2 nitasema... BWANA ndiye, kimbilio langu... Ngome yangu: Mungu wangu; Nitakayemtumainia (...hii ni neno moja la Kiebrania: batach; maana... kama anaye egemea na kutembea kwa usaidizi wa fimbo, nami nita egemea BWANA; Kwa ujasiri, nita weka uzito wangu wote... juu yake... kwa sababu yeye atakuwa msaada wangu na kushikilia. Hivyo basi, je? sisi hukumbuka majina haya yote ya MUNGU? Yeye ni: Aliye juu Mungu Mkuu; Mwenyezi; Yeye ni Bwana; kimbilio langu; Ngome yangu... Mungu wangu). (Mjumbe anaendelea...) 3 Hakika Yeye atakuokoa (...Mungu daima ana ahidi kuwa Mkombozi wa watu wake. Neno hili linaweza kumaanisha: kunyakua kwa haraka) Hakika Yeye atakuokoa na mtego wa mwindaji, na katika tauni iharibuyo (...kutoka chochote mbaya umebuniwa kukunasa, au kukuharibu, Yeye atakukomboa). 2 ilibros.net internacional 2012

4 He shall cover thee ( here, the psalmist describes a mother-hen coming to the protection of her chicks this word: shall cover thee is the same word used to describe the cherubim stretching forth their wings over the Ark of the Covenant covering the mercy seat) He shall cover thee with His feathers ( with his pinions: Did you know, in the high deserts, farmers know rattle snakes do not like peacocks? When the peacock displays his pinions all the farm animals, even rattlesnakes know they are not safe and better flee!), He shall cover thee ( like a mother-hen) He shall cover thee with His feathers, and under His wings shalt thou trust ( this one word is: hasa; it is best understood when we see the trusting little chicks scurry for shelter to hide underneath the mother-hen s wings. Here, the psalmist reminds us: Faith is not merely a mental assent to something; but it is first and foremost an action word. In this case running to the Shelter as fast as our little feet can carry us! God expects it; He s waiting and ready to help so do it!) He shall quickly grab thee He shall cover thee with His feathers ( already displayed for the enemy of our soul to see), and under His wings shalt thou scurry and take refuge even think twice about it): ( don t His truth ( He is the way to safety. He is the truth; we can count on what He has said; what He has promised in His word. He always speaks truth. 4 Yeye atakufunika (...hapa, Mtunzi anaeleza kuku anavyo walinda vifaranga vyake... neno hili: atakufunika... ni neno moja na lile linalotumiwa makerubi kunyosha mabawa yao juu ya sanduku la Mkataba... kufunika kiti cha rehema) Yeye atakufunika... na manyoya yake (...na manyoya yake: Je, unajua, katika jangwa,wakulima hujua... njuga nyoka hampendi tausi; Wakati Tausi anaonyesha manyoya yake... wanyama wote, hata njuga nyoka... wanajua hakuna usalama na bora kukimbia!), Yeye atakufunika (...kama mama kuku) Yeye atakufunika... na manyoya yake, Chini ya mbawa zake utapata kimbilio (...neno moja hii: hasa, ni rahisi kueleweka tunapoona wanavyoamini vifaranga wanapotawanyika kukimbilia kigao chini ya mbawa kwa ajili ya ulinzi... kujificha chini ya mbawa wa mama kuku. Mtunzi anatukumbusha: Imani...sio tu kufikiria jambo akilini, lakini kwanza kabisa imani inahitaji hatua; Katika kesi hii... kukimbilia chini ya ulinzi kwa kwa haraka iwezekanavyo! Mungu anatutarajia; Anasubiri... na yuko tayari kusaidia... kwa hivyo fanya hivyo mkimbilie!) Naye Atakunyakua haraka... Atakufunika... na manyoya yake (...tayari kuonyesha adui wa roho zetu ili aone), chini ya mbawa zake... Nawe utapata kimbilio (...wala usi sita site katika mawazo ): Ukweli wake (...Yeye ndiye njia... ya usalama. Yeye ni kweli; tunaweza kuamini kwa uhakika yale aliyoahidi katika neno lake. Yeye daima husema kweli. 3 ilibros.net internacional 2012

It is the other one, the deceiver and enemy of our soul, who is the father of lies. But the Lord will deliver us from all his traps and snares and wicked devices.) (Here, we are learning about the LORD, the Almighty, my Refuge and Fortress ) His truth shall be thy shield and buckler ( so, not only will I lean on the LORD for support to hold me up; but also, His truth is our protection; and if found in the storm shelter needing help, His truth will buckle up and tie it all together). (The messenger continues ) 5 You shall not be afraid for the terror by night; nor for the arrow that flies by day; 6 Nor for the pestilence that walks ( or more likely, stalks) in darkness; nor for the destruction that wastes at noonday ( so more clearly: whatever is coming your direction day or night; you won t need to be afraid). 7 A thousand shall fall at thy side (Wow!), and ten thousand at thy right hand ( in other words, you may find yourself standing alone); but it shall not come nigh thee ( oh, it will try. You know, Jesus said, the gates of hell shall not prevail; but He does not mean to suggest those damned gates of hell will not try!) but it shall not come nigh thee ( that is the promise: that is His truth!) Ni yule muovu adui, mdanganyifu na adui wa roho yetu, ambaye ni baba wa uongo. Lakini Bwana atatukomboa na mitego yake yote tauni na hila mbaya.) (Hapa, tunajifunza kuhusu BWANA Mwenyezi, kimbilio langu na ngome...) Ukweli wake utakuwa ngao na kigao (...hivyo, si tu kuegemea BWANA kwa msaada wa kunishikilia niliye mnyofu; lakini pia, ukweli wake ni ulinzi wetu; na iwapo kuwa katika hitaji wa msaada; lijapo dhoruba, Ukweli wake utakuwa mkanda wa usalama kufunga na kufunikia yote pamoja). (Mjumbe anaendelea...) 5 Hutaogopa hofu ya usiku; wala mshale urukao mchana; 6 Wala tauni ipitayo (...au ifuatayo,) gizani; wala uele uharibuo adhuhuri (...hivyo kwa uwazi zaidi: lolote lijalo kinyume yako usiku au mchana, huna haja ya kuwa na hofu). 7 Ijapo watu elfu waanguka ubavuni pako (Wow!), Naam! kumi elfu mkono wako wa kulia (...kwa maneno mengine, unaweza kujipata... umesimama peke yako); bali hautakukaribia wewe (...ah, ndio itajaribu, Yesu alisema, milango ya kuzimu haitawashinda; Hivi hakumaanisha kwamba yale milango ya kuzimu hayata jaribu!!) bali hautakukaribia (...hiyo ndio ahadi: Na ndio ukweli wake!) 4 ilibros.net internacional 2012

8 Only with your eyes shall you behold and see the reward of the wicked. (Once again this individual this man or woman speaks up ) Verse 9 The LORD is my Refuge! (So the messenger continues ) Because you have made the most High, thy habitation; 10 There shall no evil befall thee, neither shall any plague come nigh thy dwelling. 11 For He ( Almighty God) He shall give His angels charge over thee, to keep thee in all thy ways. 12 They shall bear thee up in their hands, lest thou dash thy foot against a stone. 13 Thou shalt tread upon the lion and adder ( that old roaring lion; and even, that old serpent and enemy of our soul): the young lion ( the junior evil minions and satanic aspirants) and the dragon ( in other words, should the occasion arise, even evil himself) shall you trample under feet ( in great victory! Now, the Lord GOD has been listening to this conversation, and it is as if He Himself got excited with all this Good News; and now He is going to speak So pay attention!) 8 Ila kwa macho yako utatazama na kuyaona... malipo ya waovu. (Kwa mara nyingine tena... huyu mwanaume au mwanamke anaongea tena...) Mstari 9 BWANA... ni kimbilio langu! (Kwa hiyo mjumbe anaendelea...) Kwa sababu umemfanya aliye juu, Kuwa makao yako; 10 Mabaya hayata kupata wewe, wala pigo yoyote kuja karibu na makao yako. 11 Kwa kuwa Yeye (...Mwenyezi Mungu) Yeye... atawaamuru malaika zake, wakulinde katika njia zako zote. 12 Mikono mwao watakuchukuwa, usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe. 13 Utawakanyaga simba na nyoka (...yule simba mzee angurumae; na hata yule nyoka wa kale, aliye adui wa roho yetu): Mwana-simba (...kiwango cha chini cha wagombeao shetani) na joka (...kwa maneno mengine, hata muovu mwenyewe) utawaseta kwa miguu (...katika ushindi mkubwa! Sasa, Bwana MUNGU amekuwa akisikiliza mazungumzo haya, na ni kana kwamba yeye mwenyewe kwa msisimko na Habari hii yote njema; na sasa anaenda kuzungumza... sasa weka makini!) 5 ilibros.net internacional 2012

Verse 14 Because he hath set his love upon Me ( or the verse could read: because she delights, or even because he or she clings to Me and will not let go!), therefore will I deliver him ( I will bring him to safety): I will set him on high, because he has known My name. 15 He shall call upon Me, Mstari 14 Kwa kuwa amekaza kunipenda (...au aya ingeweza kusoma: kwa sababu furaha yake kwangu, au hata kwa sababu yeye... au yeye anavyo...ni n gan gania!), basi nitamokoa (...nami nitampeleka kwa usalama): Nami nitamweka palipo juu, kwa kuwa amenijua jina langu. 15 Ataniita and I will answer him: I with him ( and did we hear that?) I with him in the trouble ( He is there in the day of our distress, if we call on Him; He is there in the time of our affliction. He comes to join us in the trouble. Psalm 20 says, The LORD hears thee in the day of trouble. Notice, our tendency is to say: God, get me out of my trouble. But it is in the trouble, where our faith and confidence in the LORD God is tried in the fire, and we discover again and again: He can be trusted. It is as if GOD Himself wants to jump into the messy situation; and beat up all the alligators and crocodiles circling around us); I with him in the trouble ( the Lord GOD says) I will deliver him ( this word is: chalats; meaning: not only to deliver, and to rescue; but also, to equip for battle!), and honor him ( as God our Father tells us to honor our father and mother so likewise, our heavenly Father will honor this individual) nami nitamuitikia: Mimi... pamoja naye (...Je? tunaelewaa ) Mimi... pamoja naye... taabuni (...Yupo nasi... siku ya taabu au dhiki yetu, tukimuomba; Yeye hakika yupo... wakati wa taabu au dhiki. Anakuja kujiunga nasi katika taabu. Zaburi 20 inasema, BWANA akujibu siki ya dhiki. Ilani, tabia yetu ni kusema: Mungu, niondoe nje ya dhiki yangu. Lakini ni katika taabu, ambapo imani yetu na kujiamini katika Bwana, Mungu inajaribiwa katika moto, hapo tunagundua tena: Yeye anaweza kuaminiwa. Ni kana kwamba MUNGU Mwenyewe anataka kuruka ndani ya hali ya machafuko; na kuwapiga wote mamba wanaozunguka karibu nasi); Mimi... pamoja naye... taabuni (...Bwana MUNGU asema) Nita mkomboa (...neno hili ni: chalats; maana: si tu kutoa, na kuokoa, lakini pia, kuwatayarisha vitani), na kuwaheshimu (...Vile ambavyo Mungu Baba yetu anatueleza ku heshimu wazazi wetu... hivyo vivyo ndivyo, Baba yetu wa mbinguni atamuheshimu mtu huyu ) 6 ilibros.net internacional 2012

16 With long life will I satisfy him, and show him My salvation ( this Hebrew word is evidence of God s great goodness, and incredible generosity to all who will run to Him; who will lean on Him. This word for salvation is: yeshuah. It means: salvation; but it also means: deliverance, health, welfare, prosperity and victory! What is also interesting is that from this word, we get the name for JESUS. So what is God saying? Because he clings to Me I will deliver him. because he knows My name he shall call upon Me, and I will answer. I with him in the trouble. I will deliver; and honor; With long life will I satisfy him, and show him My Salvation. My Yeshuah. My JESUS! 16 Kwa siku nyingi nitamshibisha, nami nitamuonyesha wokovu wangu (...neno hili la Kiebrania ni ushahidi wa wingi wa wema wake Mungu, na ukarimu wa ajabu kwa wote ambao watakaomkimbilia; na kumuegemea. Hili neno wokovu ki maana: yeshuah. Ina maana: ukombozi, lakini pia ina maana, ukombozi, afya, ustawi wa jamii, mafanikio! Jambo la kuvutia ni kwamba... kutokana na neno hili,tunapata jina la YESU. Kwa hiyo kile ni Mungu anasema nini? Kwa sababu amekaza kunipenda... Nitamuokoa. kwa sababu anajua jina wangu... ataniita, na Nitamjibu. Mimi... pamoja naye... taabuni. Nitamuokoa; na kumheshimu; Kwa siku nyingi Nitamshibisha, na kumwonyesha Wokovu wangu. Yeshuah wangu. Yesu wangu! 7 ilibros.net internacional 2012