Kitabu Changu cha Mistari ya Biblia Swahili

Similar documents
There is one God Mungu ni mmoja 1

John Lesson Eighteen Yohana Somo la Kumi na Nane

NEW INTERNATIONAL VERSION

NEW LIFE IN CHRIST MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF BOMAS OF KENYA

Je, Umesikia Juu Ya Kanuni Nne Za Kiroho?

MALAIKA: WAJUMBE WA MUNGU

EVANGELISM FOR CHRIST UINJILISTI KWA AJILI YA KRISTO

Pre-Departure Program Swahili Unit 11 Worksheet UNIT 11: LOCATIVES, PREPOSITIONS, AND RELATIVE AND OBJECT INFIXES

NEW INTERNATIONAL VERSION

ZABURI 91 mstari 1. KJV-lite VERSES

JUNE 4, Acts 2:1-12 and Offering...Pastor Maromy Samuel All Hail the Power of Jesus Name led by Haitian Congregation Worship Team

HOLY COMMUNION ACCORDING TO THE KENYAN RITE

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF

BARAZA LA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA (Mawasiliano yawasilishwe kwa MSAJILI)

The Lord be with you And with your spirit

No. Book Name Category Type Price 1 AFYA MARIDHAWA -1 SWAHILI SUBSCRIPTION 2, AFYA NA UZIMA SWAHILI SUBSCRIPTION 8,500.00

IFAHAMU BIBLIA KATIKA UBORA WAKE.

Ujasiri wa Kimaadili. Mojawapo ya madhumuni ya maisha ya duniani

Free To Confront. ...correct, rebuke and encourage with great patience and careful instruction.

NANDI COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

HAKIKA YA AHMADIYYA. Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania

Where is Africa? 2. What is African heritage? 3. What is the African heritage in the Bible? 6. What are African ways of worship?

WELCOME TO GOD S SERVICE ACK ST. LUKE`S PARISH UMOJA Theme: Endeavoring to touch the heart of God, (Matt 25:40). Kuazimia kumpendeza Mungu

Kuishi Maisha Tele. Katika mwanzo wa mwaka mpya, Niliwapa changamoto

DINI JE, DINI NI MUHIMU?

Tawasali. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags:

Sura al-ahzaab. Tafsiri na Maelezo. Abdilahi Nassir

BARUA YA TATU KWA SHEIKH UBAYD AL-JÂBIRĪ [AULIZWA SHEIKH UBAYD] NA Sheikh Sālim at-twawîl (hafidhahullāh)

Ukweli wa hadith ya karatasi

Ezra 3 Lessons Download or Read Online ebook ezra 3 lessons in PDF Format From The Best User Guide Database

NANDI COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

WELCOME TO GOD S SERVICE A.C.K. ST. LUKE S PARISH UMOJA & TENA CHURCH QUOTE OF THE WEEK PRAYER OF THE DAY

Builders in Australia are required to be completely committed to the building project. This is achieved through a legally binding contract.

MTIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA KIRINYAGA YA KATI MWAKA WA 2013

Published on Al-Islam.org ( Home > Mahari ya Damu > Mahari ya Damu. Mahari ya Damu

2002 Version of the Basic Talk on "Using African Proverbs, Sayings, Idioms, Riddles, Stories, Fables, Play

Free From The Real Problem

Imâm Al-Albâni, Katika Kumsifu Mwanafunzi Wake, Muheshimiwa Sheikh Ali Hasan 1

Online Class Workbook Copyright 2014 Church of the Rock IInc Buffalo Place, Winnipeg, MB, Canada R3T 1L6 All rights reserved.

Jesus Calling. Encouragement. 50 Devotions for. Sarah Y oung

NKJV New King James Version (Updated November 17, 2016)

YA AL HABBIB SAYYEID

Scripture quotations marked NKJV are taken from the New King James Version. Copyright 1982 by Thomas Nelson. Used by permission. All rights reserved.

NOOMA Matthew 012 Rob Bell

Words are powerful. Speak God s life-giving Word over your children, and claim this generation for his Kingdom. Emily Assell Lauren Copple

Dhana ya Ndoa ya Mitala na Ndoa za Mtukufu Mtume

VACATION BIBLE SCHOOL VBS. Newsletter. #Rebuilding through prayer, hard work & perseverance.

Gazeti la kwanza la Kiislam kutolewa kwa lugha ya Kiswahili - mwaka 1936

Bismillah ar-rahman ar-raheem SHAHADA 1 YALIYOMO

NOOMA Lump 010 Rob Bell

Toleo la kwanza: June, 2007 (Jamaadi Aakhar, 1428) Vitabu ii.

jim GEORGE Copyrighted material

Rainbow of Promise Journal

Imam Mahdi katika Usunni Na Ushia

(Cell) (Cell) (Cell) (Landline) (Cell)

JOURNAL with ME. Girls. Preteen & Teen. Mother/Daughter Devotional Study on PHILIPPIANS 4:4-9. Rejoice in the Lord always!

HIDDEN IN MY HEART, A LULLABY JOURNEY THROUGH SCRIPTURE, VOL I! Scripture Lullabies!

Becoming Fully Alive! Free From The Web Of Relational Demonics. by Pastor Steve Peterson Fresh Start For All Nations

In Search of Contact: Rhetorical Questions in the Communicative Frame of the Funeral Sermon

KIDS QUIZZES BIBLE & GAMES. CRYSTAL BOWMAN & TERI McKINLEY FOR

Copyrighted material Girl's Guide to Prayer.indd 3 11/16/18 11:56 AM

MRADI WA METHALI (SANALASKUJA PROJEKTI)

Ukweli Uliopotea - Sehemu Ya Tatu

This work is licensed under a Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License with the following exceptions:

Copyrighted material Faith Outside the Lines.indd 1 10/13/17 8:43 AM

Mashairi ya Masaibu ya Karbala

STEPPING STONES BIBLE STUDY GOD S UNFOLDING PLAN OF SALVATION HANDOUTS Free downloadable NewHopePublishers.com

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, MANDERA CENTRAL CONSTITUENCY, HELD AT RHAMU

NOOMA Dust 008 Rob Bell

Vitendawili Vya Swahili

2004 Fresh Start For All Nations

Tyndale House Publishers, Inc.

Days. Prayer. Wife. for

Online Class Workbook Copyright 2014 Church of the Rock IInc Buffalo Place, Winnipeg, MB, Canada R3T 1L6 All rights reserved.

NOOMA Corner 023 Rob Bell

NIV New International Version (Updated November 17, 2016)

Presented To. Presented By. Date

Noah built an ark for the saving of souls

Days. Prayer. for. Wife

Copyrighted material Young Woman After God's Own Heart.indd 3 1/9/15 9:29 AM

Becoming Fully Alive! Part One: Becoming Relationally Free. by Pastor Steve Peterson Fresh Start For All Nations

Khadija-tul-Kubra. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Published on Books on Islam and Muslims Al-Islam.org (

HALI YA UISLAMU. Maelezo ya kumsaidia Mkristo aufahamu Uislamu

True. Woman. f W BECOMING GOD S TRUE WOMAN... 1

NOOMA Store 016 Rob Bell

ATONEMENT IN AFRICAN PLURALISTIC CONTEXT: EXAMPLES FROM THE LUHYA OF WESTERN KENYA

NAIROBI CITY COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

100 BIBLE VERSES EVERYONE SHOULD KNOW BY HEART (NRSV)

Scriptures marked as "(CEV)" are taken from the Contemporary English Version Copyright 1995 by American Bible Society. Used by permission.

2012 by Gene Gobble. All rights reserved. Published by Redemption Press, PO Box 427, Enumclaw, WA

Joy To The World! Text: Luke 2:8-20 Series: Advent 2018 [#3] Pastor Lyle L. Wahl December 16, 2018

Immanuel wants us to live life to the max! Kingdom living through intimacy with Him is the goal.

STEPPING STONES BIBLE STUDY GOD S UNFOLDING PLAN OF SALVATION HANDOUTS Free downloadable NewHopePublishers.com

Angels & Demons Supernatural Beings

Scripture quotations marked (NLT) are taken from the Holy Bible, New Living Translation, copyright 1996, 2004, 2007 by Tyndale House Foundation.

Your spiritual help line

By Sheri Graham. Sample file. Published by Graham Family Ministries

NOOMA Sunday 004 Rob Bell

A Thankful Heart I Am Thankful. Daily Verse. A Thankful Heart

Transcription:

Kitabu Changu cha Mistari ya Biblia Swahili Compiled by Sandy Harris Designed by Norma Hays

This book is lovingly dedicated to our precious grandchildren, the joys of our hearts. It is our prayer that every child who reads this book will know Jesus as their Savior someday and will love and serve Him with all their hearts. Gia and Grandma A NOTE TO PARENTS: As you teach the verses, we suggest a verse per week, always saying all of the previously learned verses and the addresses of where to find them in the Bible. (Please teach God is Love first.) We have taught these to our two year-old granddaughters (Haelee and Bettye), so this method will work for ages 2 and above. May our children hide God's Word in their hearts that they might not sin against Him. (Psalm 119:11) Sandy Harris Special thanks to Stephen Hays The logistics of designing and printing this book (and all our other books) would not have been possible without his technical support. We not only teach our children, but they teach us. Norma Hays

Kitabu Changu cha Mistari ya Biblia Swahili Compiled by Sandy Harris Designed by Norma Hays Copyright by H & H Children s Ministry. All rights reserved. Written permission must be secured by the above persons to use or reproduce.

kwa maana wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; Warumi 3:23 All have sinned. Romans 3:23 NKJV 2

Muwe wema na wenye mioyo ya upendo kati yenu, na kusameheana kama Mungu alivyowasamehe kwa ajili ya Kristo. Watoto Wa Nuru Waefeso 4:32 3 Be kind to one another. Ephesians 4:32 NKJV

Watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, kwa maana kufanya hivyo ni vizuri. Waefeso 6:1 Children obey your parents. Ephesians 6:1 NKJV 4

Nilipomwona, nilianguka miguuni pake kama mfu. Lakini yeye akaweka mkono wake wa kulia juu yangu akasema, Usiogope. Mimi ni wa kwanza na wa mwisho. Ufunua wa Yohana 1:17 5 Do not be afraid. Revelation 1:17 NKJV

Kila kipawa chema na kila zawadi kamilifu hutoka mbinguni, ikishuka kutoka kwa Baba wa nuru za mbinguni ambaye habadiliki kama kivuli. Yakobo 1:17 Every good gift... is from above. James 1:17 NKJV 6

Yesu akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya muwe wavuvi wa watu. Matayo 4:19 I will follow Jesus. 7 Jesus said, Follow Me. Matthew 4:19 NKJV

Mtu asiye na upendo hamjui Mungu; kwa maana Mungu ni upendo. 1 Yohana 4:8 NOAH S ARK God is Love. 1 John 4:8 NKJV 8

Mwekeeni yeye fadhaa zenu zote kwa maana yeye hujishughul isha sana na mambo yenu. 1 Petro 5:7 He cares for you. 1 Peter 5:7 NKJV 9

Mimi ni Mchungaji Mwema. Mchungaji Mwema hutoa maisha yake kwa ajili ya kondoo. Yohana 10:11 I am the Good Shepherd. John 10:11 NKJV 10

Yesu akawaambia, Waacheni watoto waje kwangu, msiwazuie; kwa maana Ufalme wa mbinguni ni wa walio kama hawa. Matayo 19:14 11 Jesus said, Let the children come to me. Matthew 19:14 NKJV

Ombeni nanyi mtapewa. Tafuteni nanyi mtapata; bisheni hodi nanyi mtafunguliwa mlango. Matayo 7:7 NjH Knock and it will be opened to you. Matthew 7:7 NKJV 12

Nina waachia amri mpya: pendaneni ninyi kwa ninyi. Kama mimi nilivy owapenda, na ninyi mpendane vivyo hivyo. Yohana 13:34 13 Love one another. John 13:34 NKJV

Ee Bwana, unijulishe njia zako, Unifundishe mapito yako, Zaburi 25:4 Make me know your ways. Psalm 25:4 NASB 14

Ndipo Daudi akawaambia kusanyiko lote, Haya, mhimidini Bwana, Mungu wenu. Basi kusanyiko lote wakamhimidi Bwana, Mungu wa baba zao, wakainama vichwa vyao, wakamsujudia Bwana, na mfalme naye. 1 Mambo ya Nyakati 29:20 15 Now bless the Lord your God. 1 Chronicles 29:20 NKJV

Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake; Wajulisheni watu matendo yake. 1 Mambo ya Nyakati 16:8 O give thanks to the Lord. 1 Chronicles 16:8 NKJV 16

ombeni pasipo kukoma, 1 Wathesalonike 5:17 17 Pray without ceasing. 1 Thessalonians 5:17 NASB (Keep on praying.)

Kwa maana neno la Mungu ni hai tena lina nguvu; ni kali kuliko upanga wenye makali kuwili, linachoma kabisa na kutenganisha nafsi na roho, viungo vya mwili na mafuta yaliyomo ndani yake; na kutambua nia na mawazo ya mioyo ya watu. Waebrania 4:12 For the Word of God is quick (living), and powerful, and sharper than any two-edged sword. Hebrews 4:12 KJV 18

Shangilieni na kufurahi, kwa maana zawadi yenu huko mbinguni ni kubwa; kwa kuwa ndivyo walivyowatesa manabii waliowatangulia ninyi. Matayo 5:12 19 Rejoice, and be glad. Matthew 5:12 KJV

Mwimbieni Bwana kwa kushukuru, Mwimbieni Mungu wetu kwa kinubi. Zaburi 147:7 Sing to the Lord with thanksgiving. Psalm 147:7 NKJV 20

Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Mithali 3:5 21 Trust in the Lord with all your heart. Proverbs 3:5 NKJV

Mungu wa milele ndiye makazi yako, Na mikono ya milele i chini yako. Na mbele yako amemsukumia mbali adui; Akasema, Angamiza. Kumbukumbu la Torati 33:27 22 Underneath are God s everlasting arms. Deuteronomy 33:27 NKJV

Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba, ndio hii: kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu. Yakobo 1:27 23 Visit orphans and widows. James 1:27 NKJV

Tunapenda kwa sababu yeye alitupenda kwanza. 1 Yohana 4:19 We love God because He first loved us. 1 John 4:19 NKJV 24

Mtukuzeni Bwana, Mungu wetu; Sujuduni mkiukabili mlima wake mtakatifu; Maana Bwana, Mungu wetu, ndiye mtakatifu. Zaburi 99:9 25 Exalt the Lord our God. Psalm 99:9 NKJV (Exalt means to praise.)

Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji uliojengwa kwenye mlima haufichiki. Matayo 5:14 You are the light of the world. Matthew 5:14 NKJV 26

Yesu alipofika chini ya huo mkuyu, akatazama juu akamwambia: Zakayo! Shuka upesi, kwa maana leo nitakuwa mgeni nyumbani kwako! Luka 19:5 Zacchaeus, hurry and come down, for today I must stay at your house. Luke 19:5 NASB 27

References The translation for Swahili - (Biblilia Takatifu) was done in April 2016. (Old Testament was done through wordproject.org) (New Testament was done through biblegateway.com) The following pictures are from Wikimedia Commons. They are either public domain (PD) or free to share (FTS) with author or licensor. Please note: Photos, drawings, and paintings are acknowledged too. Abbreviations for licensors are as follows: Creative Commons Attribution-Share Alike - CCASA. Generic license - GL and Unported license - UL. Cover page - Happy children CCASA 3.0 Unported, 2.5, 2.0, and 1.0 Generic licenses. FTS. Dedication page - African violet - Author - Mokkie. PD. Butterfly on green leaves. PD. Title page - Book icon - MediaWiki Virtual Library - Author - Varnent CCASA 3.0 Unported license. FTS. Page 2 - Drawing by N. Hays. Page 3 - Valerie H. plays pat-a-cake/ruanda girl - Author ZeitenWandel - CCASA 3.0 UL. FTS. Page 4 - Mother and child - Alice s Shop, Oxfam East Africa - CCA 2.0 GL. FTS. Page 5 - Drawing by N. Hays. Page 6 - Maternal health in Sierra Leone Author - UK Dept. for International Development CCA 2.0 GL. FTS. Page 7, 8, and 9 - Painting and 2 drawings by N. Hays. Page 9 - Girl in Ethiopia - Author - MauritsV - CCASA 2.0 GL. FTS. Page 9 - Orphan children in Lwala, Kenya - Author - Nicor - CCASA 3.0 UL. FTS. Page 10 - The Good Shepherd. - PD. Page 11 - Photo by Gia. Page 12 - Painting by N. Hays. Page 13 - School kids in Tanzania Author - Fanny Schertzer CCASA 3.0 UL. FTS. Page 14 - Orphan children praying before lunch, Kenya - CCASA 3.0 UL. FTS. Page 15 - Girl in Ethiopia - Author - MauritsV - CCASA 2.0 GL. FTS. Page 16 - Bahar Dar Church in Ethiopia - photo by Giustino - CCA 2.0 GL. FTS. Page 17 - Photo by T. Patterson. Page 18 LigUtlig Author Tinus Badenhorst CCA 3.0 UL. FTS. Page 19 - Young girl smiles - Sudan - Author USAID Africa Bureau - CCA 2.0 GL. FTS. Page 20 - Hurso Ethiopia choir. PD. Page 21 - Napf cross - CCASA 3.0 UL. FTS. 22 - Painting and drawing by N. Hays. Page 22 - Photo by Gia. Page 22 - Loma girl, Liberia - Author - gbaku - CCASA 2.0 GL. FTS. Page 23 - Woman in Africa - Author - Peter van der Sluijs - CCASA - 1.0, 2.0, and 2.5 GL and 3.0 UL. FTS. Page 23 - Orphan children in Lwala, Kenya - Author - Nicor - CCASA 3.0 UL. FTS. Page 24 - Niger Koure youth - Author - diasundkompott - CCASA 2.0 GL. FTS. Page 25 - Girls laughing, Africa - Author Clemence Delmas - CCA 3.0 UL. FTS. Page 26 - Senegalese boy smiling - Author - D. Holmes. PD. Page 26 - Young girl smiles - Sudan - Author USAID Africa Bureau - CCA 2.0 GL. FTS. Page 26 and 27 - Painting and drawing by N. Hays. English translation: Scripture quotations marked NKJV are taken from the New King James Version. Copyright 1982 by Thomas Nelson, Inc. Used by permission. All rights reserved. Scripture quotations marked KJV are taken from the King James Version. Copyright 1996 Broadman & Holman Publishers. All rights reserved. Scripture quotations marked NASB are taken from the New American Standard Bible. Copyright 1960, 1962, 1963, 1968, 1971, 1972, 1973, 1975, 1977, 1995 by Lockman Foundation. Used by permission. Scripture quotations marked NIV are taken from the New International Version, NIV Copyright 1973, 1978, 1984, 2011 by Biblica, Inc. Used by permission. All rights reserved worldwide. Under God s leading, H & H Children s Ministry was founded in May 2012, to provide Scripture books to children and to make Jesus known to the children of the world.

How to be saved: 1. Confess your sin. All have sinned. Romans 3:23 NKJV 2. Ask Jesus to save you. Whoever will call on the name of the LORD will be saved. Romans 10:13 NASB 3. Pray like this: Dear Jesus: Please forgive me of my sins and come into my life. Thank you Jesus, for saving me. Jesus said to him, I am the way, the truth, and the life; no one comes to the Father, but through me. John 14:6 NASB Today on (date) (name) accepted Jesus Christ as Lord and Savior.

Tunakupenda. Gia and Grandma Unasikia hawa wanavyosema? Akawajibu, Nasikia. Kwani hamjasoma maneno haya, Kutoka katika vinywa vya watoto wadogo na wale wanaonyonya umeleta sifa kamili? Matayo 21:16 Out of the mouth of babes and nursing infants you have perfected praise. Matthew 21:16 NKJV