Je, Umesikia Juu Ya Kanuni Nne Za Kiroho?

Similar documents
John Lesson Eighteen Yohana Somo la Kumi na Nane

There is one God Mungu ni mmoja 1

FOUR SPIRITUAL LAWS. The Basics Series. created by Cru

NEW LIFE IN CHRIST MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO

WOULD YOU LIKE TO KNOW G O D PERSONALLY?

experience the The following 4 principles ABUNDANT LIFE will help you DISCOVER how to know God personally He promised.

EVANGELISM FOR CHRIST UINJILISTI KWA AJILI YA KRISTO

Pre-Departure Program Swahili Unit 11 Worksheet UNIT 11: LOCATIVES, PREPOSITIONS, AND RELATIVE AND OBJECT INFIXES

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF BOMAS OF KENYA

Kitabu Changu cha Mistari ya Biblia Swahili

bk7m;ocif. arwmawmfesifht-uhtpnfawmfudk -um;zl;ygovm;?

MALAIKA: WAJUMBE WA MUNGU

HOW YOU CAN KNOW GOD PERSONALLY

NEW INTERNATIONAL VERSION

Ujasiri wa Kimaadili. Mojawapo ya madhumuni ya maisha ya duniani

Latin letters as YHWH. It is one of the names of God used in the Hebrew Bible.) The Lord said: You shall be Holy, for I am Holy.

ZABURI 91 mstari 1. KJV-lite VERSES

GOD S DESIRE. GOD S DESIGN So God created man in his own image, in the image of God He created him; male and female He created them.

NEW INTERNATIONAL VERSION

God's purpose for you. [Christ is speaking] "My purpose is to give life in all its fullness." (John 10:10)

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF

The Lord be with you And with your spirit

MTIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA KIRINYAGA YA KATI MWAKA WA 2013

NANDI COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

BARUA YA TATU KWA SHEIKH UBAYD AL-JÂBIRĪ [AULIZWA SHEIKH UBAYD] NA Sheikh Sālim at-twawîl (hafidhahullāh)

Rainbow of Promise Journal

JUNE 4, Acts 2:1-12 and Offering...Pastor Maromy Samuel All Hail the Power of Jesus Name led by Haitian Congregation Worship Team

Imâm Al-Albâni, Katika Kumsifu Mwanafunzi Wake, Muheshimiwa Sheikh Ali Hasan 1

BARAZA LA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA (Mawasiliano yawasilishwe kwa MSAJILI)

How To Work Around The Altar - Part Two Becoming a Follower of Jesus - Session 5 13 February 2013

WELCOME TO GOD S SERVICE A.C.K. ST. LUKE S PARISH UMOJA & TENA CHURCH QUOTE OF THE WEEK PRAYER OF THE DAY

DINI JE, DINI NI MUHIMU?

No. Book Name Category Type Price 1 AFYA MARIDHAWA -1 SWAHILI SUBSCRIPTION 2, AFYA NA UZIMA SWAHILI SUBSCRIPTION 8,500.00

Tawasali. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags:

Kuishi Maisha Tele. Katika mwanzo wa mwaka mpya, Niliwapa changamoto

Sura al-ahzaab. Tafsiri na Maelezo. Abdilahi Nassir

HOLY COMMUNION ACCORDING TO THE KENYAN RITE

HALI YA UISLAMU. Maelezo ya kumsaidia Mkristo aufahamu Uislamu

NANDI COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

Bismillah ar-rahman ar-raheem SHAHADA 1 YALIYOMO

Steps to Peace. WithGod

HAKIKA YA AHMADIYYA. Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania

Dhana ya Ndoa ya Mitala na Ndoa za Mtukufu Mtume

WELCOME TO GOD S SERVICE ACK ST. LUKE`S PARISH UMOJA Theme: Endeavoring to touch the heart of God, (Matt 25:40). Kuazimia kumpendeza Mungu

Ukweli Uliopotea - Sehemu Ya Tatu

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, MANDERA CENTRAL CONSTITUENCY, HELD AT RHAMU

Published on Al-Islam.org ( Home > Mahari ya Damu > Mahari ya Damu. Mahari ya Damu

Ukweli wa hadith ya karatasi

Toleo la kwanza: June, 2007 (Jamaadi Aakhar, 1428) Vitabu ii.

EVANGELISM USING THE 4 SPIRITUAL LAWS LESSON 1: INTRODUCTION TO THE 4 SPIRITUAL LAWS

(Cell) (Cell) (Cell) (Landline) (Cell)

VACATION BIBLE SCHOOL VBS. Newsletter. #Rebuilding through prayer, hard work & perseverance.

Gazeti la kwanza la Kiislam kutolewa kwa lugha ya Kiswahili - mwaka 1936

KNOWING GOD PERSONALLY

IFAHAMU BIBLIA KATIKA UBORA WAKE.

2002 Version of the Basic Talk on "Using African Proverbs, Sayings, Idioms, Riddles, Stories, Fables, Play

KNOWING GOD. personally

שלום SHALOM. Do you have peace with G-d? יש לך שלום עם אלוהים? First Fact. Second Fact

In Search of Contact: Rhetorical Questions in the Communicative Frame of the Funeral Sermon

AHMAD AL-RAYSUNI. SWAHILI VERSION idara ya Lugha na ukalimani ya Chuo Kikuu cha waislamu cha Morogoro. IIIT Mfululizo wa Vitabu kwa Muhtasari

Imam Mahdi katika Usunni Na Ushia

Vitendawili Vya Swahili

YA AL HABBIB SAYYEID

etigñks< <al c ab xagrblwgvij an TaMgbYnRbkarßeT/ Have you heard of the Four Spiritual Laws?

Have you heard of the Four Spiritual Laws?

February 9, 2017 COUNTY ASSEMBLY DEBATES 16 MOMBASA COUNTY ASSEMBLY

christ how to receive

Who Is Jesus? ..the GIFT of God is eternal life in Christ Jesus our Lord (Romans 6:23).

Khadija-tul-Kubra. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Published on Books on Islam and Muslims Al-Islam.org (

You can KNOW the Most Important part of YOUR Future

Mashairi ya Masaibu ya Karbala

What is the B E S T DECISION. you ve made in your life?

Cultural Considerations Tanzania Excursion

Where is Africa? 2. What is African heritage? 3. What is the African heritage in the Bible? 6. What are African ways of worship?

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS IJARA CONSTITUENCY AT IJARA BARAZA PARK

bk&m;ocif.arwwmawmfesifh t-uhtpnfawmfudk-um; zl;ygovm;?

On the day of, (year), I, (your name). received Jesus Christ as my personal Lord and Savior.

OXFORD BIBLE CHURCH. meets Sundays at 11am and 6pm at Cheney School Hall, Cheney Lane, Headington

Zanzibar itafutika-mwanasheria

God is Creator. God is holy. God is love. God is in Heaven.

Uwezo Kenya National Learning Assessment 2014

The Resurrection of Jesus Christ. Matthew 28

01.GOSPEL DISCIPLESHIP CURRICULUM LEARN IT! LIVE IT! Your journey to being an Equipped Disciple starts here.

ATTACHMENT TWO THE SIMPLE GOSPEL MESSAGE. The gift of God is eternal life in Christ Jesus our Lord. (Romans 6:23b)

NAIROBI CITY COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

1. God loves us and made us for a close relationship with himself

The decision to accept Christ as your Savior is the most important one you ll ever make. Q: If God loves me so much, why does he feel so far away?

Have you heard of the Four Spiritual Laws?

Have You Made the Wonderful Discovery of the Spirit-Filled Life?

Defunct by Default 1. Jeremiah 4:14 O Jerusalem, wash your heart from evil, that you may be saved. How long shall your wicked thoughts lodge within yo

BECOMING PART OF GOD S FAMILY. A Guide To Help Students Make a Decision to Become a Christian

Theological Background of the Four Spiritual Laws

L I V I N G C H R I S T

Personal Evangelism Training. By Tim Leahy THE GOSPEL. Means Good News & The Good News is God Offers Salvation Providing Eternal Life

GROUP LEADER S GUIDE

Your New Life in Christ

Winnipeg Christian Family Ministry Inc. Statement of Faith. 1. Holy Scripture Bible

And God saw every thing that He had made, and, behold, it was very good Genesis 1:31a

Living in Christ four- lesson Bible study

ssa ayyiin yes yes tto a Rella attiio nsship wiith Jes th Jesu uss s p r in gbr SPRING BRANCH CHURCH n ch.or

Transcription:

Je, Umesikia Juu Ya Kanuni Nne Za Kiroho? Have You Heard of the Four Spiritual Laws? Just as there are physical laws that govern the physical universe, so are there spiritual laws which govern your relationship with God. Kila jambo maishani lina kanuni zake. Kadhalika maisha ya kiroho yana kanuni zake za jinsi ya kushirikiana na Mungu. God LOVES you and offers a wonderful PLAN for your life. Mwenyezi Mungu ANAKUPENDA, naye amekupangia MPANGO wa ajabu kwa maisha yako. GOD S LOVE God so loved the world that He gave His one and only Son, that whoever believes in Him shall not perish, but have eternal life (John 3:16 NIV). GOD S PLAN FOR YOU [Christ speaking] I came that they might have life, and might have it abundantly [that it might be full and meaningful] (John 10:10). Why is it that most people are not experiencing the abundant life? Because.. UPENDO WA MUNGU "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele" (Yohana 3:16). MPANGO WA MUNGU KWAKO [Yesu alisema:] "Mimi nilikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele" (Yohana 10:10). Je, kwa nini watu wengi hawana uzima huo? Man is SINFUL and SEPARATED from God. Thus, he cannot know and experience God s love and plan for his life. Mwanadamu ni MWENYE dhambi naye AMEJITENGA na Mungu. Kwa sababu hiyo hawezi kujua upendo wa Mungu kwake. MAN IS SINFUL All have sinned and fall short of the glory of God (Romans 3:23). MWANADAMU NI MWENYE DHAMBI "Kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu" (Warumi 3:23). Man was created to have fellowship with God; but, because of his stubborn self-will, he chose to go his own independent way, and fellowship with God was broken. To leave Him instead of respecting Him is a sin. Anybody doing anything against the will of God continues to sin against Him. Mungu alimuumba mwanadamu kwa kusudi la kushirikiana naye, lakini mwanadamu alikwenda kinyume cha mpango wa Mungu. Alichagua kumwasi Mungu badala ya kumtii. Kumuasi Mungu ni kufanya dhambi. Mtu anapoishi kinyume cha mapenzi ya Mungu anaendelea kuishi maisha ya dhambi. Swahili / English Edition Page 1

MAN IS SEPARATED But your iniquities have separated you from your God (Isaiah 59:2). MWANADAMU AMETENGANA NA MUNGU "Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu." (Isaya 59:2) This diagram illustrates that God is holy and man is sinful. A great gulf separates the two. The arrows illustrate that man is continually trying to reach God and the abundant life through his own efforts, such as a good life, philosophy, or religion - but he inevitably fails. WENYE DHAMBI SINFUL MAN MATENDO MAZURI DINI NA SADAKA KUSAIDIA WATU KUENDA KANISANI SHIMO MUNGU HOLY GOD Mchoro huu unaashiria ya kwamba mwenyezi Mungu Mtakatifu hana ushirika na dhambi. Kati yake na mwanadamu kuna ufa mkubwa wa dhambi. Mwanadamu hujaribu kumfikia Mungu kwa njia nyingi: dini, matendo mema, sala, n.k., lakini hizi zote hazitoshi. Mwanadamu bado ni mwenye dhambi. The third law explains the only way to bridge this gulf.... Kuna njia moja tu ya kushirikiana na Mungu Jesus Christ is God s ONLY provision for man s sin. Through Him you can know and experience God s love and plan for your life. Yesu Kristo ndiye NJIA ya pekee ya kuondoa dhambi. Alikufa kwa ajili yako iliujue upendo na mpango wa Mungu kwa maisha yako. HE DIED IN OUR PLACE For Christ died for sins once for all, the righteous for the unrighteous, to bring you to God. (1Peter 3:18) HE ROSE FROM THE DEAD Christ died for our sins...he was buried...he was raised on the third day, according to the Scriptures...He appeared to Peter, then to the twelve. After that He appeared to more than five hundred. (1 Corinthians 15:3-6). HE IS THE ONLY WAY TO GOD Jesus said to him, I am the way, and the truth, and the life; no one comes to the Father, but through Me (John 14:6). ALIKUFA ILI ATULETE KWA MUNGU "Kwa maana Kristo naye aliteswa mara moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili yao wasio haki, ili atulete kwa Mungu" (1 Petro 3:18). YESU YUHAI "Kristo alikufa kwa ya dhambi zetu, kama yanenavyo maandiko; na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maandiko" (1 Wakorintho 15:3,4). YESU NDIYE NJIA YA PEKEE "Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi" (Yohana 14:6). This diagram illustrates that God has bridged the gulf which separates us from Him by sending His Son, Jesus Christ, to die on the cross in our place to pay the penalty for our sins. MWENYE DHAMBI SINFUL MAN JESUS GULF GOD Mwanadamu peke yake hawezi kujirudisha kwa Mungu. Mungu alimtuma Yesu afe msalabani kwa ajili ya dhambi zetu na tena awe daraja kati yetu na Mungu ili atulete kwa Mungu. Now the fourth law will tell you how you are able to know Him in your life Sasa kanuni ya nne itakuambia jinsi uwezavyo kumjua maishani mwako Swahili / English Edition Page 2

We must RECEIVE Jesus Christ as Saviour and Lord; then we can know and experience God s love and plan for our lives. Inakupasa KUMPOKEA Yesu awe Mwokozi wako na Bwana wako. Ndipo utakapojua upendo na mpango wa mungu kwa maisha yako. WE MUST RECEIVE CHRIST As many as received Him, to them He gave the right to become children of God, even to those who believe in His name (John 1:12) INAKUPASA KUMPOKEA KRISTO "Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake" (Yohana 1:12) WE RECEIVE CHRIST THROUGH FAITH By grace you have been saved through faith; and that not of yourselves, it is the gift of God; not as a result of works, that no one should boast (Ephesians 2:8,9). WE RECEIVE CHRIST BY PERSONAL INVITATION [Christ speaking] Behold, I stand at the door and knock; if any one hears My voice and opens the door, I will come in to him (Revelation 3:20). To accept Jesus Christ is: 1. To acknowledge that you are a sinner, repent, and agree that Jesus died on the cross in your place. 2. To believe that God has forgiven you all your sins. 3. To allow Jesus Christ to be in charge of your whole life so that you can live the way God wants you to live. UNAMPOKEA KRISTO KWA IMANI "Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani, ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu" (Waefeso 2:8,9). INAKUPASA KUMKARIBISHA YESU, MAISHANI MWAKO Yesu asema: "Tazama, nasimama mlangoni, nabisha, mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake (Ufunuo 3:20). Kumpokea Yesu Kristo ni: 1. Kutambua ya kuwa wewe ni mwenye dhambi na kugeuka nafsi yako kwa Mungu na kutubu. 2. Kumtegemea Mungu na atakusamehe dhambi zako zote. 3. Kumkaribisha Yesu Kristo atawale maisha yako kwa imani ili uwe kama anavyopenda. A SELF-CENTRED LIFE (HEART) This person rules himself and guides (directs) himself KRISTO YUKO NJE YA MAISHA YAKE Mtu huyu anajitawala na kujiongoza mwenyewe A CHRIST-CENTRED LIFE (HEART) Christ rules and directs him Which heart best represents your life? Which heart would you like to represent your life? The following explains how you can receive Christ. MTU AMEPOKEA KRISTO MAISHANI MWAKE Kristo anamtawala na kumwongoza Picha gani ni mfano wa maisha yako? Unapenda picha gani kuwa mfano wa maisha yako? Kama sala hii ni sawa na haja ya moyo wako, basi omba sasa na umkaribishe Kristo aingie maishani Swahili / English Edition Page 3

YOU CAN RECEIVE CHRIST RIGHT NOW BY FAITH THROUGH PRAYER God knows your heart and is not so concerned with your words as He is with the attitude of your heart. The following is a suggested prayer: Lord Jesus, I need You. Thank You for dying on the cross for my sins. I open the door of my life and receive You as my Saviour and Lord. Thank You for forgiving my sins and giving me eternal life. Take control of the throne of my life. Make me the kind of person You want me to be. Does this prayer express the desire of your heart? If it does, I invite you to pray this prayer right now, and Christ will come into your life, as He promised. UNAWEZA KUMPOKEA KRISTO SASA KWA MAOMBI UKIAMINI Mungu anaufahamu moyo wako. Yafuatayo katika sala hii yanaweza kukusaidia kumpokea Kristo ukiomba kwa moyo wa kweli. "Bwana Yesu Kristo, ninakuhitaji, mimi ni mwenye dhambi. Nimekubali kwamba nimeyatawala maisha yangu mwenyewe, na kutengana nawe. Asante kwa kifo chako msalabani kwa ajili ya dhambi zangu na kwa kunisamehe zote. Sasa nageuka na kutubu. Bwana, nakuomba uingie ndani ya maisha yangu na kunitawala kabisa. Badili maisha yangu yawe kama upendavyo wewe. Amin." Je, sala hii ni sawa na haja ya moyo wako? Kama sala hii ni sawa na haja ya moyo wako, basi omba sasa na umkaribishe Kristo aingie maishani mwako. HOW TO KNOW THAT CHRIST IS IN YOUR LIFE Did you receive Christ into your life? According to His promise in Revelation 3:20, where is Christ right now in relation to you? Christ said that He would come into your life. Would He mislead you? On what authority do you know that God has answered your prayer? (The trustworthiness of God Himself and His Word.) THE BIBLE PROMISES ETERNAL LIFE The witness is this, that God has given us eternal life, and this life is in His Son. He who has the Son has the life; he who does not have the Son of God does not have life. These things I have written to you who believe in the name of the Son of God, in order that you may know that you have eternal life (1 John 5:11-13). JINSI YA KUJUA YESU YUMO MAISHANI MWAKO Je, umemkaribisha Yesu maishani mwako? Unajuaje? Kwa hivyo yuko wapi sasa? Kumbuka Ufunuo 3:20. Yesu alisema ataingia katika maisha yako. Je, si kweli alivyosema? Je, unajuaje kuwa Mungu amesikia ombi lako? Mungu ameahidi kwamba lo lote tuombalo na kuamini litatendeka. ALIYE NA YESU, ANAO UZIMA WA MILELE "Na huu ndio ushuhuda, ya kwamba Mungu alitupa uzima wa milele na uzima huu umo katika Mwanawe. Yeye aliye naye Mwana, anao huo uzima; asiye naye Mwana wa Mungu hana huo uzima. Nimewaandikia ninyi mambo hayo, ili mjue ya kuwa mna uzima wa milele, ninyi mnaoliamini jina la Mwana wa Mungu" (Yohana 5:11-13). Thank God every day that Jesus lives in your life. Be assured that He will never leave you (Matthew 28:20). He has given you eternal life. Umshukuru Mungu kila siku kwamba Yesu anaishi katika maisha yako. Uwe na hakika kwamba hatakuacha kabisa (Mathayo 28:20). Amekupa uzima wa milele. Swahili / English Edition Page 4

DO NOT DEPEND ON FEELINGS It is possible to feel joyful one day and depressed the next. No matter how you feel Jesus does not change in your life. (Hebrews 13:5) USITEGEMEE HISIA ZA MOYO WAKO. Unaweza kujisikia leo una furaha mara kesho ukawa na huzuni. Kwa vyovyote utakavyojisikia Yesu Kristo habadiliki maishani mwako (Waebrania 13:5.) UKWELI TRUTH IMANI FAITH HISIA ZA NDANI FEELINGS 1. The truth of God has power to guide you. 2. We are joined by the power of truth through faith 3. When we obey the truth our hearts are guided correctly. 4. We depend on God and His truth, not how we feel. If we sin we repent and he forgives us. 1. Ukweli wa Mungu ndio wenye uwezo wa kutuongoza. 2. Tunaunganishwa na uwezo wa ukweli kwa imani. 3. Tunapotii ukweli, hisia zetu huongozwa vyema. 4. Tunamtegea Mungu na ukweli wake wala sio hisia zeta. Tukifanya dhambi tunatubu na yeye anatusamehe. NOW THAT YOU HAVE RECEIVED CHRIST The moment that you received Christ by faith, as an act of the will, many things happened, including the following: 1. Christ came into your life through the Holy Spirit into your heart (Revelation 3:20). 2. Your sins were forgiven (Colossians 1:14). 3. You became a child of God (John 1:12). 4. You began the great adventure for which God created you (2 Corinthians 5:14, 15, 17). Can you think of anything more wonderful that could happen to you than receiving Christ? Would you like to thank God in prayer right now for what He has done for you? By thanking God, you demonstrate your faith. Let us pray freely. Now what? KWA KUWA SASA UMEMPOKEA YESU Tangu ulipo amua kumpokea Kristo mabadiliko mengi yametokea. 1. Yesu ameingia katika maisha yako (Ufunuo 3:20). 2. Umesamehewa dhambi zako (Wakolosai 1:14). 3. Umefanyika kuwa mwana wa Mungu (Yohana 1:12). 4. Utazidi kujua makusudi ya Mungu kwa maisha yako (2 Wakorintho 5:14,15,17). Je, unafikiri kuna jambo lililo bora kuliko kumpokea Yesu katika maisha yako? Basi, labda ungependa kumshukuru Mungu sasa kwa vile alivyokurehemu. Tunathibitisha imani yetu tunapomshukuru Mungu kwa maombi. Tuombe tukiwa huru. Na sasa je? Swahili / English Edition Page 5

SUGGESTIONS FOR CHRISTIAN GROWTH Just as a small child needs to grow, so you will continue ton in your spiritual life if you follow this advice: JINSI YA KUKUA KIROHO Kama mtoto mchanga unahitaji kukua utaendelea vizuri katika maisha ya kiroho ukiyafuata mashauri yafuatayo kila siku: 1. Go to God in prayer daily (John 15:7). 2. Read God s Word daily (Acts 17:11). 3. Obey God moment by moment (John 14:21). 4. Witness for Christ by your life and words (Matthew 4:19; John 15:8). 5. Trust God for every detail of your life (1 Peter 5:7). 6. Holy Spirit allow Him to control and empower your daily life and witness (Galatians 5:16-18; Acts 1:8). 1. Zungumza na Mungu kwa maombi (Yohana 15:7). 2. Soma Neno la Mungu (Matendo 17:11). 3. Uwe mwaminifu kwa Mungu (Yohana 14:21). 4. Mshuhudie Kristo kwa matendo yako na maneno yako (Mathayo 4:19 na Yohana 15:8). 5. Umtumaini Mungu kwa kila jambo katika maisha yako (1 Petro 5:7). 6. Umruhusu Roho Mtakatifu akutawale (Wagalatia 5:16-18 na Matendo 1:8). FELLOWSHIP IN A GOOD CHURCH God s Word instructs us not to forsake the assembling of ourselves together (Hebrews 10:25). Several logs burn brightly together; but put one aside on the cold hearth and the fire goes out. So it is with your relationship with other Christians. If you do not belong to a church, do not wait to be invited. Take the initiative; call the pastor of a nearby church where Christ is honored and His Word is preached. Start this week, and make plans to attend regularly. NI MUHIMU KWA WAKRISTO KUSHIRIKIANA Biblia inatuambia tukusanyika pamoja (Waebrania 10:25). Hebu, tutumie mfano wa moto. Kuni nyingi zikilundikwa pamoja zinawaka vizuri sana, lakini ukiuondoa ukuni mmoja na kuuweka peke yake utapoa. Vile vile wewe haifai kuishi maisha ya kikristo peke yako. Ukishirikiana na watu wengine ambao wamempokea Yesu kuwa Mwokozi wao utazidi kuwa na moto wa imani. Uhudhurie kanisa ambamo watu wanaiamini Biblia kuwa ni kweli na Yesu anatukuzwa. SPECIAL MATERIALS ARE AVAILABLE FOR CHRISTIAN GROWTH. If you have come to Christ personally through this presentation of the gospel, helpful materials for Christian growth are available to you. For more information write: Campus Crusade for Christ Australia, PO Box 40, Sydney Markets, NSW 2129 phone (02) 9748 5798 Fax: (02) 9748 5799 email: materials@hereslife.com Website: www.hereslife.com Campus Crusade for Christ Australia, 2002 A.C.N. 002 310 796 Item:SwaEng4pWBw05Apr KUNA VITABU ZAIDI KUHUSU NENO LA YESU: Kama umemju Yesu baada ya kusoma hiki kitabu eha Mungu, kuna vitabu zaidi tunaweza kukutumia. Waweza kutupata kwa anuani na simu zifuatazo: LIFE Ministry PO Box 7692 Dar es Salaam TANZANIA email: lmtanzania@thelifeministrytanzania.019 Helping you reach multicultural communities with the Gospel Swahili / English Edition Page 6

You can get bi-lingual Gospel tracts in more than 70 languages from our website (www.hereslife.com/evangel/tracts.htm) Now you can have the tracts in the languages you need when you need them IN BOOKLET FORMAT Over 50 languages are now available in booklet format (10 cm by 10cm). Ideal for evangelistic campaigns and training events. Carry tracts in several languages in your pocket while you are out shopping or visiting people. To check the lastest list of languages and prices visit www.hereslife.com/orders ON CDROM Learn to Share the Gospel in over 70 languages in less than an hour. Now you can have the tracts you need to reach your neighbours and friends with the Gospel! Print off just one from your computer or photocopy a thousand. To check the lastest list of languages and prices visit www.hereslife.com/orders OTHER IDEAS FOR EVANGELISM Parables for Clowns Here are four simple tricks that you can learn in less than 30 minutes plus a tract for each trick that will get a person thinking about spiritual things. Free from: www.hereslife.com/involve/festival.htm Granny Smith Apple Evangelism Get a basket of Granny Smith apples and use this tract as a basis for telling people the Gospel story. Great for people from a Muslim background. Free from: www.hereslife.com/involve/festival.htm IDEAS FOR FOLLOW-UP Easy English Bible Studies What do you do after your friend responds to the Gospel? Here is a series of eight Bible studies in easy English to help them get a good foundation. Free from: www.hereslife.com/followup/studies.htm Other Resources Looking for a Bible in another language? Maybe you need hard to find resources in another language. Check out our links at www.hereslife.com/evangel/links.htm INVOLVEMENT Everyone can be involved in helping to reach multicultural communities with the Gospel. We offer coaching, helping you reach YOUR world with the Gospel. See outreach in action by coming along for one day of involvement in: Muslim Evangelism Festival Evangelism Creative Street Evangelism Women's Evangelistic Craft Mornings We are also looking for people to fill volunteer and fulltime positions. For details on these and other opportunities visit: www.hereslife.com/involve Reaching out with the Gospel to multi-cultural communities A ministry of Campus Crusade for Christ Australia PO Box 40, Sydney Markets, NSW 2129 Phone: +61 2 9746 3263 Email: prouty@hereslife.com Visit us at: www.hereslife.com