Imâm Al-Albâni, Katika Kumsifu Mwanafunzi Wake, Muheshimiwa Sheikh Ali Hasan 1

Similar documents
BARUA YA TATU KWA SHEIKH UBAYD AL-JÂBIRĪ [AULIZWA SHEIKH UBAYD] NA Sheikh Sālim at-twawîl (hafidhahullāh)

John Lesson Eighteen Yohana Somo la Kumi na Nane

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF BOMAS OF KENYA

Ukoo Wake Na Kunasibika Kwake:

Pre-Departure Program Swahili Unit 11 Worksheet UNIT 11: LOCATIVES, PREPOSITIONS, AND RELATIVE AND OBJECT INFIXES

Ukweli Uliopotea - Sehemu Ya Tatu

MTIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA KIRINYAGA YA KATI MWAKA WA 2013

NANDI COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

Tawasali. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags:

Dhana ya Ndoa ya Mitala na Ndoa za Mtukufu Mtume

NEW INTERNATIONAL VERSION

There is one God Mungu ni mmoja 1

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF

EVANGELISM FOR CHRIST UINJILISTI KWA AJILI YA KRISTO

ZABURI 91 mstari 1. KJV-lite VERSES

NANDI COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

Ukweli wa hadith ya karatasi

BARAZA LA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA (Mawasiliano yawasilishwe kwa MSAJILI)

NEW LIFE IN CHRIST MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO

Bismillah ar-rahman ar-raheem SHAHADA 1 YALIYOMO

Imam Mahdi katika Usunni Na Ushia

Sura al-ahzaab. Tafsiri na Maelezo. Abdilahi Nassir

MALAIKA: WAJUMBE WA MUNGU

Published on Al-Islam.org ( Home > Mahari ya Damu > Mahari ya Damu. Mahari ya Damu

DINI JE, DINI NI MUHIMU?

Gazeti la kwanza la Kiislam kutolewa kwa lugha ya Kiswahili - mwaka 1936

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, MANDERA CENTRAL CONSTITUENCY, HELD AT RHAMU

AHMAD AL-RAYSUNI. SWAHILI VERSION idara ya Lugha na ukalimani ya Chuo Kikuu cha waislamu cha Morogoro. IIIT Mfululizo wa Vitabu kwa Muhtasari

Zanzibar itafutika-mwanasheria

February 9, 2017 COUNTY ASSEMBLY DEBATES 16 MOMBASA COUNTY ASSEMBLY

YA AL HABBIB SAYYEID

HAKIKA YA AHMADIYYA. Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania

Kuishi Maisha Tele. Katika mwanzo wa mwaka mpya, Niliwapa changamoto

Kitabu Changu cha Mistari ya Biblia Swahili

Je, Umesikia Juu Ya Kanuni Nne Za Kiroho?

HALI YA UISLAMU. Maelezo ya kumsaidia Mkristo aufahamu Uislamu

Toleo la kwanza: June, 2007 (Jamaadi Aakhar, 1428) Vitabu ii.

Ujasiri wa Kimaadili. Mojawapo ya madhumuni ya maisha ya duniani

Rainbow of Promise Journal

Khadija-tul-Kubra. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Published on Books on Islam and Muslims Al-Islam.org (

IFAHAMU BIBLIA KATIKA UBORA WAKE.

NEW INTERNATIONAL VERSION

UWAJIBIKAJI NDANI YA JESHI LA POLISI

Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS IJARA CONSTITUENCY AT IJARA BARAZA PARK

2002 Version of the Basic Talk on "Using African Proverbs, Sayings, Idioms, Riddles, Stories, Fables, Play

Uwezo Kenya National Learning Assessment 2014

HAKIBulletin RAIS AMTEUA PROF. JUMA KUWA JAJI MKUU WA TANZANIA. Ndani: JARIDA LA MAHAKAMA YA TANZANIA

MRADI WA METHALI (SANALASKUJA PROJEKTI)

HAKIBulletin JAJI MKUU AWAASA WAHITIMU WA SHERIA KUJIENDELEZA KITAALUMA HALIUZWI! BENKI YA DUNIA USULUHISHI MUAFAKA MAHAKAMA MAWAKILI MAHAKAMA KUU,

In Search of Contact: Rhetorical Questions in the Communicative Frame of the Funeral Sermon

Musnad Imam Ahmad Bin Muhammad Bin Hanbal - Subject Codified Into Chapters (Tabweeb) - Vol. 2 (Arabic Only) (Arabic Edition) By Abdul Mannan Omar

TUMERITHI TUWARITHISHE

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian

NAIROBI CITY COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

NGUO-NYINGI MKOTI: MWANZISHAJI WA MJI WA NGOJI (ANGOCHE)

REPUBLIC OF KENYA COUNTY ASSEMBLY OF KILIFI THE HANSARD. Wednesday, 29 th March, 2017

HOTUBA YA JAJI MKUU MHE. PROF. IBRAHIM HAMIS JUMA SIKU YA SHERIA, DAR ES SALAAM, TAREHE 1 FEBRUARI, 2018

TALKING ABOUT ONESELF TO ACT IN THE WORLD: A SWAHILI AUTOBIOGRAPHY (SHAABAN ROBERT, MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA HAMSINI

JUNE 4, Acts 2:1-12 and Offering...Pastor Maromy Samuel All Hail the Power of Jesus Name led by Haitian Congregation Worship Team

Musnad Imam Ahmad Bin Muhammad Bin Hanbal - Subject Codified Into Chapters (Tabweeb) - Vol. 2 (Arabic Only) (Arabic Edition) By Abdul Mannan Omar

HOLY COMMUNION ACCORDING TO THE KENYAN RITE

MOROGORO JARIDA LA. ISSN Toleo Na.4 Julai 2005 BODI ZA AFYA ZA WILAYA - SAUTI YA WANANCHI

The salaf (pious predecessors) would sanctify this night and prepare themselves for it in advance

VACATION BIBLE SCHOOL VBS. Newsletter. #Rebuilding through prayer, hard work & perseverance.

WELCOME TO GOD S SERVICE A.C.K. ST. LUKE S PARISH UMOJA & TENA CHURCH QUOTE OF THE WEEK PRAYER OF THE DAY

The Noble Qur an. Medium H/B 1098pp 8.95 Product code: 1.01A. P/B 1104pp 7.95 Product code: 1.01B. The Noble Qur an

MAOMBI YA QUR'AN TUKUFU SHEIKH MUZAFFAR AHMAD DURRANI

Ezra 3 Lessons Download or Read Online ebook ezra 3 lessons in PDF Format From The Best User Guide Database

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC)

Mashairi ya Masaibu ya Karbala

Vitendawili Vya Swahili

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian

Published: June By: Abul-Fidâ' Ismâ'îl Ibn Kathîr Translated by: Aboo Ishaaq Rasheed Gonzales

Published: September By: Aboo Ishaaq Rasheed Gonzales

Ahadi za Serikali II. Zimekusanywa na HakiElimu Agosti 2007

KITABU CHA MAFUNZO KWA WATOA DAWA KATIKA MADUKA YA DAWA MUHIMU

Tafsir Ibn Kathir Alama Imad ud Din Ibn Kathir

Shaykh Muhammad b. Hādi al Madkhalī - As Recommended By The Kibār al Ulema

The Various Branches of Knowledge

2

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian

PART 4 Abu Hibbaan & Abu Khuzaimah Ansaari

Al-Aqidah Al-Tahawiyyah [Sharh Al-Maydani] Introduction, Part Three Monday 7pm 9pm. Course link:

Published: April By: Aboo Ishaaq Rasheed Gonzales

Deeds that equal the reward of Haj Haj without a Visa!

Preservation of Sunnah (part 1 of 4)

Yassarnal Quran English

BRIXTON MASJID NEEDTO ISSUE ABAYĀN?!

Ripoti ya Warsha Ya Washikadau Ihusuyo Mpango wa Uendeshaji wa Mazingira Wilayani Rufiji Iliyofanyika Utete Rufiji Juni 2000

Detailed Account Of Salah (Prayer) (Hanafi Madhab) - Part 2

Analysis of Heir Pre-Investigation Mechanism: According to Shari ah Perspective

The Virtues of the First Ten Days of Dhul-Ḥijjah and the Legislated Actions During Them

The Tafsir of Surat Al-Ikhlas (Chapter - 112) Which was revealed in Makkah The Reason for the Revelation of this Surah and its Virtues

MASHAIRI YA WAADHI "VERSES OF ADMONITION": the people of Mombasa rebuked by P J. L Frank! and Yahya Ali Omar

THM Sadaqa Group, INC. Working together is a part of the puzzle!

Hadith Hadith Sciences

Foundations of The Creed of Ahl as-sunnah wal-jamā ah Part 1

TAARIFA YA HISTORIA YA MKOA WA MWANZA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA

Fiqh Of Worship. By Sheikh Muhammad Salih Ibn Al-Uthaymeen

Transcription:

Imâm Al-Albâni, Katika Kumsifu Mwanafunzi Wake, Muheshimiwa Sheikh Ali Hasan 1 1. Mujaddid wa zama zetu hizi, Imâm al-albâni alisema katika mwaka wa 1412 AH (1991 CE), ulipokuwa ni wakati baadhi yetu bado tulikuwa kwenye shule za msingi: Nilipeana copy hiyo kwa rafiki yetu na aliye mwanafunzi, kijana Ali bin Hasan al-halabî, ili iwe tayari kusambazwa ikiwa na utangulizi wa kiusomi ulioandikwa kwa faida ya wasomaji watukufu. Na yeye ndiye aliyefanya yote haya, twamuombea Allâh Amzidishie kheri, na kisha yeye ndiye aliyesimamia uchapishaji wake, uswahihishaji na pamoja na kuipitia 2. 2. Rafiki yake kalamu iliyo na Rehma nyingi, mwalimu Ali bin Hasan al-halabî, Abi l-hârith. 3 1 http://www.alalbany.name/audio/664/664_33.rm - Hapa Imâm al-albânî alikuwa akimtetea Sheikh Ali bin Hasan al-halabi al-atharî, akimwambia muulizaji-butu aliyekuwa akiulizia kuhusu baadhi ya mambo kutoka katika Anwâr ul-kâshifah: Wewe ulimuanza Ali na ukamalizia na al-albânî!? Huu ni ushahidi yakwamba wewe hupitii kwenye njia swahîh ya ilmu! Ulimuanza Ali!? Sasa wataka nini ulipomuanza Ali?Sasa mimi nakuuliza wewe: wataka nini kwa Ali? Suali lako ni lipi? Allâh na Akuongoze! Wewe wazungumza kumuhusu Ali, na wala sio al-albânî? Kazi yako ni kufuatilia makosa tu! Yakuhusu nini wewe ikiwa mwanafunzi wangu ametatizika?! Kisha Imâm al-albânî akamaliza majadiliano hayo akimwambia muulizaji yakwamba yeye hapotezi wakati wake na watu wasiokuwa na ilmu wakawa hawayajali mas ala yenye umuhimu! 2 Hukmu Târik us-swalât Uk.25 3 As-Silsilat us-swahîhah, Muqaddimah Vol.6 1

3. Mujaddid wa zama zetu hizi, Imâm al-albâni (rahimahullâh) amesema katika as- Swahîhah (vol. 2, Uk.720) katika kusifu ukosoaji wa urongo wa muharibifu wa Sunnah, Hassân Abdul-Mannân:... katika kuwasilisha mazungumzo yenye kubainisha mtiririko wa maneno yake yote yanayohusiana na udhaifu wake kunahitaji kuandikwe kitabu maalum, na muda wangu hauniruhusu mimi kwa sasa. Kwahivyo huwenda labda baadhi ya ndugu zetu walio na nguvu katika ilmu hii wanaweza kutekeleza hayo, kama vile ndugu Ali al-halabî.... Vilevile tizama utangulizi wa at-ta lîqât ar-radiyyah alar-rawdah an-nadiyyah, chapa ya al- Maktabah al-islâmâyyah ya Aadâb az-zifâf, na an-naswihah. 4. Amesema Imâm al-albâni katika utangulizi wa kitabu chake at-ta lîqât ar-radiyyah alar-rawdah an-nadiyyah: Zaidi ya miaka miwili iliyopita mtoto wetu na rafiki yetu, ndugu Abu l-hârith Ali bin Hasan bin Ali al-halabî, Allâh Amuafikiye, alinishauri kwa fikra ya kukipiga chapa hicho kitabu kilichotajwa cha Ta lîqât na kukisambaza. Alitoa shauri hilo kutokana na faida alizoziona ndani yake, na kwahivyo itabakia kama mtego tu kwenye rafu la vitabu ili wanafunzi na wale wenye ufahamu mzuri waweze kufaidika nacho. Kwahivyo mimi nikakubaliana na shauri hilo na nikampa nakala yangu binafsi yenye sherehe yangu ndani yake kwa khati zangu na nikakiita at-ta lîqât ar-radiyyah alar-rawdah an-nadiyyah, ili apate kuanzia na shughuli hii ya umuhimu namuombea Allâh amzidishie kheri nyingi. Na kitabu ndicho hiki hapa kikiwa na sherehe yake, na katika kumsifu Allâh na baraka Zake, imechapishwa kwa mkono wa wasomaji, ili wapate kufaidika kutokana nacho na wapate faida zake. Kila sifa njema zinamstahiki Allâh, Mwenye kukamilisha matendo mema, Namuomba Allâh وتعالى) (تبارك amlipe rafiki yetu, Abu l-hârith, Allâh Amuafikiye katika kufuzu, kwa juhudi zinazostahiki sifa katika kuifanyia tahkiki sherhe kwa kuidhihirisha kuwepo kwake. 5. Alisema Imâm al-albâni (rahimahullâh) alipokuwa akimnaswihi Abu Ruhayyim: Lau kama aqîdah yako ni kama aqîdah ya Mashekhe watatu ambao wewe (unaodai) kuwatetea, ambao ni Ibn Bâz, Ibn Uthaymîn na al-albâni, basi aqîdah ya ndugu Ali ni sawa na aqîdah yao! Lakini ikiwa aqîdah yako itakhalifiana na hiyo aqîdah ya ndugu Ali, basi mimi niko tayari kukaa na wewe (ili tuibadilishe aqîdah yako)!... 4 6. Amesema ndugu Azmî al-jawâbirah, katika kitabu chake Mâdhâ Yanqumûna min al- Îmâm al-albâni? (Uk.14) yakwamba: Nilimuuliza mwalimu wetu, Sheikh Nâsir, kuhusu upinzani wa Abu Ruhayyim dhidi ya Sheikh Ali. Akajibu Sheikh wetu (rahimahullâh) kwa matamshi machache tu, na Allâh ni shahidi kwa ninayoyasema, yakwamba: Ndugu Ali ni sawa na watu elfu-moja-na-moja mfano wa Abu Ruhayyim! 4 Yametajwa na ndugu Muheshimiwa na mwalimu Abû Abdullâh Azmî al-jawâbirah, Allâh Amuhifadhi, tarehe: 20 Rabî ul-awwal 1422 AH/ Jumatatu 11 June, 2001 CE na kushuhudiwa na ndugu Lâfî Shatrât na Kâmil al-qash-shâsh. 2

7. Sheikh, Dr. Ahmad bin Sâlih az-zahrânî (Abû Umar al-kinânî) alisema katika matangazo chini ya anwani Abul Hârith, kuanzia mwanzoni nilijihisi kumuonea wivu!! katika ukumbi wa mtandao wa sahab, tarehe 2nd May, 2001 CE, kuhusiana na mwenye kuonyesha uadui kwa Sheikh Ali Hasan, katika wakati huo, Abu Ruhayyim: Naam, ni wivu na wala sio furaha. Kwahivyo tunauliza, ni kwanini basi iwe hivyo? Ni kwa sababu ya mapenzi makubwa sana niliyoyaona na kuyasikiya kutoka kwa Sheikh Nâsirud Dîn al-albânî (rahimahullâh) akikukusudia wewe na utegemezi wake juu yako na mkuruba wake kwako wewe. Allâhu Akbar! Wallâhi, Sheikh hazungumzi kuhusu suala lolote wala hutoweza kusikiya mkusanyiko wowote isipokuwa utakuwa ukisikiya mara kwa mara: Yuko wapi Abu l-hârith? ; Hebu tumsikiye naye Abu l-hârith; Ndio Ewe Abu l-hârith ; Una lipi (la kusema) Ewe Abu l-hârith? ; Yaonekana kana kwamba Abu l- Hârith ataka kuongezea kitu ; Au sivyo, Ewe Abu l-hârith? Kwahivyo nikasema: Pongezi kwako, Ewe Abu l-hârith, na ni kubarikiwa kulioje kwa kuwa na mkuruba sampuli hii na ilmu hii, Ewe Abu l-hârith! Lau kama ningelikuwa na nafasi kama hii yako, hilo lingelikuwa ni bora kwangu kuliko kuchukuliwa maisha yangu yote ya kilimwengu! Kila ninaposikiya mikusanyiko kama hii (kwenye kanda za tepu), mimi moja kwa moja hukumbuka kuhusu madai yakwamba ati al-halabi si miongoni mwa wanafunzi wa al-albâni, na ati yeye ni kadhaa na kadhaa na kwamba yeye ni hivi na hivi!! Kwahivyo mimi hujichekea na husema: Kuna dalili gani iliyo zaidi ya hii? Bali husema: Huu ni ushahidi kamili wa mafungamano makubwa ya Sheikh al-albâni, mkuruba na uaminifu kwa Abu l- Hârith. Kwa hakika, niliyoyapata kutokana na kanda hizi ni kwamba Abu l-hârith amepewa ilmu na na akabarikiwa kwenye ilmu hiyo, kwani yeye alikuwa ni mmahiri katika kujibu kwenye vikao vya Sheikh kuhusu taarifa ambazo hapana awezae kuongezea isipokuwa mtu hodari sana. Kwa ujumla, usifikirie yakwamba mimi nina wivu na wewe! Mimi najaribu kuifahamisha hali ya baadhi, wala sio wote wenye kukushambulia na kukutuhmu wewe. Kwahivyo, nawaamkuwa nyote ndugu zangu katika Markaz al-albâni! 8. Rafiki yetu Muheshimiwa Ali al-halabi ametaja katika kitabu chake chenye faida nyingi Tanwîr ul- Ayn ayn (Uk.17-27) kauli Kumi na Nne kutokana nazo na itadhihirika kwa kila atakayeziona yakwamba baadhi yao huwafuata wengine ki- Upofu na kwamba hujiingiza kwenye mas ala ambayo hawana ujuzi uanaohusiana nayo. 5 9. Kwahiyo, aliyehusishwa hapo, amemshutumu rafiki yetu Ali al-halabi kwa sababu alikuwa akitafuta kuthibitisha nguvu ya hadîth ya Âishah kwa maneno ya al-hâfidh katika at-talkhîs... kisha Imâm al-albâni, mujaddid wa zama zetu hizi, akasema kumuhusu mwenye kumkashifu Sheikh Ali al-halabi al-atharî: Hizi ni shutuma zilizo bâtwil zilizoegemezwa juu ya ujinga mtupu katika ta luma hii tukufu na Usûli wake. 6 5 Radd ul-mufhim, Uk.79, Nukta ya Chini No.1 6 Ibid., Uk.89 3

10. Kwani Suleimân bin Bilâl ni mtu aliye Thiqah na ni Hujjah, matumizi ya hadîth hii ni ambayo iliyoafikiwa kulingana na Sheikhayn na wengineo na wala hakukosolewa kwa tadlîs. Sasa itakuwaje sawa kuidho ofisha hadîth yake kama alivyofanywa na Abdullâh, wakati ambapo yeye ( Abdullâh) ni dha ifu?! Na ndugu Ali al-halabi amemkosoa vizuri sana pamoja na ambayo aliyoyaambatisha, twamuombea Allâh amjazi kheri. 7 11. Mujaddid wa zama zetu hizi, Imâm al-albâni (rahimahullâh) amesema amesema kuhusu baadhi ya ahâdîth: Pana uwezekano yakwamba zinapatikana kwenye baadhi ya nakala za al-musnad, na imenifikia mimi kutoka kwa baadhi ya ndugu zetu wenye kushughulika kwenye ta luma hii tukufu yakwamba alipata kipande chake ambacho kilikuwa hakijachapishwa, kwahivyo pana uweekano yakwamba hadîth inapatikana ndani yake. Sasa ikiwa inapatikana ndani yake, basi inawezekana zaidi kupitia kwa njia ya mkondo wa hii Atrâf. Fahamu zangu zimeliwaza jambo hili kama ambavyo ndugu Ali al-halabi alivyonifaidisha mimi katika suala hili kwa njia ya simu, Allâh amjazi kheri, aliponipasha yakwamba al-hâfidh Ibn Hajar aliipata hadîth hiyo katika Atrâf ul-musnad (vol.1; Uk.48; No.84 tahqîq ya ndugu Samîr). 8 12. Mujaddid wa zama zetu hizi, Imâm al-albâni (rahimahullâh) alisema alipokuwa akiwasilisha maneno yake juu ya Sheikh Ismâ îl al-answârî, Allâh Amswamehe: Niya yangu ndani ya utangulizi huu sio kumkosoa juu ya haya madai mawili ya urongo kwa sababu ndugu muheshimiwa Ali Hasan bin Abdul-Hamîd amenitosheleza mimi kutokamana na hayo katika risala yake ya nguvu kwa kuinukuu risala iliyotajwa hapo juu ya al-answârî ambapo ndani yake ameyataja makosa mengi. Kwahivyo yoyote atakae kuujuwa ukweli na akiregelee kwani kwa hakika mtu atajionea mwenyewe tafauti ya wazi baina ya ukosoaji wa al- Answârî na mashambulizi juu yangu na baina ya ukosoaji wa rafiki yetu juu yake na adabu aliyomuhishimu nayo ambayo al-answârî hakustahiki kupewa kutokana na uadui wake wa kuendelea na dhulma. 9 13. Amesema Imâm al-albâni alipokuwa akizungumzia kuhusu baadhi ya ahâdîth: Haya ndiyo niliyoandika zaidi ya takriban miaka Kumi iliyopita, kabla ya kitabu ath-thiqât cha Ibn Hibbân hakijachapishwa. Kisha nikaja kugundua uswahihishaji wa hadith ulioandikwa kwa mkono wa ndugu Ali al-halabi aliyerekebisha makosa ya uchapishaji na akaandika nukta kwenye sehemu ya upande wa hiyo hadith, Allâh amlipe kila la kheri... 10 14. Nimeziswahihisha baadhi ya ahâdith hizo ambazo ni mifano inayolingana ambayo as-sakhâwî (rahimahullâh) aliyoitaja, tizama hadith ifuatayo No. 6919 na 7 As-Silsilat us-swahîhah; Vol.6, Uk.137 8 As-Silsilat us-swahîhah; Vol.6, Uk.401 9 As-Silsilat udh-dhwa ifah, Vol.8, Uk.1 10 Ibid., Vol.3; Uk.628 4

yanayofuata baada yake. Kwa ajili hii, ndugu yetu Abu l-hârith al-atharî ametekeleza kazi nzuri katika kuziepuka ahâdîth zilizo dha îf kutoka katika Mukhtasar wake, kwa jina la al-muntaqâ an-nafîs min Talbîs Iblîs. 11 15. Imâm al-albâni (rahimahullâh) amesema katika kuzungumzia kuhusu baadhi ya ahâdîth alizozitumia katika kumkosoa Sheikh Hamûd at-tuwayjurî (rahimahullâh) kuhusu yaliyo kwenye kitabu chake as-sârim al-mash-hûr: Baada ya kuandika yaliyopita, nilifaidika kutoka kwa ndugu Ali al-halabi, Allâh amjazi kila la kheri, yakwamba hadith imepokewa na al-bahhâr katika Musnad yake. Kwahivyo, nikairegelea kwake na kuiona yakwamba ina nguvu kwa upande wa al-hamânî. 12 16. Imâm al-albâni (rahimahullâh) amesema: Hadith hii imenukuliwa na as-suyûti na nyongeza yake katika, ad-durr al-manthûr, kutoka katika riwaya ya Ibn al- Mirwadayh, na ndugu yetu Ali Hasan al-halabi akainasibisha naye, kwa kunukuu kutoka kwa ad-durr, kisha yeye (Sheikh Ali Hasan) akaitaja hii katika at-ta qîb alâ Risâlat a-answârî alipokuwa akizungumzia kuhusu hadith iliyo mashuhuri sana ya Atiyyah: Yâ Allâh, nakuomba kwa haki za wenye kukuomba! (Uk.25). Alisema katika kuyafafanua haya, Mimi nasema: inaonekana kana kwamba hii vilevile inatokamana na riwaya ya al- Awfiyy, lakini hiyo ni dhana tu, kwani mimi sijaiona silsila yake haswa ya upokezi. Kwahivyo yeye alipatia, kama muonavyo, Allâh amjazi kila la kheri! Katika kitabu chake, Safahât Baidhâ min Hayât al-imâm Muhammad Nâsiruddîn al-albânî (San â Yemen: al-maktabah al-islâmiyyah, 2001), Uk.56, Sheikh Atiyyah Sâlim ametaja: Ali Hasan AbdulHamîd al-halabi: ndiye maarufu zaidi miongoni mwa wanafunzi wa Sheikh leo hii, na ni miongoni mwa wenye nguvu zaidi katika wanafunzi wa ki ilmu Na mimi namzingatia yeye kuwa hivyo, na wala simdhamini yeye zaidi ya Allâh. Yeye ni msomi wa kikweli na muaminifu, anazo rasâ il nzuri na vitabu. Mimi nimewahi kuonana naye, tukakaa pamoja mara nyingi na nikamuona kuwa ni mchangamfu, mpole na daima ni mwenye furaha. Vilevile ametaja (katika Uk.52): Katika Mji wa Abu Dhabi, Lu ay bin Abdir-Razzâq Nâsir ud-din al-albânî alinihadithia kwa kusema, Nilimsikiya Ubâdah, mjukuu wa Sheikh al-albânî akimuuliza babu yake wakati wa miezi yake ya mwisho kuhusu watu wema wawili katika ta luma ya hadith, leo hii. Sheikh akamjibu, Ali Hasan al-halabi na Abû Ishâq al-huwaynî. Mfasiri: Abu Farida Muhammad Awadh Salim Basawad http://www.qssea.net Mombasa. Kenya 11 Ibid., Vol.3; Uk.181 12 Ibid., Vol.3; Uk.540 5