MAOMBI YA QUR'AN TUKUFU SHEIKH MUZAFFAR AHMAD DURRANI

Similar documents
John Lesson Eighteen Yohana Somo la Kumi na Nane

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF BOMAS OF KENYA

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF

Du'a Al Mashlool. Supplication of the Paralytic

Invoking Spiritual and Luminous Bounties from the Root Word Rabb (*R B B) Diamond Jubilee Spark :: Knowledge & Prayers for Advancement

There is one God Mungu ni mmoja 1

Tawasali. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags:

MTIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA KIRINYAGA YA KATI MWAKA WA 2013

BARUA YA TATU KWA SHEIKH UBAYD AL-JÂBIRĪ [AULIZWA SHEIKH UBAYD] NA Sheikh Sālim at-twawîl (hafidhahullāh)

Kitabu Changu cha Mistari ya Biblia Swahili

BARAZA LA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA (Mawasiliano yawasilishwe kwa MSAJILI)

NEW INTERNATIONAL VERSION

HAKIKA YA AHMADIYYA. Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania

ZABURI 91 mstari 1. KJV-lite VERSES

Pre-Departure Program Swahili Unit 11 Worksheet UNIT 11: LOCATIVES, PREPOSITIONS, AND RELATIVE AND OBJECT INFIXES

MALAIKA: WAJUMBE WA MUNGU

Sura al-ahzaab. Tafsiri na Maelezo. Abdilahi Nassir

Bismillah ar-rahman ar-raheem SHAHADA 1 YALIYOMO

Imâm Al-Albâni, Katika Kumsifu Mwanafunzi Wake, Muheshimiwa Sheikh Ali Hasan 1

ftätt{ ;atåté< Step 1 Step 2 Thana Ta- aw-wudh Tasmiyah Surah Al Fateha Allah is the greatest Allah u Akbar

Kuishi Maisha Tele. Katika mwanzo wa mwaka mpya, Niliwapa changamoto

CREED OF ISLAM Dr. Mufti Abdul Wahid

MIN-AL QUR-AAN. For Class Three. Prof. Dr. Masood A.A Quraishi

Dhana ya Ndoa ya Mitala na Ndoa za Mtukufu Mtume

Published on Al-Islam.org ( Home > Mahari ya Damu > Mahari ya Damu. Mahari ya Damu

Ukweli Uliopotea - Sehemu Ya Tatu

Bai yah. The Basis for Organization of a Revivalist Party in Islam. Dr. Israr Ahmad

NEW LIFE IN CHRIST MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO

Gazeti la kwanza la Kiislam kutolewa kwa lugha ya Kiswahili - mwaka 1936

DINI JE, DINI NI MUHIMU?

EVANGELISM FOR CHRIST UINJILISTI KWA AJILI YA KRISTO

WELCOME TO GOD S SERVICE A.C.K. ST. LUKE S PARISH UMOJA & TENA CHURCH QUOTE OF THE WEEK PRAYER OF THE DAY

NANDI COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

Toleo la kwanza: June, 2007 (Jamaadi Aakhar, 1428) Vitabu ii.

WELCOME TO GOD S SERVICE ACK ST. LUKE`S PARISH UMOJA Theme: Endeavoring to touch the heart of God, (Matt 25:40). Kuazimia kumpendeza Mungu

Imam Mahdi katika Usunni Na Ushia

NEW INTERNATIONAL VERSION

Rainbow of Promise Journal

Je, Umesikia Juu Ya Kanuni Nne Za Kiroho?

Hajj & Umrah. Selection of DU A. Compiled By Oasis Hajj & Umrah Team

NANDI COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

2002 Version of the Basic Talk on "Using African Proverbs, Sayings, Idioms, Riddles, Stories, Fables, Play

MAY/JUNE SESSION 2002

Ujasiri wa Kimaadili. Mojawapo ya madhumuni ya maisha ya duniani

February 9, 2017 COUNTY ASSEMBLY DEBATES 16 MOMBASA COUNTY ASSEMBLY

Ukweli wa hadith ya karatasi

Vitendawili Vya Swahili

Khadija-tul-Kubra. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Published on Books on Islam and Muslims Al-Islam.org (

YA AL HABBIB SAYYEID

Zanzibar itafutika-mwanasheria

HALI YA UISLAMU. Maelezo ya kumsaidia Mkristo aufahamu Uislamu

IFAHAMU BIBLIA KATIKA UBORA WAKE.

WAQF-E-NAU SCHEME. WAQF-E-NAU SYLLABUS SERIES No. 2 BOOK No. 5 COMPLETE SYLLABUS 10 TO 13 YEARS

AHMAD AL-RAYSUNI. SWAHILI VERSION idara ya Lugha na ukalimani ya Chuo Kikuu cha waislamu cha Morogoro. IIIT Mfululizo wa Vitabu kwa Muhtasari

Ukoo Wake Na Kunasibika Kwake:

HOLY COMMUNION ACCORDING TO THE KENYAN RITE

Code No. : Reg. No. :... Sub. Code : GNSO 4 A U.G. (CBCS) DEGREE EXAMINATION, APRIL Fourth Semester. Sociology

TALKING ABOUT ONESELF TO ACT IN THE WORLD: A SWAHILI AUTOBIOGRAPHY (SHAABAN ROBERT, MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA HAMSINI

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, MANDERA CENTRAL CONSTITUENCY, HELD AT RHAMU

JUNE 4, Acts 2:1-12 and Offering...Pastor Maromy Samuel All Hail the Power of Jesus Name led by Haitian Congregation Worship Team

Uwezo Kenya National Learning Assessment 2014

No. Book Name Category Type Price 1 AFYA MARIDHAWA -1 SWAHILI SUBSCRIPTION 2, AFYA NA UZIMA SWAHILI SUBSCRIPTION 8,500.00

In Search of Contact: Rhetorical Questions in the Communicative Frame of the Funeral Sermon

Where is Africa? 2. What is African heritage? 3. What is the African heritage in the Bible? 6. What are African ways of worship?

The Lord be with you And with your spirit

HOTUBA YA JAJI MKUU MHE. PROF. IBRAHIM HAMIS JUMA SIKU YA SHERIA, DAR ES SALAAM, TAREHE 1 FEBRUARI, 2018

Grade-5 Quraanic Studies Lesson Plan

ZvèZ êl WAQF-E-NAU SCHEME. WAQF-E-NAU SYLLABUS SERIES No. 2 BOOK No.6 COMPLETE SYLLABUS 13 TO 15 YEARS

Ó È Ú apple À, Ó Â- Ú, «ÚÙ : Ó ««Ú«È

MRADI WA METHALI (SANALASKUJA PROJEKTI)

Prayer for Beginners (part 2 of 2): A Description of the Prayer

Friday Sermon HADHRAT MUHYI-UD-DIN AL-KHALIFATULLAH Munir Ahmad Azim

Sins got you down and you don't know how to stop

Mashairi ya Masaibu ya Karbala

NGUO-NYINGI MKOTI: MWANZISHAJI WA MJI WA NGOJI (ANGOCHE)

.. navagraha stotram with meaning and commentary..

How to perform Umrah

UWAJIBIKAJI NDANI YA JESHI LA POLISI

MOROGORO JARIDA LA. ISSN Toleo Na.4 Julai 2005 BODI ZA AFYA ZA WILAYA - SAUTI YA WANANCHI

Understand Qur an the Easy Way

Prophet Muhammad's Manner of Performing Prayers (May peace and blessings of Allah be upon him)

Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya

Arrahmaanir raheem - The Most Beneficent, the Most Merciful.

MASHAIRI YA WAADHI "VERSES OF ADMONITION": the people of Mombasa rebuked by P J. L Frank! and Yahya Ali Omar

Prophets Mentioned in Quran

TAUS RETREAT NEWS LETTER # 1

HAKIBulletin RAIS AMTEUA PROF. JUMA KUWA JAJI MKUU WA TANZANIA. Ndani: JARIDA LA MAHAKAMA YA TANZANIA

Yassarnal Quran English

Part I: Do I Know What I Read Daily!?

Three Ways to Forgiveness 1

Song of Peace. Verse 2, Part II: Dona nobis pacem, pacem. Dona nobis pa cem. Do na nobis pacem. Dona nobis pacem. Do na no_bis_pacem

NAIROBI CITY COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS IJARA CONSTITUENCY AT IJARA BARAZA PARK

KITABU CHA MAFUNZO KWA WATOA DAWA KATIKA MADUKA YA DAWA MUHIMU

âæ æ Ø çùîðüàæ Ñ (i) (ii) (iii) (iv) âöè ÂýàÙ çùßæøü ãñ Ð ÂýàÙ â Øæ 1-14 Ì ð ÂýˆØð ÂýàÙ ð 2 ãñ Ð Ù ÂýàÙæð ð ÂýˆØð ð žæúu 40 àæžîæð âð çï Ùãè ãæðùð æçã

=MY=Ramadan]Record]Book=

How to Enhance and Protect the Light Within Yourself. Diamond Jubilee Spark :: Knowledge & Prayers for Advancement

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian

What Islam Is? By: Maulana Muhammad Manzoor Nomani Preface

(Cell) (Cell) (Cell) (Landline) (Cell)

Transcription:

äô #Ö] Ùö ç» ö $ ºÛ$ vø Úö äö #Ö] Ÿ$]ô äø ÖF ]ôÿ6? Ümû Ó ø Ö]á ô û Ï ö Ö]è ö n$ Âô û ] ø MAOMBI YA QUR'AN TUKUFU SHEIKH MUZAFFAR AHMAD DURRANI 1

MAOMBI YA QUR'AN TUKUFU Mwandishi: Sheikh Muzaffar Ahmad Durrani Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Tanzania ISBN 9987-8932-1-x Chapa ya mara ya Kwanza: 2002 Nakala: 5000 Kimeenezwa na: Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania P. O. Box 376 Simu: +255-22-2110473 Fax: +255-22-2121744 Dar es Salaam Kimechapwa na: Ahmadiyya Printing Press S.L.P 376 Dar es Salaam. 2

YALIYOMO Utanguliz... 6 Mwenyezi Mungu hukubali maombi... 7 1. Ombi kabla ya maombi... 12 2. Dua ya kuongezewa Elimu... 13 3. Maombi kwa ajili ya wazazi... 13 4. Kuomba ghofira yako na ya wazazi wako na ya waaminio na maangamizi ya wadhalimu... 14 5. Dua kwa ajili ya waaminio waliotangulia... 15 6. Maombi ya kupata uwezo wa kushukuru...16 7. Dua wakati wa kupanda merikebu au chombo chochote... 18 8. Dua ya kupata ufaulu katika mahubiri... 19 9. Dua ya kuokolewa katika wasiwasi wa shetani... 20 10. Dua ya kuingia katika mkazi mapya na ya kutoka kwa heshima... 21 11. Dua ya kupata msaada wa Mwenyezi Mungu... 22 12. Dua ya kuomba msamaha na mwisho mwema... 23 13. Dua ya kuomba ghofira na rehema ya Mwenyezi Mungu... 25 14. Dua ya kupata nuru kamili na ulinzi wa Mwenyezi Mungu... 27 15. Dua ya kuomba msamaha na msaada dhidi ya makafiri... 27 3

16. Dua ya kupata subira na nusura juu ya makafiri... 29 17. Dua ya kuomba ghofira yako na ya kaka yako... 30 18. Dua ya kutokuwa mkiwa... 30 19. Dua ya kutoa mtoto wakfu wakati bado yuko tumboni... 31 20. Dua ya kuomba kizazi chema... 32 21. Dua kwa ajili ya ahli na watoto... 33 22. Dua kwa ajili ya kusali wewe na wazao wako... 34 23. Dua ya kupata amani ya mji na kuepukana na ibada ya masanamu... 35 24. Dua ya kupata riziki... 35 25. Dua ya kutopotea baada ya kuongoka... 36 26. Dua ya kuokolewa katika mji ambao watu wake ni wadhalimu na kupata msaidizi kutoka kwa Mwenyezi Mungu... 37 27. Dua ya upambanuo baina ya haki na batili... 38 28. Dua ya kuokolewa na watu wadhalimu... 38 29. Dua ya kujiepusha na wadhalimu... 39 30. Dua ya wokovu katika hila za wapinzani... 40 31. Dua ya kuomba ghofira baada ya kukosea...40 32. Dua ya kuokolewa katika fitina ya makafiri na wafisadi... 41 4

33. Dua ya kuomba msaada wa Mwenyezi Mungu baada ya kushindwa jambo... 43 34. Dua ya maangamio ya makafiri... 44 35. Dua ya kuomba wema katika dunia na Akhera na kujikinga na adhabu ya moto... 45 36. Dua ya ya kupata subira na kifo chema... 47 37. Dua ya kuwa mtu mwema, kutajwa kwa wema na kupata pepo... 47 38. Dua ya kupata wema katika dunia na Akhera... 48 39. Dua ya kuepushwa kuomba juu ya jambo usilo na elimu nalo... 49 40. Dua ya ya kujikinga kwa Mwenyezi Mungu... 50 DUA ZA MANABII / WATU WEMA 1. Dua ya Nabii Ibrahimu 13, 32, 33, 34, 35, 42, 47. 2. Dua ya Nabii Nuhu 14, 18, 21, 22, 23, 43, 44, 49. 3. Dua ya Nabii Suleiman 16 4. Dua ya Nabii Musa 17, 19, 25, 30, 39, 40, 44, 48. 5. Dua ya Nabii Zakaria 30, 32. 6. Dua ya Nabii Isa 35. 7. Dua ya Nabii Shuaib 38. 8. Dua ya Nabii Lut 40, 41. 9. Dua ya Bibi Mariamu 31. 10. Dua ya watu wa Peponi 38. 11. Dua ya watu wa Pango 22. 12. Dua ya watu wa Nabii Mussa 25, 40, 47. 5

UTANGULIZI Mwenyezi Mungu Ametufundisha maombi mbalimbali katika Qur'an Tukufu kwa ajili ya faida yetu. Manabii wa Mwenyezi Mungu na watu wema walikuwa wakiomba kwa maombi haya. Maulana Muhammad Ishaq Soofi, Amir na Mbashiri Mkuu wa zamani wa þjumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Uganda aliyakusanya maombi haya pamoja na tafsiri mwaka 1969. Sasa ilihitajika kuiboresha kazi hii. Kwa hiyo Maulana Muzaffar Ahmad Durrani, Amir na Mbashiri Mkuu wa Tanzania amepanga taratibu mpya ya maombi pamoja na matamshi yake kwa herufi za Kilatini. Vile vile jina la Mtume anayehusika na dua fulani limeelezwa. Bw. Abdulrahman M. Ame, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Tanzania kwa shauku kubwa amefanya upangaji na uwekaji wake na masahihisho yake kwenye kompyuta. Mwenyezi Mungu Awasaidie na Awabariki wahusika wote, Amin. 6

Ünûuô $Ö] àô ÛF uû $Ö] ²ô ] Üô Šû eô MWENYEZI MUNGU HUKUBALI MAOMBI Mwenyezi Mungu ambaye ni Muumbaji wa ulimwengu wote anao uhusiano wa kudumu na kila Alichokiumba. Uhusiano huo ni wa Muumbaji na viumbe Vyake, na wa Mwabudiwa na watumishi Wake. Basi ni jukumu la kila mtu kuuimarisha uhusiano huo. Mwenyezi Mungu kwa fadhili na hisani zake, anawahurumia watu wake na anawakurubia. Njia moja ya kuudumisha uhusiano huu ni kumuomba Mwenyezi Mungu. Bali Mwenyezi Mungu Mwenyewe Amehimiza juu ya jambo hili kwamba tusighafilike kumuomba Mwenyezi Mungu. Mtume Mtukufu Muhammad s.a.w. aliamrishwa aseme kwamba: Üû Òö æ.«âø ö Ÿøçû Öø oû eô ø Üû Óö eô ]ç.føãûmø ^Úø Øû Îö "Sema: Mola wangu hangewajalini kama si 7

kuomba kwenu." (25:78). Yaani Mwenyezi Mungu anaonesha huruma nyingi kwa sababu ya maombi ya watu. Tena ameeleza kwamba ni Yeye ambaye anakubali maombi ya wenye matatizo. Kasema kwamba: ðøç?š% Ö] Ìö ô Óû møæø åö^âø ø ]ƒø]ô $_ø û Ûö Öû] gö nûrô m% àû Ú$ ]ø " Au n i nani a naye mj i b u al i yed hiki ka amwombapo na kuondoa dhiki." (27:63). Yaani ni Mwenyezi Mungu ambaye anakubali maombi yetu na anaondoa matatizo na dhiki z e t u. N i Y e ye t u a m b a ye t u n a weza kumkumbuka na kumuomba wakati wa mahitaj i yetu. B ali Yeye ametuamrisha kumuomba kwa faida yetu na ametuahidi kwamba atakubali maombi yetu. Mwenyezi Mungu ametuelezea kupitia Mtume Mtukufu Muhammad s.a.w. masharti ya 8

kukubalika maombi, amesema kwamba: á ô ^Âø ø ]ƒø]ô Å ô ] $ Ö] éøçø Âû ø gö nûqô ]ö gº mû ôîø oû Þô^ôÊø oû ßôÂø pû ô^føâô Ôø Öø^ø ø ]ƒø]ôæø áø æû ö ö ûmø Üû `ö $ÃøÖø oû eô ]çû ßöÚôç+ nööûæø oöô ]çfönûrô jøšû nø û Êø "Na watu wangu watakopokuuliza juu yangu, basi hakika mimi nipo karibu. Nayaitika maombi ya mwombaji anaponiomba. Basi waniitikie na waniamini ili wapate kuongoka." (2:187). Katika aya hii Mwenyezi Mungu ametubashiria kwamba Yeye yupo karibu sana na hukubali na h u j i b u m a o m b i y a w a t u, w a k a t i wanapomwomba. Lakini kwa ajili ya kukubali maombi ameweka masharti mawili. 1. Watu na waombaji waniitikie Mimi (Allah), yaani watu wafuate amri Zangu na watekeleze wajibu wao kulingana na mafundisho Yangu. 2. Waombaji waniamini Mimi (Allah). Yaani imani yao iwe imara juu ya Mwenyezi Mungu na w a s i m s h i r i k i s h e n a c h o c h o t e w a l a 9

wasimtegemee yeyote minghairi ya Mwenyezi Mungu. Imani yao iwe ya hali ya juu. Na haya ni masharti mawili na njia sahihi ili wapate kuongoka. Kisha Mwenyezi Mungu ametufundisha adabu na taratibu za kumwomba amesema kwamba: nûfô ø Ôø ÖôƒF àø nûeø È ô jøeû]æø ^`ø eô kû Êô^íø iö Ÿøæø Ôø iô ø ø eô û`ø rû iø Ÿøæø Wala usiseme dua zako kwa sauti kubwa, wala usiseme kwa sauti ndogo bali ushike njia baina ya hizo." (17:111). Yaani Mwenyezi Mungu yu karibu na Msikiaji sana. Kwahiyo haina maana kupiga makelele wakati wa kumwomba. Lakini kwa ajili ya kuondoa usingizi na fikra mbalimbali tunafundishwa kuomba kwa sauti ndogo. Katika kurasa zijazo tunawaletea wasomaji 10

wetu maombi ya Qur'an Tukufu. Maombi haya m e n g i n i y a M a n a b i i w a z a m a n i waliyofundishwa na Mwenyezi Mungu kumuomba. Kwa hiyo tumeandika kabla ya dua kwamba dua hii iliombwa na Nabii fulani. Baadhi ya maombi, kwa uchache sana, ni ya watu wema wengine. Na maombi mengine ni ya l e a l i yo f undishwa M t u me M t u ku f u Muhammad s.a.w. Mwenyezi Mungu atuj aalie kumuomba Muumbaji wetu na kumshukuru j uu ya aliyotusaidia katika mambo yote. Amin. Sheikh Muzaffar Ahmad Durrani Dar es Salaam 6.3.2002 11

1. OMBI KABLA YA MAOMBI M Ünûuô $Ö] àô ÛF uû $Ö] ²ô O Üô nûuô $Ö] àô ÛF uû $Ö] Q àö nûãôjøšû Þø Õø ^m$]ô æø ö föãûþø Õø ^m$]ô Üồnû øâø kø Ûû ÃøÞû]ø àø mû ô Ö$] ½ø ] ø ô S àø nûöô«$ Ö]Ÿø æø ] Üô Šû eô N àø nûûô øãf Öû] hô ø äô #Öô ö Ûû vø Öû]ø P àô mû ô Ö] Ýôçû mø Ôô ôúf R Üø nûïôjøšû Ûö Öû] ½ø ] ø ô Ö]^Þø ô aû ]ô Üồnû øâø hô çû ö ÇûÛø Öû] ônûæø Matamshi: Bismillahir Rahmaanir Rahiim. Alhamdulillaahi Rabbil 'Alamiin Arrahmaanir Rahiim. Maaliki yawmid Diin. Iyyaka na'budu waiyyaka nastaiin. I h d i n a s S w i r a a t w a l m u s t a q i i m. Swiraatwalladhiina An'amta alaihim ghairil maghdhuubi 'alaihim waladhdhaaliin. Tafsiri: Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwingi wa ukarimu. Sifa zote njema zinamhusu Mwenyezi Mungu, Mola wa 12

walimwengu, Mwingi wa rehema, Mwingi wa ukarimu, Mmiliki wa siku ya malipo. Wewe tu twakuabudu, na Wewe tu twakuomba msaada. Utuongoze njia iliyonyooka. Njia ya wale U l i o w a n e e m e s h a ; s i y o y a w a l e walioghadhibikiwa, wala siyo ya wale waliopotea. 2. DUA YA KUONGEZEWA ELIMU ^Û ûâô oû Þô û ô hô $ Matamshi: Rabbi zidnii Ilmaa. Tafsiri: Mola wangu, nizidishie elimu. (20:115) 3. MAOMBI KWA AJILI YA WAZAZI A. (Dua ya Nabii Ibrahim a.s.) hö ^Šø vô Öû] Ýöçû Ïömø Ýøçû mø àø nûßôúôç+ûö ûöôæø p$ ø Öô ]çø Öôæô oû Öô ûëôæû ] ^ßøe$ ø Matamshi: Rabbanaghfirlii waliwaalidayya 13

walilmu'miniina yauma yaquumulhisaab. Tafsiri: Ee Mola wangu unisamehe mimi na wazazi wangu na wale walioamini siku ya kusimama hesabu. (14:42). ] nûçô ø oßônfe$ ø ^Ûø Òø ^Ûø `ö Ûû uø û] hô $ B. Matamshi: Rabbir hamh umaa kama a rabbaya ani swaghiira. Tafsiri: Ee Mola wangu uwarehemu hawa wawili (wazazi wangu) kama walivyonilea nilipokuwa mdogo. (17:25). 4. KUOMBA GHOFIRA YAKO NA YA W A Z A Z I N A Y A W A A M I N I O N A MAANGAMIZO YA WADHALIMU (Dua ya Nabii Nuhu a.s.). ànûßôúôç+ Ûö ûöô æ$ ^ß Úô ç+úö oø jônûeø Øø ìø ø àû Ûø Öôæø $ ø Öô ]çø Öôæø oû Öô ûëôæû ] hô $ 14

] ^føiø Ÿ$ ]ô àø nûûô ô # Ö] ôˆôiø Ÿø æø kô ßFÚôç+Ûö Öû] æø Matamshi: Rabbighfirlii waliwaalidayya w a l i m a n d a k h a l a b a i t i y a m u ' m i n a n walilmu'miniina walmu'minaati walaa tazidi dhdhaalimiina illa tabaaraa. Tafsiri: Ee Mola wangu nighofirie mimi na wazazi wangu na wale walioamini miongoni mwa wanaume na wanawake na usiwazidishie wadhalimu ila maangamizo. (71:29). 5. DUA KWA AJILI YA WAAM INIO WALIOTANGULIA oû Êô Øû Ãørû iø Ÿø æø á ô ^Ûø mû û ô eô ^Þøçû Ïöfø ø àø mû ô Ö$] ^ßøÞô]çø ìû û ô æø ^ßøÖø ûëôæû ] ^ßøe$ ø ܺnûuô $ ͺ çñö ø Ôø Þ$]ô «ßøe$ ø ]çßöúø! àø mû ô $Öô &Æô ^ßøeôçû öîö Matamshi: Rabbanaghfirlanaa wal ikhwaanina lladhiina sabaquuna bil iimaan walaa taj al fii 15

quluubinaa ghilla lilladhiina aamanu, Rabbanaa innaka Rauufur Rahiim. Tafsiri: Mola wetu, Utughofiri pamoja na ndugu zetu waliotutangulia katika imani wala Usiweke mafundo katika mioyo yetu kwa walioamini; Mola wetu, hakika Wewe ni Mpole sana. Mwenye rehema. (59:11). 6. MAOMBI YA KUPATA UWEZO WA KUSHUKURU A. (Dua ya Nabii Suleiman a.s.). áû ]øæø p$ ø Öô ]æø o FÂø æø o$ øâø kø Ûû ÃøÞû]ø o? jôö$] Ôø jøûø ÃûÞô øóö û ]ø áû ]ø o? ßôÂû ôæû ]ø hô àø nûvô ô # Ö] Õø ô ^føâô oêô Ôø jôûø uû øeô oßô ûìô û ]øæø äö F ûiø ^v Öô^ ø Øø Ûø Âû ]ø Matam shi: Rabbi auz enii an ashkura ne'matakal latii an amta 'alayya wa 'alaa waalidayya wa an a'mala swaalihan tardhaahu wa ad'khlinii bi rahmatika fii ibaadikas swalihiin. $ 16

T af sir i: Ee Mola wangu, Unipe n guvu nishukuru neema Zako Ulizonineemesha mimi na wazazi wangu, na nipate kufanya vitendo vizuri vikupendezavyo, na Uniingize kwa rehema Zako katika watumishi Wako wema. (27:20). B. (Dua ya Nabii Musa a.s.) áû ]øæø p$ ø Öô ]æø o FÂø æø o$ øâø kø Ûû ÃøÞû]ø o? jôö$] Ôø jøûø ÃûÞô øóö û ]ø áû ]ø o? ßôÂû ôæû ]ø hô àø Úô oû Þô]ôæø Ôø nûöø]ô kö fûiö oû Þô]ô oû jôm$ ôƒö oû Êô oû Öô xû ô û ]øæø äö F ûiø ^v Öô^ ø Øø Ûø Âû ]ø àø nûûô ôšû Ûö ] Matam shi: Rabbi auz enii an ashkura ne'matakal latii an amta 'alayya wa 'alaa waalidayya wa an a'mala swaalihan tardhaahu wa aslih lii fii dhurriyyatii innii tubtu ilaika wa innii minal muslimiin. Tafsiri: Ee Mola wangu, Uniwezeshe nishukuru neema Zako ulizonineemesha mimi na wazazi Öû $ 17

wan gu, n a i l i ni fanye vitendo vizuri Unavyovipenda, na Ukanifanyie wema katika watoto wangu; kwa yakini ninatubu Kwako; na hakika mimi ni miongoni mwa waliosilimu. (46:16) 7. D U A W A K A T I W A K U P A N D A MERIKEBU AU CHOMBO CHOCHOTE A. (Dua ya Nabii Nuhu a.s.) ܺnûuô $ ºçû ËöÇøÖø oû e( ø á$ ]ô ^`ø F ûúöæø ^`ø m ôrû Úø ²] Üô Šû eô Matamshi: Bismillahi Majreehaa wamursaahaa inna rabbii laghafuurur Rahiim. Tafsiri: Kwa jina la Mwenyezi Mungu, kuwe kwenda kwake na kusimama kwake, hakika Mola wangu ni Msamehevu sana, Mrehemevu. (11:42). ^ß$eô ø of Ö]ô ^Þ$]ôæø àø nûþô ôïûúö äüöø ^ß$Òö ^Úøæø ] ø af ^ßøÖø øí$ ø pû ô Ö$] àø vf fû ö áø çû fö ôïøßûûö Öø 18

B. Matamshi: Subhaanal ladhii sakhkhara l anaa h a adhaa w amaa kunnaa l ahuu m u q r i n i i n a w a i n n a a i l a a r a b b i n a a lamunqalibuun: Tafsiri: Atukuzwe yeye aliyetutiishia haya na tusingaliweza kutenda haya wenyewe. Na bila shaka sisi tunarudia kwa Mola wetu.(43:14-15). 8. DUA YA KUPATA UFAULU KATIKA MAHUBIRI. (Dua ya Nabii Musa a.s.) p ôúû ]ø oû Öô ûšô møæø û p ô û ø oöô û ø û ] hô $ oû Öôçû Îø ]ç`öïøëû mø oû Þô ^Šø Öô àû Úô é ø ÏûÂö Øû öuû ] æø Matamshi: Rabbish rahlii swadrii wayassirlii amrii wahlul uqdatan millisaani yafqahuu qaulii. Tafsiri: Mola wangu! Unipanulie kifua changu. 19

Na Unifanyie rahisi kazi yangu. Na ufungue kifungo katika ulimi wangu. Wapate kufahamu kauli yangu. (20:26-29). 9. DUA YA KUOKOLEWA KATIKA WASIWASI WA SHETANI àô nû_ô nf $ Ö] lô ˆF Ûø aø àû Úô Ôø eô ƒöçû Âö ]ø hô á ô æû ö ö vû m$ áû ]ø hô ø Ôeô ƒöçû Âö ]ø æø Matamshi: Rabbi auudhubika min hamazaati sh shayaatw iin w aa uudhubika rabbi an yyahdhuruun. Tafsiri: Mola wangu najikinga kwako uniepushe na wasiwasi wa mashetani. Na n a j i k i n g a K w a k o M o l a w a n g u i l i wasinihudhurie. (23:98-99). $ 20

10. DUA YA KUINGIA KATIKA MAKAZI M A P Y A N A Y A K U T O K A K W A HESHIMA A. (Dua ya Nabii Nuhu a.s.) àø nûöôˆôßûûö Öû] önûìø kø Þû]øæ$ ^Ò øffú% Ÿ ˆøßûÚö oßôöûˆôþû]ø hô M a t a m s h i : R abbi a n z i l n i i M u n z a l a n Mubaarakan wa anta khairul Munziliin. Tafsiri: Mola wangu uniteremshe uteremsho wenye baraka, maana wewe ni mbora wa wateremshao. (23:30). ø àû Úô oû Öô Øû Ãøqû ]æ$ Ñõ û ô tø øíû Úö oßôqû ôìû ]øæ$ Ñõ û ô Øø ìø û Úö oßô ûìô û ]ø hô ] nû ô Þ$ ^ß _6 û ö Ôø Þû ö Ö$ B. Matamshi: Rabbi Ad khilnii mud'khala swidiqin wwa akhrij'nii mukhraja swidiqin wwaj allii milladunka sultwanan naswiira. ø 21

Tafsiri: Mola wangu uniingize mwingizo mwema, na Unitoe kutoka kwema. Na unipe nguvu kutoka Kwako isaidiayo. (17:81). 11. DUA YA KUPAT A M S AADA WA MWENYEZI MUNGU A. (Dua ya watu wa pango). ] ø ø ^Þø ôúû]ø àû Úô ^ßøÖø û aø n ô æ$ è Ûø uû ø Ôø Þû ö Ö$ àû Úô ^ßøiô!«ßøe$ ø Matamshi: Rabbanaa aatinaa milladunka rahmatan wwahayyi'i lanaa min amrinaa rashadaa. Tafsiri: Mola wetu utupe rehema kutoka Kwako na ututengenezee mwongozo katika jambo letu. (18:11). B. (Dua ya Nabii Nuhu a.s.). û ô jøþû ^Êø hº çû öçûúø oû Þô ]ø 22

Matamshi: Annii maghluubun fantaswir. Taf siri: K wa hakika nimeshindwa basi unisaidie. (54:11). C. (Dua ya Nabii Nuhu a.s.). á ô çû eö $ Òø ^Ûø eô oû Þô û ö Þû] hô M a t a m s h i : R a b b i n s w u r n i i b i m a a kadhdhabuun. Tafsiri: Mola wangu unisaidie kwa sababu wamenikadhibisha. (23:27). 12. DUA YA KUOMBA MSAMAHA NA MWISHO MWEMA ø ^ßøe$ ø ^ß$Úø^F Êø Üû Óö eô øeô ]çû ßÚô! áû ]ø á ô ^Ûø mû û ô Öô pû ô^ßøm% ^m ô^ßøúö ^ßøÃûÛô ø ^ßøÞ$]ô «ßøe$ ø ô] øeûÿø ]û Äø Úø ^ßøÊ$çø iøæø ^ßøiô ^Fn ô ø ^ß$Âø ûëôòø æø ^ßøeø çû Þöƒö ^ßøÖø ûëôæû ^Êø 23

Ôø Þ$]ô èôûø nfïôöû] Ýøçû mø ^Þøˆôíû iö Ÿø æø Ôø ô ö ö o øâø ^ßøiø û Âø æø ^Úø ^ßøiô!æø ^ßøe$ ø ø^ãønûûô Öû] Ìö ôíû iöÿø Matamshi: Rabbanaa Innanaa sami enaa munaadiyay yunaadii lil iimaani an`aaminuu birabbikum fa`aamannaa - Rabbanaa faghfir l a n a a d h u n u u b a n a a w a k a f f i r a n n a a sayyiaatinaa watawaffanaa ma al'abraar. Rabbanaa wa-aatinaa maa wa adtanaa 'alaa rusulika walaa tukhzinaa yaumal qiyaamati innaka laa tukhliful mi aad. Tafsiri: Mola wetu, hakika tumesikia Mwitaji anayeita kwenye imani ya kwamba mwaminini Mola wenu, kwa hiyo tumeamini. (Kwa hiyo) Mola wetu, Utusamehe madhambi yetu na Utuondolee maovu yetu na wakati wa kifo chetu Utuunganishe pamoj a na watu wema. Mola wetu, na Utupe Uliyotuahidi kwa Mitume Wako, wala Usitufedheheshe siku ya Kiyama; 24

bila shaka Wewe huvunji miadi. (3:194-195). B. (Dua ya wachawi waliomwamini Nabii Musa a.s.) àø nûûô ôšû Úö ^ßøÊ$çø iøæ$ ] fû ø ^ßønû øâø Éû ôêû]ø «ßøe$ ø Matamshi: Rabbanaa afrigh alainaa swabran wwa tawaffanaa muslimiin. Tafsiri: Mola wetu tumiminie subira na utufishe Waislamu (watii) (7:127). 13. DUA YA KUOMBA GHOFIRA NA REHEMA YA MWENYEZI MUNGU A. (Dua ya Nabii Musa a.s.) àø mû ôëôçf Öû] önûìø kø Þû]øæø ^ßøÛû uø ûæø ^ßøÖø ûëôæû ^øê ^ßøn%Öôæø kø Þû]ø Matamshi: Anta waliyyunaa faghfirlanaa warhmanaa wa anta khairul ghaafiriin. 25

Tafsiri. Wewe ndiwe Mlinzi wetu basi tusamehe na Uturehemu, nawe ndiwe Mbora wa kughofiri. (7:156). àø nûûô uô #Ö] önûìø kø Þû]øæø ^ßøÛû uø û ]æø ^ßøÖø ûëôæû ^øê ^ß$Úø! «ßøe$ ø B. Matamshi: Rabbanaa aamannaa faghfir lanaa warhamnaa wa anta khairur Raahimiin. Tafsiri: Mola wetu tumeamini, basi tusamehe n a t u r e h e m u n a w e n d i w e M b o r a w a wanaorehemu (23:110). àø nûûô uô #Ö] önûìø kø Þû]øæø Üû uø û ]æø ûëôæû ] hô ø C. Matamshi: Rabbi ghfir warham wa anta khairur Raahimiin: Tafsiri: Mola wangu samehe na rehemu, nawe ndiwe Mbora wa wanaorehemu (23:119). 26

14. DUA YA KUPATA NURU KAMILI NA GHOFIRA YA MWENYEZI MUNGU ºmû ô Îø û õ ø Øô Òö o FÂø Ôø Þ$]ô ^ßøÖø ûëôæû ]æø ^Þø øçû Þö ^ßøÖø Üû Ûô iû]ø «ßøe$ ø Matamshi: Rabbanaa Atmim lanaa nuuranaa waghfir lanaa innaka alaa kulli shai in Qadiir. Tafsiri: Mola wetu Ututimizie nuru yetu na Utughofirie, hakika wewe ni Mwenye uwezo juu ya kila kitu.(66:9). 15. DUA YA KUOMBA MSAMAHA NA MSAADA DHIDI YA MAKAFIRI ^ß ø nû ø Âø Ø û Ûôvû i ø Ÿ ø æø ^ß ø e$ ø ^Þ ø^û_ ø ì û ]ø æû ] ø «ß ø nûšô Þ $ áû ]ô «Þ ø û ìô ]ç* i ö Ÿ ø ^ß ø e$ ø ^Úø ^ß ø û Ûôvø i ö Ÿ ø æø ^ß ø e$ ø ^ß ø ôfûî ø àû Úô àø mû ôö $ ] o ø Âø äü j ø û Ûøuø ^ÛøÒ ø ] û ]ô ^ß ø Ö F çû Úø kø Þ û ] ø ^ß ø Ûû uø û ]æø ^ß ø Ö ø û ËôÆ û ]æø àø ^ß $ Âø Ìö Âû ]æø äeô ^ß ø Ö ø è ø Î ø^ ø Ÿ ø mû ôëôó F Ö û ] Ýô çû Ï ø Ö û ] o ø Âø ^Þ ø û ö Þ û^ Ê ø 27

A. Matamshi: Rabbanaa laa tuaakhidhnaa inna siinaa au akhtwa'naa. Rabbanaa walaa tahmil alainaa iswran kamaa hamaltahuu alalladhiina min qablinaa. Rabbanaa walaa tuhammilnaa maa laa twaaqatalanaa bihi. Wa fu annaa waghfirlanaa warhamnaa. Anta maulaanaa fansurnaa alalqaumil kaafiriin. Tafsiri: Mola wetu, Usitushike kama tukisahau au tukikosa, Mola wetu, na Usitubebeshe mzigo kama Ulivyowabebesha wale waliokuwa kabla yetu. Mola wetu, Usitutwike tusiyoyaweza, na Utusamehe, na Utughofirie, na Uturehemu; Wewe ndiwe mlinzi wetu; basi Utusaidie juu ya watu makafiri. (2:287). ^ß ø Úø] øî û ] ø kû fô$ ø æø ^Þ ø ôúû ] o?êô ^ß ø Ê ø ] ø û ]ôæø ^ß ø eøçþ ö ƒ ö ^ß ø Ö ø û ËôÆ û ]^ß ø e$ ø øàmû ôëôó F Ö û ] Ýô çû Ï ø Ö û ] o ø Âø ^Þ ø û ö Þ û æø B. M a t a m s h i : R a b b a n a g h ' f i r l a n a a dhunuubanaa wa israafanaa fii amrinaa wa 28

thabbit aqdaamanaa wanswurnaa alal-qaumil kaafiriin: Tafsiri: Mola wetu tughofirie madhambi yetu na kupita kwetu kiasi katika mambo yetu na Uimarishe miguu yetu na Utusaidie juu ya watu makafiri.(3:148). 16. DUA YA K UPATA S UBIRA NA NUSURA JUU YA MAKAFIRI Ýô çû Ï ø Ö û ] o ø Âø ^Þ ø û ö Þ û æø ^ß ø Úø] øî û ] ø kû fô$ ø æ$ ] fû ø àø mû ôëôó F Ö û ] ^ß ø nû ø Âø É û ôê û ø ]«ß ø e$ ø Matamshi: Rabbanaa afrigh alainaa swabran w w a t h abbi t aqdaamanaa w answurna Alal-qaumil kaafiriin: Tafsiri: Mola wetu tumi mini e sub ira n a Uimarishe miguu yetu na Utusaidie juu ya watu makafiri.(2:251). 29

17. DUA YA KUOMBA GHOFIRA YAKO NA YA KAKA YAKO (Dua ya Nabii Musa a.s.) àø nûûô uô #Ö] Üö uø û]ø kø Þû]øæø Ôø jôûø uû ø oû Êô ^ßø ûìô û ]øæø oû ìô Ÿôæø * oû Öô ûëôæû ] hô Matam shi: Rabbi gh' firlii waliakhii wa ad'khilnaa fii rahmatika wa anta Arhamur Raahimiin. Tafsiri: Mola wangu unisamehe mimi na ndugu yangu, na Utuingize katika rehema zako maana Wewe ndiwe M rehemevu zaidi kuliko wanaorehemu. (7:152). 18. DUA YA KUTOKUWA MKIWA (Dua ya Nabii Zakaria a.s.) àø nû$ô ôçf Öû] önûìø kø Þû]øæ$ ] ûêø oû Þô û ø iøÿø hô ø Matamshi: Rabbii laa tadharnii fardan wwa ø 30

anta khairul waarithiin. Tafsiri: Mola wangu usiniache peke yangu; na Wewe ndiwe Mbora wa wanaorithi. (21:90). 19. DUA YA KUTOA MTOTO WAKFU WAKATI BADO YUKO TUMBONI (Dua ya Bibi Mariamu) kø Þû]ø Ôø Þ$]ô oû ßôÚô Øû f$ïøjøêø ] $vø Úö oû ßô_û eø oû Êô ^Úø Ôø Öø lö û ø Þø oû Þô]ô hô Üöºnû ôãøöû] nûûô Š$ Ö] Äö ø Matamshi: Rabbi Innii nadhartu laka maa fii batwnii Muharraran fataqabbal minnii, Innaka antas samiiul 'aliim. Tafsiri: Mola wangu hakika nimeweka nadhiri Kwako aliyomo tumboni mwangu kuwa wakfu; basi nikubalie. B ila shaka W ewe ndiwe Usikiaye, Ujuaye. (3:36). 31

20. DUA YA KUOMBA KIZAZI CHEMA A. (Dua ya Nabii Ibrahim a.s.). àø nûvô ô # Ö] àø Úô oû Öô gû aø hô ø Matamshi: Rabbi hab lii minasswaalihiin: Tafsiri: Mola wangu nipe (mwana) miongoni mwa watendao wema. (37:101). B. (Dua ya Nabii Zakaria a.s.) ðô«âø % Ö] Äö nûûô ø Ôø Þ$]ô è føn ô ø è m$ ôƒö Ôø Þû ö Ö$ àû Úô oû Öô gû aø hô ø Matam shi: Rabbi hab lii min ladunka dhurriyyatan twayyibatan Innaka samiiu ddu'aa Tafsiri: Mola wangu unipe kutoka Kwako wazao wazuri; kwa yakini wewe ndiwe usikiaye maombi. (3:39). C. Dua ya Nabii Zakaria a.s. ^n&öôæø Ôø Þû ö Ö$ àû Úô oû Öô gû aø 32

Matamshi: Hab lii min ladunka waliyyaa. Tafsiri: (Mola wangu) Unipe mrithi kutoka Kwako. (19:6). 21. DUA KWA AJILI YA AHLI NA WATOTO A. (Dua ya Nabii Ibrahim a.s.) ^Þø ô]øæø Ôø Ö$ è Ûø ôšû Ú% è Ú$]ö «ßøjôm$ ôƒö àû Úôæø Ôø Öø àø nûûø ôšû Úö ^ßø ûãøqû ]æø ^ßøe$ ø Üö nûuô $Ö] hö ]ç$j$ö] kø Þû]ø Ôø Þ$]ô ^ßønû øâø gû iöæø ^ßøÓø ô ^ßøÚø Matamshi: Rabbanaa waj alnaa muslimaini l a ka w amin d h u rriy yat i n aa umma t a n mmuslimatan llaka, wa arinaa manaasikanaa watub alainaa innaka antat tawwaabur Rahiim. Tafsiri: Ee Mola wetu, Utufanye tuwe wajitupao Kwako, na miongoni mwa wazao wetu pia Uwafanye watu wajitupao Kwako. Na Utuonyeshe njia za ibada yetu na Utuelekee; bila 33

shaka Wewe ndiwe Mwelekevu, Mrehemevu. (2:129). ^Ú ^Úø]ô àø nûïôj$ûö ûöô ^ßø ûãøqû æ$ àõ nöâû ]ø éø $Îö ^ßøjôm# ôƒöæø ^ßøqô ]æø û]ø àû Úô ^ßøÖø gû aø ^ßøe$ ø B. Matam shi: Rabbanaa hab lanaa min az'waajinaa wadhurriyyaatinaa qurrata a yunin waj alnaa lilmuttaqiina imaamaa. Tafsiri: Mola wetu utupe katika wake zetu na watoto wetu yaburudishayo macho, na Utujaalie kuwa viongozi kwa wamchao (Mungu).(25:75). 22. DUA KWA AJILI YA KUSALI WEWE NA WAZAO WAKO (Dua ya Nabii Ibrahimu a.s.). ðô«âø ö Øû f$ïøiøæø ^ßøe$ ø ojôm$ ôƒö àû Úôæø éôç F $ Ö] Üø nûïôúö oû ßô ûãøqû ] hô Matamshi: Rabbij'alnii muqiima sswalaati wa min dhurriyyatii. Rabbanaa wa taqabbal du aa. ø 34

Tafsiri : M ola wangu unijaalie niwe msimamisha sala na wazao wangu (pia); Mola wetu na Upokee maombi yangu. (14:42). 23. DUA YA KUPATA AMANI YA MJI NA KUJIEPUSHA NA IBADA YA MASANAMU (Dua ya Nabii Ibrahim a.s.) Ýø ^ßø û Ÿû] ø ø föãûþ$ áû ]ø o$ ßôeøæø oû ßôfûßöqû ]æ$ ^ß Úô! ø øføöû] ] ø af Øû Ãøqû ] hô Matamshi: Rabbij'al haadhal balada aaminan wwaj'nubnii wabaniya an na'buda l'aswnaam. Tafsiri: Mola wangu, Ujaalie mji huu uwe wa amani, na Unitenge mimi na wanangu tusiabudu masanamu. (14:36). 24. DUA YA KUPATA RIZIKI (Dua ya Nabii Isa a.s.) ^ßøÖôæ$]ø Ùô ] nûâô ^ßøÖø áö çû Óö iø ðô«ûø Š$ Ö] àø Úô é ø ñô«úø ^ßønû øâø Ùû ˆôÞû]ø «ßøe$ ø Ü$ `ö #Ö]ø àø nûîô ô #Ö] önûìø kø Þû]øæø ^ßøÎû ö û]æø Ôø ßûÚô è mø!æø ^Þø ôìô! æø ø 35

Matamshi: Allaahumma Rabbanaa Anzil Alainaa Maaidatan mminassamaai takuunu lanaa 'iiddaliawwalinaa wa aakhirinaa wa aayatan mminka warzuqnaa wa anta khairur Raaziqiin. Tafsiri: Mola wetu, tuteremshie chakula kutoka mbinguni ili kiwe sikukuu kwa ajili ya wa mwanzo wetu na wa mwisho wetu, na kiwe Ishara itokayo Kwako, na Uturuzuku, kwani Wewe ni Mbora wa wanaoruzuku. (5:115). 25. DUA YA KUTOPOTEA BAADA YA KUONGOKA Ôø Þ$]ô è Ûø uû ø Ôø Þû ö Ö$ àû Úô ^ßøÖø gû aø æø ^ßøjømû ø aø ƒû ]ô ø Ãûeø ^ßøeøçû öûîö Éû ˆôiö Ÿø hö ^a$ çø Öû] kø Þû]ø Matamshi: Rabbanaa laa tuzigh quluubanaa ba ada idh hadaitanaa wa hab lanaa milladunka rahmatan, Innaka antal Wahhaab. ^ßøe$ ø 36

Tafsiri: Mola wetu usiipotoshe mioyo yetu baada ya Kutuongoza, na Utupe rehema kutoka Kwako, hakika Wewe ndiwe Mpaji Mkuu.(3:9). 26. DUA YA KUOKOLEWA KATIKA MJI AMBAO WATU WAKE NI WADHALIMU NA KUPATA MSAIDIZI KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU ^n&öôæø Ôø Þû ö Ö$ àû Úô ^ßøÖ$ Øû Ãøqû æø ^`ø öaû ]ø Üô Öô^ $ Ö] èômø ôïøöû] åô ô af àû Úô ^ßøqû ôìû ]ø «ßøe$ ø ] nû ô Þø Ôø Þû ö Ö$ àû Úô ^ßøÖ$ Øû Ãøqû æ$ Matamshi: Rabbanaa Akh rijnaa min haadhihil qaryati dhdhaalimi ahluhaa. Waj allanaa minlladunka waliyyaa, waj allana milladunka naswiiraa. Tafsiri: Mola wetu Ututoe katika mji huu ambao watu wake ni wadhalimu, na Utujaalie mlinzi kutoka Kwako, na Utujaalie msaidizi kutoka Kwako. (4:76). 37

27. DUA YA UPAMBANUO BAINA YA HAKI NA BATILI (Dua ya Nabii Shuaib a.s.) àø nûvô jôëf Öû] önûìø kø Þû]ø æø Ðô vø Öû^eô ^ßøÚôçû Îø àø nûeøæø ^ßøßønûeø xû jøêû] ^ßøe$ ø Matamshi: Rabbana-ftah bainanaa wa baina Qauminaa bilhaqqi wa anta khairul faatihiin. Tafsiri: Mola wetu hukumu baina yetu na baina ya kaumu yetu kwa haki, nawe ndiwe Mbora wa wanaohukumu. (7:90). 28. DUA YA KUOKOLEWA NA WATU WADHALIMU (Dua ya watu wa Peponi). àø nûûô ô # Ö] Ýôçû ÏøÖû] Äø Úø ^ßø ûãørû iø Ÿø ^ßøe$ ø Matamshi: Rabbanaa laa taj alnaa ma alqaumi dhdhaalimiin. 38

Tafsiri: Mola wetu Usituweke pamoja na watu wadhalimu. (7:48). àø nûûô ô¾# ] Ýôçû ÏøÖû] àø Úô oû ßôrô Þø hô ø Matam shi: Rabbi Najjinii minal qaumi dhdhaalimiin. Tafsiri: Mola wangu niokoe katika watu wadhalimu.(28:22). 2 9. D U A Y A K U J I E P U S H A N A WADHALIMU (Dua ya Nabii Musa a.s.) àø nûûô ô # Ö] Ýôçû ÏøÖû] oêô oû ßô ûãørû iø ø Êø hô ø Matamshi: Rabbi falaa taj alnii Fil qaumi dhdhaalimiin Tafsiri: Mola wangu usinijaalie katika watu wadhalimu.(23:95). 39

30. DUA YA WOKOVU KATIKA HILA ZA WAPINZANI (Dua ya Nabii Luti a.s.) áø çû öûø Ãûmø ^Û$ Úô o ôaû ]øæø oû ßôíô Þø hô Matamshi: Rabbi Najjinii wa ahlii mimmaa yaamaluun. Tafsiri: Mola wangu, Uniokoe mimi na ahali zangu katika yale wanayoyafanya.(26:170). 31. DUA YA KUOMBA GHOFIRA BAADA YA KUKOSEA (Dua ya Nabii Musa a.s.) oû Öô ûëôæû ^Êø oû Šô ËûÞø kö Ûû ø¾ø oû Þô]ô hô Matamshi: Rabbi Innii dhalamtu nafsii faghfir lii. ø ø 40

Tafsiri: Mola wangu nimedhulumu nafsi yangu basi nighofirie.(28:17). 32. DUA YA KUOKOLEWA KATIKA FITINA YA MAKAFIRI NA WAFISADI A. (Dua ya watu wa Nabii Musa a.s.). Ô ø jôûøuû øeô ^ß ø rô Þ ø æø àø nûûô ô # Ö] Ýô çû Ï ø û Öô è ß ø j û Êô ^ß ø û Ãørû i ø Ÿ ø ^ß ø e$ ø àø mû ôëôó F Ö û ] Ýô çû Ï ø Ö û ] àø Úô Matamshi: Rabbanaa laa taj alnaa fitnatan lilqaumi dhdhaalimiin wa najjinaa birahmatika minal qaumil kaafriin. Tafsiri: Mola wetu usitufanye jaribio kwa watu wadhalimu. Na Utuokoe kwa rehema Yako na watu wadhalimu.(10:86-87). B. (Dua ya Nabii Lut a.s.) àø mû ô Šô ËûÛö Öû] Ýôçû ÏøÖû] o øâø oû Þô û ö Þû] hô ø 41

Matam shi: Rabbi n swurnii Alal Qaumil mufsidiin. Tafsiri: Mola wangu unisaidie juu ya watu wafisadi. (29:31). C. (Dua ya Nabii Ibrahim a.s.). kø Þû]ø Ôø Þ$]ô ^ßøe$ ø ^ßøÖø ûëôæû ]æø ]æû öëøòø àø mû ô $Öô è ßøjûÊô ^ßø ûãørû iø Ÿø Üö nûóô vø ] Öû]ˆömûˆôÃøÖû Matamshi: Rabbanaa laa taj alnaa fitnatan llilladhiina kafaruu waghfir lanaa Rabbanaa innaka antal Aziizul Hakiim. ^ßøe$ ø Tafsiri: Mola wetu, Usitufanye jaribio kwa wale waliokufuru, na Utughofiri, Mola wetu hakika Wewe ni mwenye nguvu, mwenye hekima. (60:6). 42

33. DUA YA KUOM BA M SAADA WA MWENYEZI MUNGU A. (Dua ya Nabii Nuhu a.s.) û ô jøßûêø hº çû öçûúø oû Þô ]ø Matamshi: Innii Maghluubun fantaswir T a f s i r i : (M o l a w a n g u) k w a h a k i k a nimeshindwa basi nisaidie.(54:11). B. (Dua ya Nabii Nuhu a.s.) á ô çû eö $ Òø ^Ûø eô oû Þô û ö Þû] hô ø M a t a m s h i : R a b b i n S w u r n i i b i m a a kadhdhabuun. Tafsiri: Mola wangu unisaidie kwa sababu wamenikadhibisha.(23:27). 43

34. DUA YA MAANGAMIO YA MAKAFIRI A. (Dua ya Nabii Nuhu a.s.) ] ^m$ ø àø mû ôëôó F Ö û ] àø Úô šô û Ÿ øû ] o ø Âø û ø i ø Ÿ ø hô Matamshi: Rabbi laa tadhar ala l'ardhi minal kaafiriina dayyaaraa. Tafsiri: Mola wangu usiache juu ya ardhi mkazi ye yote katika makafiri (71:27). B. (Dua ya Nabii Musa a.s.) Üû ồeôçû öîö o FÂø û ö û æø Üû ồöô]çø Úû]ø o? F Âø û Ûô û ] ^ßøe$ ø Matamshi: Rabbana tw'mis alaa am'waalihim wash'dud alaa quluubihim Tafsiri: Mola wetu, ziangamize mali zao na ishambulie mioyo yao. (10:89). ø 44

35. DUA YA KUOMBA WEMA KATIKA DUNIA NA AKHERA NA KUJIKINGA NA ADHABU YA MOTO ô^ß$ö] hø ] ø Âø ^ßøÎôæ$ è ßøŠø uø ôé øìô Ÿû] F oêô æ$ è ßøŠø uø ^nøþû % Ö] oêô ^ßøiô! «ßøe$ ø A. Matamshi: Rabbanaa aatinaa fii dduniya hasanatan wwafil aakhirati hasanatan wwaqinaa adhaaban naar. Tafsiri: Mola wetu utupe wema duniani na wema katika Akhera na Utulinde na adhabu ya Moto. (2:202). ô^ß$ö] hø ] ø Âø ^ßøÎôæø ^ßøeøçû Þöƒö ^ßøÖø ûëôæû ^Êø ^ß$Úø! «ßøÞ$]ô «ßøe$ ø B. Matamshi: Rabbanaa innanaa aamanaa faghfir lanaa dhunuubanaa waqinaa adhaaban naar. Tafsiri: Mola wetu hakika sisi tumeamini, basi 45

utughofirie madhambi yetu, na Utuepushe na Adhabu ya Moto.(3:17). ô^ß$ö] hø ] ø Âø ^ßøÏôÊø Ôø ßøvF fû ö ô ^eø ] ø af kø Ïû øìø ^Úø ^ßøe$ ø C. Matamshi: Rabbanaa maa khalaqta hadhaa baatwilan. Sub'haanaka faqinaa adhaaban naar. Tafsiri: Mola wetu Hukuviumba hivi bure; utukufu ni Wako, basi Utuepushe na adhabu ya Moto. (3:192). ^Ú ] øæø áø ^Òø ^`ø eø ] ø Âø á$ ]ô Üø ß$`ø qø hø ] ø Âø ^ß$Âø Íû ô û ] ^ßøe$ ø D. Matamshi: Rabbana-swrif 'annaa 'adhaaba Ja h a n n a m a i n n a ' a d h a a b a h a a k a a n a gharaamaa. Tafsiri: Mola wetu utuondolee adhabu ya Jahannam, bila shaka adhabu yake ndiyo iendeleayo. (25:66). 46

36. DUA YA KUPATA SUBIRA NA KIFO CHEMA (Dua ya wachawi waliomwamini Nabii Musa a.s.) àø nûûô ôšû Úö ^ßøÊ$çø iøæ$ ] fû ø ^ßønû øâø Éû ôêû]ø «ßøe$ ø Matamshi: Rabbanaa afrigh alainaa swabran wwatawaffanaa Muslimiin. Tafsiri: Mola Wetu tumiminie uvumilivu na Utufishe watii.(7:127). 37. DUA YA KUWA M TU M WEM A KUTAJWA KWA WEMA NA KUPATA PEPO (Dua ya Nabii Irahim a.s.) áø ^Šø Öô oû Öô Øû Ãøqû ]æø àø nûvô ô # Ö^eô oû ßôÏôvô Öû]øæ$ ^Û Óû uö oû Öô gû aø hô ø Üô nûãôß$ö] èôß$qø èô$ø øæ$ àû Úô oû ßô ûãøqû ] æø àø mû ôìô Ÿ6 ] oêô Ñõ û ô 47

Matamshi: Rabbi Hablii Hukman wwa alhiqnii bi sswaalihiin. Waj allii lisaana swidiqin fil a a k h i r i i n. W a j a l l i i m i n w w a r a t h a t i jannatin-naiim. Tafsiri: Mola wangu Unipe (nguvu ya kutoa) hukumu na Uniunge pamoja na watendao wema. Na unijaalie kutajwa kwa wema katika watu wa baadaye. Na Unijaalie katika warithi wa Bustani za neema. (26:84-86). 38. DUA YA KUPATA WEMA KATIKA DUNIA NA AKHERA (Dua ya Nabii Musa a.s.). Ôø nûöø]ô «Þø û aö ^Þ$]ô éô øìô Ÿû] F oêôæ$ è ßøŠø uø ^nøþû % Ö] åô ô af oû Êô ^ßøÖø gû jöòû ] æø Matamshi: Waktublanaa fii haadhihii dduniyaa hasanatan wwa fil aakhirati, Innaa hudnaa Ilaika. 48

Tafsiri: Na Utuandikie mema katika dunia hii na Akhera; bila shaka tumeelekea Kwako. (7:157). 39. DUA YA KUEPUSHWA KUOMBA JUU YA JAMBO USILO NA ELIMU NALO (Dua ya Nabii Nuhu a.s.) oû Öô û ËôÇû iø Ÿ$]ôæø ܺ ûâô äeô oû Öô ø nûöø ^Úø Ôø øòø û ]ø áû ]ø Ôø eôƒö çû Âö ]ø oû? Þô]ô hô àø mû ôšô íf Öû] àø Úô àû Òö ]ø oû? ßôÛû uø û iøæø Matamshi: Rabbi innii a'uudhubika an as'alaka maa laisa lii bihii 'ilmun wwaillaa tadhfirlii watarhamnii akun mminal khaasiriin. Tafsiri: Mola wangu, hakika mimi najikinga Kwako nisije kukuomba nisiyoyajua; na kama Hutanisamehe na kunirehemu, nitakuwa miongoni mwa wapatao hasara. (11:48). $ 49

4 0. D U A Y A K U J I K I N G A K W A MWENYEZI MUNGU Üô nûuô $Ö] àô ÛF uû $Ö] ²ô ] Üô Šû eô ] ƒø]ô Ðõ ô ^Æø ô ø àû Úôæø Ðø øìø ^Úø ô ø àû Úô Ðû øëøöû] hô øeô ƒöçû Âö ]ø Øû Îö ô ÏøÃöÖû] oêô kô %FË#ß$Ö] ô ø àû Úô æø gø Îøæø ø Šø uø ]ƒø]ô õ ô ^uø ô ø àû Úô æø A. Matamshi: Bismillahir-Rahmaanir-Rahiim. Qul a'uudhu birabbil falaq. Min sharri maa khalaq, wamin sharri ghaasiqin idhaa waqab, wa min sharrin Naffaathaati fil 'uqad, wamin sharri haasidin idhaa hasad. Tafsiri: Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwingi wa ukarimu. 2. S e m a : N a j i k i n g a k w a M o l a w a mapambazuko, 3. (Anilinde) katika shari ya Alivyoviumba, 50

4. Na katika shari ya giza la usiku liingiapo, 5. Na katika shari ya wale wanaopulizia mafundoni, 6. Na katika shari ya hasidi anapohusudu. (113:1-6). Üô nûuô $Ö] àô ÛF uû $Ö] ²ô ] Üô Šû eô Œô ^ß$Ö] äôöf ]ô Œô ^ß$Ö] Ôô ôúø Œô ^ß$Ö] hô øeô ƒöçû Âö ]ø Øû Îö Œô ^ß$íø Öû] Œô ]çø û çø Öû] ô ø àû Úô Œô ^ß$Ö]æø èôß$rô Öû] àø Úô Œô ^ß$Ö] ôæû ö ö oû Êô Œö çô û çø mö pû ô Ö$ ] B. Matamshi: Bismillahir-Rahmaanir-Rahiim. Qul a'uudhu birabbin-naas, Malikin-Naas, Ilaahin-Naas; min sharril was'waasil khannaas. Alladhii yuwas'wisu fii suduurin-naas. Minal jinnati wan-naas. Tafsiri: Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwingi wa ukarimu. 2. Sema: Ninajikinga kwa Mola wa watu, 3. Mfalme wa watu, 51

4. Mwabudiwa wa watu, 5. Katika shari ya wasiwasi wa (Shetani) aendaye kisirisiri kwa hila, 6. Atiaye wasiwasi mioyoni mwa watu, 7. Miongoni mwa majini na watu. (114:1-7). 52

QURANIC PRAYERS Kiswahili Version By Muzaffar Ahmad Durrani ISBN 9987-8932-1-x Many Quranic Prayers have been compiled in this pocket book, to make it easy for our new readers. There is transliteration of Arabic text in Roman letters and its Kiswahili translation. It has been also mentioned that certain prayer was used by which Prophet. AHMADIYYA MUSLIM JAMAAT TANZANIA 53

äô #Ö] Ùö ç» ö $ ºÛ$ vø Úö äö #Ö] Ÿ$]ô äø ÖF ]ôÿ6? Ümû Óø Ö] á ô û ÏöÖ] èö n$âô û ]ø MAOMBI YA QUR'AN TUKUFU SHEIKH MUZAFFAR AHMAD DURRANI 54 54

QURANIC PRAYERS Kiswahili Version By Muzaffar Ahmad Durrani ISBN 9987-8932-1-X Many Quranic Prayers have been compiled in this pocket book. To make it easy for our new readers, there is transliteration of Arabic text in Roman letters and its Kiswahili translation. It has been also mentioned that certain prayers were used by particular Prophet. AHMADIYYA MUSLIM JAMAAT TANZANIA 55