BARAZA LA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA (Mawasiliano yawasilishwe kwa MSAJILI)

Size: px
Start display at page:

Download "BARAZA LA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA (Mawasiliano yawasilishwe kwa MSAJILI)"

Transcription

1 BARAZA LA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA (Mawasiliano yawasilishwe kwa MSAJILI) Simu Ext. 331 Ofisi ya Msajili Nukushi: SLP 9083 DAR ES SALAAM FOMU NAMBA 11 TANZANIA MAOMBI YA USAJILI WA KITUO CHA TIBA ASILI (Kwa mujibu wa kifungu cha sheria ya Tiba Asili na Tiba Mbadala Na.23 ya mwaka 2002, kifungu. 35 cha kanuni za usajili) SEHEMU YA KWANZA (Ijazwe na Mwombaji) Fomu zijazwe katika nakala nne na itumike katika eneo moja tu 1. JINA KAMILI LA MWOMBAJI: Jina la Ukoo: Jina la kwanza:. Majina mengine: Utaifa Mkazi wa: Mkoa...Wilaya... Kata...Kijiji/Mtaa Tarehe ya Kuzaliwa Jinsi Anwani Simu Aina ya Kituo cha tiba asili kinachoombewa usajili (weka alama ya mbele ya aina ya kituo unachotaka kufungua). (a): [ ] Kilinge; Magonjwa ya kawaida au Magonjwa ya Akili au Kuunga Mifupa (b): [ ] Kiliniki; Magonjwa ya kawaida au Magonjwa ya Akili au Kuunga Mifupa (c): [ ] Hospitali; Magonjwa ya kawaida au Magonjwa ya Akili au Kuunga Mifupa (d): [ ] Duka la kuuza dawa za Asili au (e): [ ] Huduma za ukunga wa tiba asili 9. Anwani ya mahali Kituo kilipo...

2 10. Muda wa kuishi mahali hapo Elimu (rasmi) ya mumiliki wa kituo kinachoombewa usajili Elimu ya Uganga au Ukunga au utaalamu wa dawa: a. Muda wa mafunzo... b. Kurithi/kurithishwa Usajili wa muda/kudumu wa Mtaalamu anayeomba kusajili kituo. Mwaka aliosajiliwa.. Namba ya kusajiliwa Mwaka, Mtaalamu alipopata leseni., Namba ya leseni Aina ya tiba asili [ ] uganga, [ ] ukunga, [ ] uuzaji dawa za tiba asili 16. Aina ya huduma (weka alama panapohusika) [ ] Wagonjwa wa nje, [ ] Wagonjwa wa kulazwa, [ ] Kuuza dawa 17. Makadirio ya thamani ya dawa zilizopo dukani ni shilingi Ninathibitisha kuwa kwa jinsi ninavyofahamu maelezo yaliyotolewa hapo juu ni sahihi Saini ya mwombaji Tarehe 2

3 (i) SEHEMU YA PILI MAONI NA MAPENDEKEZO YA: OFISI YA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI AU MTAA Wajumbe wa Baraza la Kijiji au Mtaa linalokaa kumjadili mwombaji wa fomu hii, kabla ya kumjadili muwe kwanza mnamfahamu na mnazo kumbukumbu za kumjadili yeye mwenyewe alipoomba kusajiliwa kama mganga au mkunga au muuza dawa za tiba asili. Kama hafamiki na hakuna kumbukumbu hizo mwombaji ashauriwe kuwa apeleke fomu hii katika Kijiji au Mtaa alikosajiliwa kama mganga au mkunga au muuza dawa za tiba asili. Kwa azimio lililopitishwa na Baraza la Kijiji au Mtaa tarehe... napendekeza kuwa mwombaji aliyetajwa hapo juu asajili/asisajili (futa isiyohitajika) kituo cha tiba asili au duka dawa asili kwa sababu zifuatazo (taja sababu za kukataa) Tarehe (ii) OFISI YA AFISA MTENDAJI WA KATA Wajumbe wa Baraza la Kata linalokaa kumjadili mwombaji wa fomu hii, kwanza kabla ya kumjadili muwe nazo kumbukumbu za kumjadili yeye mwenyewe alipoomba kusajiliwa kama mganga au mkunga au muuza dawa za tiba asili. Kama hakuna kumbukumbu hizo mwombaji ashauriwe kuwa apeleke fomu hii katika Kata alikosajiliwa kama mganga au mkunga au muuza dawa za tiba asili. Kwa uamuzi uliopitishwa na Kamati ya Maendeleo ya Kata tarehe napendekeza kuwa mwombaji hapo juu asajili/asisajili (futa isiyohitajika) kituo cha tiba asili kwa sababu zifuatazo (taja sababu za kukataa)..... Tarehe. 3

4 (iii) OFISI YA MKURUGENZI WA WILAYA, MJI/MANISPAA AU JIJI Kwa uamuzi uliopitishwa na Timu ya Usimamizi wa Huduma za Afya chini ya Mganga Mkuu wa Wilaya/Mji/Manispaa au Jiji, tarehe napendekeza kuwa mwombaji hapo juu asajili/asisajili (futa isiyohitajika) kituo cha tiba asili kwa sababu zifuatazo (taja sababu za kukataa)... Tarehe. (iv) OFISI YA MGANGA MKUU WA MKOA Kwa uamuzi uliopitishwa na Timu ya Usimamizi wa Huduma za Afya chini ya Mganga Mkuu wa Mkoa, tarehe napendekeza kuwa mwombaji hapo juu asajili/asisajili (futa isiyohitajika) kituo cha tiba asili kwa sababu zifuatazo (taja sababu za kukataa) Tarehe. SEHEMU YA TATU UAMUZI: (KWA MATUMIZI YA OFISI TU) 1. Ombi hili limekubalika/limekataliwa kwa sababu zifuatazo: Saini ya Msajili. Tarehe 4

5 Fomu hii iwasilishwe na vitu au nyaraka zifuatazo:- 1. Picha nne ndogo za ukubwa wa pasipoti. 2. Mapendekezo au maoni kutoka katika Kijiji/Mtaa, Kata, Wilaya/Manispaa/Jiji na Mkoa ambako mwombaji anatolea huduma zake. 3. Malipo yasiyorudishwa: Kituo cha Mganga au Mkunga au Muuza dawa* Mijini (a) Kilinge Shillingi 25,000/= (b) Kiliniki Shillingi 55,000/= (c) Zahanati Shilingi 75,000/= (d) Kituo cha Afya Shilingi 100,000/= (e) Hospitali Shillings 305,000/= (f) Ukunga wa Tiba Asili Shillingi 55,000/= (g) *Duka au Stoo ya dawa za Tiba Asili 20,000/= 1,000,000/=* kutegemea ukubwa wa duka au stoo Kituo cha Mganga au Mkunga au Muuza dawa za asili Vijijini (a) Kilinge Shillingi 5,000/= (b) Kiliniki Shillingi 35,000/= (c) Zahanati Shilingi 45,000/= (d) Kituo cha Afya Shilingi 55,000/= (e) Hospitali Shillingi 155,000/= (f) Ukunga wa Tiba Asili Shillingi 35,000/= (g) Duka au Stoo ya dawa za Tiba Asili Shilingi 20,000/= Malipo yote yalipwe katika Akaunti ya Baraza iliyoko NMB Bank House Jina la Akaunti:- Baraza la Kitaaluma Namba ya Akaunti: NMB Bank House 5

6 *Gharama za Usajili wa Kituo cha Kuuza dawa za Tiba Asili au Tiba Mbadala kutegemea ukubwa wa kituo chake* Mtanzania anayemiliki duka la dawa za asili (Dawa za kundi la 2) (a) Dawa BIASHARA MTAJI WA BIASHARA Biashara Ndogo ndogo Usiozidi shilingi milioni 5 Dawa kundi la 2 20,000 Biashara Ndogo Biashara ya kati Kati ya shilingi milioni 5 na 20 Dawa kundi la 2 30,000 Kati ya shilingi milioni 20 na 100 Dawa kundi la 2 40,000 Kati ya shilingi milioni 100 na 200 Dawa kundi la 2 50,000 Kati ya shilingi milioni 200 na 400 Dawa kundi la 2 100,000 Kati ya shilingi milioni 400 na 800 Dawa kundi la 2 500,000 Biashara kubwa Zaidi ya shilingi milioni 800 Dawa kundi la 2 1,000,000 Mtanzania anayemiliki duka la dawa za asili vijijini, usajili wa duka lake ni shilingi 20, (b) Devices, equipment FIRM CATEGORY CAPITAL INVESTMENT Micro Up to 5 millions 20,000 Small Five and Twenty millions Twenty and Hundred millions One hundred and Two hundred millions 30,000 40,000 50,000 Medium Two hundred and Four hundred millions Four hundred and Eight hundred millions 100, ,000 Large Above eight hundred millions 1,000,000 6

MOROGORO JARIDA LA. ISSN Toleo Na.4 Julai 2005 BODI ZA AFYA ZA WILAYA - SAUTI YA WANANCHI

MOROGORO JARIDA LA. ISSN Toleo Na.4 Julai 2005 BODI ZA AFYA ZA WILAYA - SAUTI YA WANANCHI JARIDA LA MOROGORO ISSN 0856-9517 Toleo Na.4 Julai 2005 BODI ZA AFYA ZA WILAYA - SAUTI YA WANANCHI Halmashauri zote nchini zilitakiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa,

More information

MTIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA KIRINYAGA YA KATI MWAKA WA 2013

MTIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA KIRINYAGA YA KATI MWAKA WA 2013 102/3 KISWAHILI KARATASI YA TATU (FASIHI) JULAI/AGOSTI, 2013 MUDA: SAA: 2½ MTIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA KIRINYAGA YA KATI MWAKA WA 2013 Hati Ya Kuhitimu Kisomo Cha Sekondari KISWAHILI

More information

KITABU CHA MAFUNZO KWA WATOA DAWA KATIKA MADUKA YA DAWA MUHIMU

KITABU CHA MAFUNZO KWA WATOA DAWA KATIKA MADUKA YA DAWA MUHIMU JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA KITABU CHA MAFUNZO KWA WATOA DAWA KATIKA MADUKA YA DAWA MUHIMU 2007 Toleo la Tatu Kitabu hiki kimetayarishwa

More information

Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya

Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya Mamlaka, Majukumu na Uwajibikaji Jalida la Polisi Shirikishi MEI, 2017 HAKI NA USALAMA http://hakinausalama.org/ Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya Mamlaka, Majukumu

More information

John Lesson Eighteen Yohana Somo la Kumi na Nane

John Lesson Eighteen Yohana Somo la Kumi na Nane SN: John Lesson 18 Page 1 John Lesson Eighteen Yohana Somo la Kumi na Nane Read John chapter sixteen. Soma Yohana sura ya kumi na sita. 1. What "things" is Jesus referring to in these several verses? "Mambo"

More information

JINA KAMILI CHEO SIMU YA OFISINI Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwandishi Mwendesha Ofisi

JINA KAMILI CHEO SIMU YA OFISINI Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwandishi Mwendesha Ofisi OFISI YA RAIS IKULU NA SEKRETARIETI YA BARAZA LA MAWAZIRI 1 Barabara ya Barack Obama, S.L.P 9120, 11400 Dar es Salaam Simu: 022 2116898/0222116900; Nukushi: 022 2128585 Email: Ikulu@Ikulu.go.tz; Website

More information

TAARIFA YA HISTORIA YA MKOA WA MWANZA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA

TAARIFA YA HISTORIA YA MKOA WA MWANZA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA TAARIFA YA HISTORIA YA MKOA WA MWANZA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA 1.0 UTANGULIZI Taarifa ya maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru kimkoa imeandaliwa kwa kuzingatia sehemu za Historia

More information

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF PLENARY PROCEEDINGS HELD AT THE PLENARY HALL AT BOMAS OF KENYA ON 26.02.04 Page 1 of 7 CONSTITUTION

More information

Pre-Departure Program Swahili Unit 11 Worksheet UNIT 11: LOCATIVES, PREPOSITIONS, AND RELATIVE AND OBJECT INFIXES

Pre-Departure Program Swahili Unit 11 Worksheet UNIT 11: LOCATIVES, PREPOSITIONS, AND RELATIVE AND OBJECT INFIXES UNIT 11: LOCATIVES, PREPOSITIONS, AND RELATIVE AND OBJECT INFIXES TIP: READ ALOUD EVERY SWAHILI WORD TO PRACTICE YOUR SIGHT-READING FLUENCY. PART 1: LOCATIVES 1) Translate the following phrases a. Mimi

More information

HOTUBA YA JAJI MKUU MHE. PROF. IBRAHIM HAMIS JUMA SIKU YA SHERIA, DAR ES SALAAM, TAREHE 1 FEBRUARI, 2018

HOTUBA YA JAJI MKUU MHE. PROF. IBRAHIM HAMIS JUMA SIKU YA SHERIA, DAR ES SALAAM, TAREHE 1 FEBRUARI, 2018 HOTUBA YA JAJI MKUU MHE. PROF. IBRAHIM HAMIS JUMA SIKU YA SHERIA, DAR ES SALAAM, TAREHE 1 FEBRUARI, 2018 Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dr. Tulia Ackson Mwansasu,

More information

NANDI COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

NANDI COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT NANDI COUNTY ASSEMBLY 1 OFFICIAL REPORT Wednesday, 8 th August 2018 The House met at 2:30 pm [The Temporary Speaker (Hon. Chepkemei Clara) in the Chair] PRAYER QUORUM Temporary Speaker (Hon. Chepkemei):

More information

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF BOMAS OF KENYA

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF BOMAS OF KENYA CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) NATIONAL CONSTITUTIONAL CONFERENCE (NCC) VERBATIM REPORT OF PLENARY PROCEEDINGS, HELD AT THE PLENARY HALL, BOMAS OF KENYA ON 16.03.04 Page 1 of 9 CONSTITUTION

More information

ZABURI 91 mstari 1. KJV-lite VERSES

ZABURI 91 mstari 1. KJV-lite VERSES This Psalm is a talk between those bringing the Good News and an individual who responds and then with our great God who has been listening to this conversation; and at the end, He also wants to jump in.

More information

NANDI COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

NANDI COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT NANDI COUNTY ASSEMBLY 1 OFFICIAL REPORT Wednesday 11 th July, 2018 The House met at 2:30 pm [The Temporary Speaker (Hon Kipkurui Chepkwony) in the Chair] PRAYER QUORUM Hon. Temporary Speaker (Kipkurui

More information

HAKIBulletin JAJI MKUU AWAASA WAHITIMU WA SHERIA KUJIENDELEZA KITAALUMA HALIUZWI! BENKI YA DUNIA USULUHISHI MUAFAKA MAHAKAMA MAWAKILI MAHAKAMA KUU,

HAKIBulletin JAJI MKUU AWAASA WAHITIMU WA SHERIA KUJIENDELEZA KITAALUMA HALIUZWI! BENKI YA DUNIA USULUHISHI MUAFAKA MAHAKAMA MAWAKILI MAHAKAMA KUU, HAKIBulletin JARIDA LA MAHAKAMA YA TANZANIA ISSN: 00000054 Toleo Na. 2 Oktoba - Desemba, 2017 JAJI MKUU AWAASA WAHITIMU WA SHERIA KUJIENDELEZA KITAALUMA HALIUZWI! Ndani; BENKI YA DUNIA YAIPONGEZA MAHAKAMA

More information

MALAIKA: WAJUMBE WA MUNGU

MALAIKA: WAJUMBE WA MUNGU Kama unataka kujifunza zaidi njia ya Mkristo wa kweli anavyopaswa kuishi, basi ni lazima ujifunze Biblia. Ili kukusaidia; Kanise la Christadelphian Bible Mission limechapisha kijitabu kuhusu mafunzo ya

More information

Ahadi za Serikali II. Zimekusanywa na HakiElimu Agosti 2007

Ahadi za Serikali II. Zimekusanywa na HakiElimu Agosti 2007 Ahadi za Serikali II Zimekusanywa na HakiElimu Agosti 2007 Ahadi za Serikali II Zimekusanywa na HakiElimu Agosti 2007 Ahadi za Serikali II Zimekusanywa na HakiElimu Agosti 2007 Shukrani Ahadi hizi zilikusanywa

More information

VACATION BIBLE SCHOOL VBS. Newsletter. #Rebuilding through prayer, hard work & perseverance.

VACATION BIBLE SCHOOL VBS. Newsletter. #Rebuilding through prayer, hard work & perseverance. VACATION BIBLE SCHOOL VBS 2018 Newsletter #Rebuilding through prayer, hard work & perseverance. Pre-school Week 8th - 10th August Grade 1-8 13th - 17th August Pre-school Week Word from the Children s Pastor

More information

HAKIBulletin RAIS AMTEUA PROF. JUMA KUWA JAJI MKUU WA TANZANIA. Ndani: JARIDA LA MAHAKAMA YA TANZANIA

HAKIBulletin RAIS AMTEUA PROF. JUMA KUWA JAJI MKUU WA TANZANIA. Ndani: JARIDA LA MAHAKAMA YA TANZANIA HAKIBulletin JARIDA LA MAHAKAMA YA TANZANIA ISSN: 00000054 Toleo Na. 1 Julai - Septemba, 2017 RAIS AMTEUA PROF. JUMA KUWA JAJI MKUU WA TANZANIA Ndani: MAJAJI NA MAHAKIMU WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA

More information

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, MANDERA CENTRAL CONSTITUENCY, HELD AT RHAMU

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, MANDERA CENTRAL CONSTITUENCY, HELD AT RHAMU CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, MANDERA CENTRAL CONSTITUENCY, HELD AT RHAMU ON 2 JUNE 03, 2002 CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, MANDERA CENTRAL

More information

NEW LIFE IN CHRIST MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO

NEW LIFE IN CHRIST MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO NEW LIFE IN CHRIST MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO DISCIPLESHIP SERIES I FULL LIFE MINISTRY KENYA NAME 2 Purpose: Provide teachings to equip the body of Christ to become warrior disciples of Jesus Christ.

More information

TUMERITHI TUWARITHISHE

TUMERITHI TUWARITHISHE TUMERITHI TUWARITHISHE 2 3 Kampeni ya kuboresha Utunzaji wa Misitu Misitu ni rasilimali ambayo ina mchango mkubwa katika maisha ya Watanzania wengi lakini matumizi mabaya ya misitu na yaliyopitiliza pamoja

More information

Dhana ya Ndoa ya Mitala na Ndoa za Mtukufu Mtume

Dhana ya Ndoa ya Mitala na Ndoa za Mtukufu Mtume Published on Al-Islam.org (https://www.al-islam.org) Home > Dhana ya Ndoa ya Mitala na Ndoa za Mtukufu Mtume > Lifuatalo ni jibu alilotoa mtukufu mtume (S.A.W) wakati alipoulizwa na imam Ali (A.S) kuhusu

More information

NEW INTERNATIONAL VERSION

NEW INTERNATIONAL VERSION RUTH Swahili / English Page 1 RUTHU 1 RUTH 1 1:1 Ikawa zamani za Waamuzi walipoamua, kulikuwa na njaa katika nchi. Akaondoka mtu mmoja wa Bethlehemu ya Yuda, akaenda kukaa katika nchi ya Moabu, yeye na

More information

Tawasali. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags:

Tawasali. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Category: Topic Tags: Published on Books on Islam and Muslims Al-Islam.org (https://www.al-islam.org) Home > Tawasali Tawasali At-Tawassul Author(s): Seyyid Abdul Rahim Al-Musawi [3] Publisher(s): Al Itrah Foundation [4] Kitabu

More information

No. Book Name Category Type Price 1 AFYA MARIDHAWA -1 SWAHILI SUBSCRIPTION 2, AFYA NA UZIMA SWAHILI SUBSCRIPTION 8,500.00

No. Book Name Category Type Price 1 AFYA MARIDHAWA -1 SWAHILI SUBSCRIPTION 2, AFYA NA UZIMA SWAHILI SUBSCRIPTION 8,500.00 HOME HEALTH EDUCATION SERVICE MOROGORO - TANZANIA. Tel. No: +255 764 839 051 Website: www.stuhhes.or.tz PRICE LIST FOR 2018 Date : Wednesday, 28 November 2018 Time. : 11:34:10 pm SUBSCRIPTION Swahili 1

More information

WELCOME TO GOD S SERVICE ACK ST. LUKE`S PARISH UMOJA Theme: Endeavoring to touch the heart of God, (Matt 25:40). Kuazimia kumpendeza Mungu

WELCOME TO GOD S SERVICE ACK ST. LUKE`S PARISH UMOJA Theme: Endeavoring to touch the heart of God, (Matt 25:40). Kuazimia kumpendeza Mungu WELCOME TO GOD S SERVICE ACK ST. LUKE`S PARISH UMOJA 8 th after Trinity (Jumapili ya Nane baada ya Utatu) 26 th July 2015 Vision: To be a Transforming, Holistic Anglican Church 2015 Theme: Endeavoring

More information

TAUS RETREAT NEWS LETTER # 1

TAUS RETREAT NEWS LETTER # 1 TAUS RETREAT NEWS LETTER # 1 TANZANIA ADVENTISTS IN THE UNITED STATES OF AMERICA (TAUS) ANNUAL RETREAT When: July 12-16, 2017 Where: Wisconsin Academy, N2355 Duborg Rd, Columbus, WI 53925 Who Must Attend:

More information

Bismillah ar-rahman ar-raheem SHAHADA 1 YALIYOMO

Bismillah ar-rahman ar-raheem SHAHADA 1 YALIYOMO Bismillah ar-rahman ar-raheem SHAHADA 1 YALIYOMO Utangulizi wa mfasiri Utangulizi wa mfasiri wa lugha ya kiingereza Utangulizi wa mwandishi Nafasi ya kalima Ubora wa kalima Uchambuzi wa kisarufi wa tamko

More information

Gazeti la kwanza la Kiislam kutolewa kwa lugha ya Kiswahili - mwaka 1936

Gazeti la kwanza la Kiislam kutolewa kwa lugha ya Kiswahili - mwaka 1936 Gazeti la kwanza la Kiislam kutolewa kwa lugha ya Kiswahili - mwaka 1936 Mapenzi ya Mungu Mapenzi kwa wote bila chuki kwa yeyote DAR ES SALAAM TANZANIA JUZU 76 No. 189 Nukuu ya Qur an Tukufu Enyi watu!

More information

UWAJIBIKAJI NDANI YA JESHI LA POLISI

UWAJIBIKAJI NDANI YA JESHI LA POLISI UWAJIBIKAJI NDANI YA JESHI LA POLISI Muundo Thabiti Jarida la Polisi Shirikishi MEI, 2017 HAKI NA USALAMA http://hakinausalama.org/ UWAJIBIKAJI NDANI YA JESHI LA POLISI Muundo Thabiti Jarida la Polisi

More information

Khadija-tul-Kubra. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Published on Books on Islam and Muslims Al-Islam.org (https://www.al-islam.

Khadija-tul-Kubra. Author(s): Publisher(s): Translator(s): Published on Books on Islam and Muslims Al-Islam.org (https://www.al-islam. Published on Books on Islam and Muslims Al-Islam.org (https://www.al-islam.org) Home > Khadija-tul-Kubra Khadija-tul-Kubra Author(s): Sayyed A. A. Razwy [3] Publisher(s): Al-Itrah Foundation [4] Maisha

More information

DINI JE, DINI NI MUHIMU?

DINI JE, DINI NI MUHIMU? SURA YA KWANZA DINI Hivyo, Mwislamu wa kweli ni yule ambaye hufuata mafundisho ya Uislamu wakati wote. Kama tu Waislamu wa kweli, basi lazima tufuate sheria za Ki-Islamu tukiwa ndani na nje ya nyumba zetu,

More information

There is one God Mungu ni mmoja 1

There is one God Mungu ni mmoja 1 There is one God Mungu ni mmoja 1 God is Mungu ni Title Kichwa Jesus is Yesu ni Genesis 1:1 "In the beginning God (Elohim) created the heavens and the earth." Mwanzo 1: 1 "Hapo mwanzo Mungu (Elohim) aliziumba

More information

Sura al-ahzaab. Tafsiri na Maelezo. Abdilahi Nassir

Sura al-ahzaab. Tafsiri na Maelezo. Abdilahi Nassir , 33 Abdilahi Nassir 33 Sura al-ahzaab Tafsiri na Maelezo Abdilahi Nassir Haki ya kunakili imehifadhiwa na Abdilahi Nassir, 2005 Chapa ya Kwanza 2005 Kinatangazwa na MARKAZI YA AHLUL BAYT S.L.P. 84603

More information

HALI YA UISLAMU. Maelezo ya kumsaidia Mkristo aufahamu Uislamu

HALI YA UISLAMU. Maelezo ya kumsaidia Mkristo aufahamu Uislamu HALI YA UISLAMU Maelezo ya kumsaidia Mkristo aufahamu Uislamu Kosni nondiki mondo otigo e Yala Theological Centre, PO Box 765, Yala, Kenya, kod Siaya Theological Centre, PO Box 635, Siaya. Jandiko en Jim

More information

2002 Version of the Basic Talk on "Using African Proverbs, Sayings, Idioms, Riddles, Stories, Fables, Play

2002 Version of the Basic Talk on Using African Proverbs, Sayings, Idioms, Riddles, Stories, Fables, Play 2002 Version of the Basic Talk on "Using African Proverbs, Sayings, Idioms, Riddles, Stories, Fables, Plays and Songs (African Oral Literature and Culture)" I pointed out to you the stars (the moon) and

More information

Ripoti ya Warsha Ya Washikadau Ihusuyo Mpango wa Uendeshaji wa Mazingira Wilayani Rufiji Iliyofanyika Utete Rufiji Juni 2000

Ripoti ya Warsha Ya Washikadau Ihusuyo Mpango wa Uendeshaji wa Mazingira Wilayani Rufiji Iliyofanyika Utete Rufiji Juni 2000 Mradi wa Usimamizi wa Mazingira Rufiji 1 Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira, Bioanuwai, Misitu, Nyanda za Miti, na Maeneo Chepechepe Katika Delta na Bonde la Rufiji Ripoti ya Warsha Ya Washikadau Ihusuyo

More information

IFAHAMU BIBLIA KATIKA UBORA WAKE.

IFAHAMU BIBLIA KATIKA UBORA WAKE. IFAHAMU BIBLIA KATIKA UBORA WAKE. Na Ngowi Dennis. "*Natazamia Mbingu mpya na Nchi mpya* 1 YALIYOMO: SHUKRANI:... 5 UTANGULIZI KWA WASOMAJI WA BIBLIA!... 6 AGANO LA KALE... 7 AGANO JIPYA... 8 USOMAJI WA

More information

Ukweli wa hadith ya karatasi

Ukweli wa hadith ya karatasi Ukweli wa hadith ya karatasi Kimeandikwa na: Abdilahi Nassir Haki ya kunakili imehifadhiwa na Abdilahi Nassir, 2003 Chapa ya Kwanza 2003 Kinatangazwa na MARKAZI YA AHLUL BAYT S.L.P. 84603 MOMBASA (KENYA)

More information

Rainbow of Promise Journal

Rainbow of Promise Journal Rainbow of Promise 2002 03 Journal Date: 9/24/2002 Submitted by: Paul Nichols Well, we re three days out of training and have shared in ministry with two wonderful churches thus far. We ve had our share

More information

NAIROBI CITY COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT

NAIROBI CITY COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT NCCA2014/030 NAIROBI CITY COUNTY ASSEMBLY OFFICIAL REPORT First County Assembly Second Session Thursday, 9 th October, 2014 The House met at 2.30 p.m. (Mr. Speaker in the Chair) PRAYERS Hon. Speaker(Mr.

More information

WELCOME TO GOD S SERVICE A.C.K. ST. LUKE S PARISH UMOJA & TENA CHURCH QUOTE OF THE WEEK PRAYER OF THE DAY

WELCOME TO GOD S SERVICE A.C.K. ST. LUKE S PARISH UMOJA & TENA CHURCH QUOTE OF THE WEEK PRAYER OF THE DAY WELCOME TO GOD S SERVICE A.C.K. ST. LUKE S PARISH UMOJA & TENA CHURCH 16 th Sunday after Trinity (Jumapili ya Kumi na Sita baada ya Utatu) 12 th October 2014 Vision: To be a Transforming, Holistic Anglican

More information

Imâm Al-Albâni, Katika Kumsifu Mwanafunzi Wake, Muheshimiwa Sheikh Ali Hasan 1

Imâm Al-Albâni, Katika Kumsifu Mwanafunzi Wake, Muheshimiwa Sheikh Ali Hasan 1 Imâm Al-Albâni, Katika Kumsifu Mwanafunzi Wake, Muheshimiwa Sheikh Ali Hasan 1 1. Mujaddid wa zama zetu hizi, Imâm al-albâni alisema katika mwaka wa 1412 AH (1991 CE), ulipokuwa ni wakati baadhi yetu bado

More information

Imam Mahdi katika Usunni Na Ushia

Imam Mahdi katika Usunni Na Ushia Imam Mahdi final D.Kanju chk Lubumba.qxd 7/1/2011 4:45 PM Page A Imam Mahdi katika Usunni Na Ushia Kimeandikwa na: Sayyid Abdul Rahim al-musawi na Sheikh Abdul Karim al-bahbahani Kimetarjumiwa na: Hemedi

More information

Ukoo Wake Na Kunasibika Kwake:

Ukoo Wake Na Kunasibika Kwake: Ukoo Wake Na Kunasibika Kwake: Yeye ni Sheikh wa ki-salafi, kisha ni mfuasi wa riwaya na mtunzi wa vitabu vingi vya ki-islamu na vya uswahihishaji, Alî Ibn Hasan Ibn Alî Ibn Abdil-Hamîd Al-Ya fî, mnasaba

More information

Kuishi Maisha Tele. Katika mwanzo wa mwaka mpya, Niliwapa changamoto

Kuishi Maisha Tele. Katika mwanzo wa mwaka mpya, Niliwapa changamoto UJUMBE WA URAIS WA KWANZA, JANUARI 2012 Na Rais Thomas S. Monson Kuishi Maisha Tele Katika mwanzo wa mwaka mpya, Niliwapa changamoto Watakatifu wa Siku za Mwisho kote kufanya uchunguzi muhimu wa kibinafsi

More information

AHMAD AL-RAYSUNI. SWAHILI VERSION idara ya Lugha na ukalimani ya Chuo Kikuu cha waislamu cha Morogoro. IIIT Mfululizo wa Vitabu kwa Muhtasari

AHMAD AL-RAYSUNI. SWAHILI VERSION idara ya Lugha na ukalimani ya Chuo Kikuu cha waislamu cha Morogoro. IIIT Mfululizo wa Vitabu kwa Muhtasari AHMAD AL-RAYSUNI AL-SHUURA Kanuni ya Qur an ya Kufanya Uamuzi kwa Kushauriana SWAHILI VERSION idara ya Lugha na ukalimani ya Chuo Kikuu cha waislamu cha Morogoro IIIT Mfululizo wa Vitabu kwa Muhtasari

More information

Kitabu Changu cha Mistari ya Biblia Swahili

Kitabu Changu cha Mistari ya Biblia Swahili Kitabu Changu cha Mistari ya Biblia Swahili Compiled by Sandy Harris Designed by Norma Hays This book is lovingly dedicated to our precious grandchildren, the joys of our hearts. It is our prayer that

More information

Ezra 3 Lessons Download or Read Online ebook ezra 3 lessons in PDF Format From The Best User Guide Database

Ezra 3 Lessons Download or Read Online ebook ezra 3 lessons in PDF Format From The Best User Guide Database Ezra 3 Lessons Free PDF ebook Download: Ezra 3 Lessons Download or Read Online ebook ezra 3 lessons in PDF Format From The Best User Guide Database of Ezra (Ezra 7:28; and repeatedly in Ezra 8-9).. (also

More information

Ujasiri wa Kimaadili. Mojawapo ya madhumuni ya maisha ya duniani

Ujasiri wa Kimaadili. Mojawapo ya madhumuni ya maisha ya duniani Ujumbe wa Urais wa Kwanza, Machi 2010 Na Rais Henry B. Eyring Mshauri wa Kwanza katika Urais wa Kwanza Ujasiri wa Kimaadili Mojawapo ya madhumuni ya maisha ya duniani ni kumuonyesha Mungu kwamba tutatii

More information

HAKIKA YA AHMADIYYA. Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania

HAKIKA YA AHMADIYYA. Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania HAKIKA YA AHMADIYYA Watu wengi hawathamini ukweli. Hata hawashuhguliki kwa kuupeleleza wenyewe. Hata hivyo ukweli, hususa unohusika na Dini, ni muhimu sana kwa kila mwanadamu kwa ajili ya wokovu wake.

More information

Cultural Considerations Tanzania Excursion

Cultural Considerations Tanzania Excursion Cultural Considerations Tanzania Excursion The Roots of Change Cultural Considerations Table of Contents Tanzania Cultural Considerations... 3 Swahili Language Key Phrases... 4 Tribes of Tanzania... 5

More information

February 9, 2017 COUNTY ASSEMBLY DEBATES 16 MOMBASA COUNTY ASSEMBLY

February 9, 2017 COUNTY ASSEMBLY DEBATES 16 MOMBASA COUNTY ASSEMBLY MOMBASA COUNTY ASSEMBLY HANSARD REPORT Thursday, 9 th February, 2017 The House met at 2:45pm. (Deputy Speaker (Hon. Mswabah Rashid) in the Chair) PRAYERS Deputy Speaker (Hon. Mswabah Rashid): Members let

More information

BARUA YA TATU KWA SHEIKH UBAYD AL-JÂBIRĪ [AULIZWA SHEIKH UBAYD] NA Sheikh Sālim at-twawîl (hafidhahullāh)

BARUA YA TATU KWA SHEIKH UBAYD AL-JÂBIRĪ [AULIZWA SHEIKH UBAYD] NA Sheikh Sālim at-twawîl (hafidhahullāh) BARUA YA TATU KWA SHEIKH UBAYD AL-JÂBIRĪ [AULIZWA SHEIKH UBAYD] NA Sheikh Sālim at-twawîl (hafidhahullāh) 8 December, 2014 Posted by Salafibayaan ClarificationsRefutations 1223 views Nauliza suali: Muheshimiwa

More information

TALKING ABOUT ONESELF TO ACT IN THE WORLD: A SWAHILI AUTOBIOGRAPHY (SHAABAN ROBERT, MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA HAMSINI

TALKING ABOUT ONESELF TO ACT IN THE WORLD: A SWAHILI AUTOBIOGRAPHY (SHAABAN ROBERT, MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA HAMSINI SWAHILI FORUM 19 (2012): 106-116 TALKING ABOUT ONESELF TO ACT IN THE WORLD: A SWAHILI AUTOBIOGRAPHY (SHAABAN ROBERT, MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA HAMSINI [ MY LIFE AND AFTER FIFTY YEARS ])1 XAVIER GARNIER

More information

Vitendawili Vya Swahili

Vitendawili Vya Swahili Vitendawili Vya Swahili Free PDF ebook Download: Vitendawili Vya Swahili Download or Read Online ebook vitendawili vya swahili in PDF Format From The Best User Guide Database Muundo wa vitendawili umejengwa

More information

Uwezo Kenya National Learning Assessment 2014

Uwezo Kenya National Learning Assessment 2014 Uwezo Kenya Nationa Learning Assessment TEST BOOKLET Promoting Learning in East Africa KENYA Uwezo Kenya at Twaweza, P.O. Box 13784-00800 Nairobi Te: +254 715 563 720 / +254 786 563 722 Emai: kenya@uwezo.net

More information

EVANGELISM FOR CHRIST UINJILISTI KWA AJILI YA KRISTO

EVANGELISM FOR CHRIST UINJILISTI KWA AJILI YA KRISTO EVANGELISM FOR CHRIST UINJILISTI KWA AJILI YA KRISTO FISHERS OF MEN MINISTRIES CHURCH NAME 2 Fishers of Men Ministries uses a Christ centered approach to transform one life at a time by feeding their body

More information

NGUO-NYINGI MKOTI: MWANZISHAJI WA MJI WA NGOJI (ANGOCHE)

NGUO-NYINGI MKOTI: MWANZISHAJI WA MJI WA NGOJI (ANGOCHE) AAP 60 (1999). 121-130 NGUO-NYINGI MKOTI: MWANZISHAJI WA MJI WA NGOJI (ANGOCHE) THILO C.. SCHADEBERG The title of this paper gives three variants of what historically is the same name: Koti = the present-day

More information

Proofs Of A Conspiracy Against All The Religions And Governments: The Secret Meetings Of Freemasons, Illuminati And Reading Societies By John Robison

Proofs Of A Conspiracy Against All The Religions And Governments: The Secret Meetings Of Freemasons, Illuminati And Reading Societies By John Robison Proofs Of A Conspiracy Against All The Religions And Governments: The Secret Meetings Of Freemasons, Illuminati And Reading Societies By John Robison Historian - Did Hitler Have Reason To Hate The Jews?

More information

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian ISSN: 1570-0178 Volume 2, Issue 8 (6 June 2000) The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian Introduction First Part 1 First Part 2 Second Part

More information

HOLY COMMUNION ACCORDING TO THE KENYAN RITE

HOLY COMMUNION ACCORDING TO THE KENYAN RITE HOLY COMMUNION ACCORDING TO THE KENYAN RITE HYMN The Lord be with you And also with you. The earth is the Lord s and all that is in it Let the heavens rejoice and the earth be glad. Our help is in the

More information

Je, Umesikia Juu Ya Kanuni Nne Za Kiroho?

Je, Umesikia Juu Ya Kanuni Nne Za Kiroho? Je, Umesikia Juu Ya Kanuni Nne Za Kiroho? Have You Heard of the Four Spiritual Laws? Just as there are physical laws that govern the physical universe, so are there spiritual laws which govern your relationship

More information

Ukweli Uliopotea - Sehemu Ya Tatu

Ukweli Uliopotea - Sehemu Ya Tatu Published on Books on Islam and Muslims Al-Islam.org (https://www.al-islam.org) Home > Ukweli Uliopotea - Sehemu Ya Tatu Ukweli Uliopotea - Sehemu Ya Tatu Waliopotosha Ukweli Author(s): kh Mu tasim Sayyid

More information

The Lord be with you And with your spirit

The Lord be with you And with your spirit There are many ways you can add a little flavour of Kagera to your service. Try using some Swahili prayers and responses, or sing some Swahili songs. It's very easy to read Swahili; it's entirely phonic,

More information

Zanzibar itafutika-mwanasheria

Zanzibar itafutika-mwanasheria Hili la kadhia ya Masheikh... www.annuurpapers.co.tz au facebook:annuurpapers@yahoo.com Sauti ya Waislamu Dk. Shein hasalimiki 16 ISSN 0856-3861 Na. 1199 DHULHIJJA 1436, IJUMAA, OKTOBA 16-22, 2015 BEI

More information

In Search of Contact: Rhetorical Questions in the Communicative Frame of the Funeral Sermon

In Search of Contact: Rhetorical Questions in the Communicative Frame of the Funeral Sermon In Search of Contact: Rhetorical Questions in the Communicative Frame of the Funeral Sermon by Nganga Simon nganga_simon@ymail.com Department of Linguistics and Foreign Languages Moi University, Eldoret,

More information

Published on Al-Islam.org ( Home > Mahari ya Damu > Mahari ya Damu. Mahari ya Damu

Published on Al-Islam.org (  Home > Mahari ya Damu > Mahari ya Damu. Mahari ya Damu Published on Al-Islam.org (https://www.al-islam.org) Home > Mahari ya Damu > Mahari ya Damu Mahari ya Damu Authors(s): Ustadh Shahid Murtadha Mutahhari [3] Translator(s): S. Muhammad Ridha Shushtary [4]

More information

YA AL HABBIB SAYYEID

YA AL HABBIB SAYYEID YA AL HABBIB SAYYEID . NA Yamefasiriwa kwa Kiswahili na: Al habbib Sayyeid Umar Bin Sayyeid Abdallah (Mwinyi Baraka). First addition. 03 Sept, 2005. 28 Rajab, 1426. HR. i MANAQIB YA AL-MAARUF Baada ya

More information

Daniel and Andrea Ryder CRU Buenos Aires, Argentina

Daniel and Andrea Ryder CRU Buenos Aires, Argentina Daniel and Andrea Ryder CRU Buenos Aires, Argentina My wife Andrea and I, along with our children David, Nicole, and Camila serve God with Cru; and after 35 years in several ministry roles such as campus

More information

2

2 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 (CKRC) VERBATIM REPORT OF 40 CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, WAJIR SOUTH CONSTITUENCY HELD AT SABULI-

More information

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS IJARA CONSTITUENCY AT IJARA BARAZA PARK

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS IJARA CONSTITUENCY AT IJARA BARAZA PARK CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS IJARA CONSTITUENCY AT IJARA BARAZA PARK 2 05 TH JUNE 2002 CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, IJARA, HELD AT IJARA

More information

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC)

CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMISSION (CKRC) VERBATIM REPORT OF CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, LAGDERA CONSTITUENCY HELD AT LIBOI ON 8 TH JUNE, 2002 2 CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, LAGDERA CONSTITUENCY,

More information

Where is Africa? 2. What is African heritage? 3. What is the African heritage in the Bible? 6. What are African ways of worship?

Where is Africa? 2. What is African heritage? 3. What is the African heritage in the Bible? 6. What are African ways of worship? A is for Africa: Celebrating the A in A.M.E. Zion What is the A in A.M.E. Zion? 1 Where is Africa? 2 What is African heritage? 3 What is the African heritage in the Bible? 6 What are African ways of worship?

More information

Lyle and Jette Hall Reply-To: To:

Lyle and Jette Hall Reply-To: To: New Horizons Church Hall Summer News 2017 1 message Lyle and Jette Hall Reply-To: jettelylehall@yahoo.com To: Office.newhorizonskelso@gmail.com

More information

Dear Scott and faith Radio Listeners, Greetings in Jesus name. Happy Easter.

Dear Scott and faith Radio Listeners, Greetings in Jesus name. Happy Easter. Dear Scott and faith Radio Listeners, Greetings in Jesus name. Happy Easter. Voice of Hope Ministries, is a ministry raised by God to bring hope and touch the lives of people who are NEGLECTED in Tanzania

More information

MRADI WA METHALI (SANALASKUJA PROJEKTI)

MRADI WA METHALI (SANALASKUJA PROJEKTI) MRADI WA METHALI (SANALASKUJA PROJEKTI) Tehtävä Tehtävän nimi Oppitunnin tavoite Mitä tarvitaan? Teach the four language skills of speaking, writing, listening and reading. Familiarize with the culture

More information

(Cell) (Cell) (Cell) (Landline) (Cell)

(Cell) (Cell) (Cell) (Landline) (Cell) Rose Short (7/7) and Fae Miller (7/8) celebrate their birthdays this week! Please remember them on their special days by sending a card or offering a special prayer of thanks for them. Directory Update

More information

Toleo la kwanza: June, 2007 (Jamaadi Aakhar, 1428) Vitabu ii.

Toleo la kwanza: June, 2007 (Jamaadi Aakhar, 1428) Vitabu ii. . i Toleo la kwanza: June, 2007 (Jamaadi Aakhar, 1428) Vitabu 1000. First addition All rights reserved ii. No. Yaliyomo: Ukurasa. 1. Yaliyomo iii. 2. Utangulizi (Mqaddima Al Habib Syd. Omar.. v. 3. Dibaji

More information

I Peter 4:12-19 Suffering with a Blessing

I Peter 4:12-19 Suffering with a Blessing I Peter 4:12-19 Suffering with a Blessing When people treat us badly, we are surprised, why do this to me? When we face persecution, it is normal to be sad and depressed, it is normal to be ashamed Peter

More information

Innovations and new trends in Small Christian Communities (SCCs) in Africa today By Joseph Healey, M.M.*

Innovations and new trends in Small Christian Communities (SCCs) in Africa today By Joseph Healey, M.M.* Innovations and new trends in Small Christian Communities (SCCs) in Africa today By Joseph Healey, M.M.* Abstract: Today there are over 90,000 Small Christian Communities (SCCs) in eight countries of Eastern

More information

Impact of Teaching Civic and Religious Values in the National Curriculum on improving Social Responsibility in Tanzania: The Analytical View

Impact of Teaching Civic and Religious Values in the National Curriculum on improving Social Responsibility in Tanzania: The Analytical View Impact of Teaching Civic and Religious Values in the National Curriculum on improving Social Responsibility in Tanzania: The Analytical View Hamdun Sulayman Al-Maktoum College of Engineering and Technology

More information

Yassarnal Quran English

Yassarnal Quran English Yassarnal Quran English Free PDF ebook Download: Yassarnal Quran English Download or Read Online ebook yassarnal quran english in PDF Format From The Best User Guide Database English translation by. A.Y.

More information

REPUBLIC OF KENYA COUNTY ASSEMBLY OF KILIFI THE HANSARD. Wednesday, 29 th March, 2017

REPUBLIC OF KENYA COUNTY ASSEMBLY OF KILIFI THE HANSARD. Wednesday, 29 th March, 2017 March 29, 2017 COUNTY ASSEMBLY DEBATES 1 REPUBLIC OF KENYA COUNTY ASSEMBLY OF KILIFI THE HANSARD Wednesday, 29 th March, 2017 The House met at the County Assembly Chamber, Malindi Town, at 2.30 p.m. [The

More information

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM DEPARTMENT OF POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION RESEARCH AND EDUCATION FOR DEMOCRACY IN TANZANIA (REDET) 20 TH REDET RMC WORKSHOP POSSIBILITY AND RATIONALE OF ESTABLISHING

More information

I Peter 2:9-12 Who Are You?

I Peter 2:9-12 Who Are You? I Peter 2:9-12 Who Are You? Who are you? I mean, what is your background? Where do you come from? It is your personal history, it makes up who you are today When a person becomes a Christian, all of that

More information

Youth and Faith A collection of texts on the subject A collaborative Magazine Content

Youth and Faith A collection of texts on the subject A collaborative Magazine Content Youth and Faith A collection of texts on the subject A collaborative Magazine Content Introduction - English... 3 Introduksjon - Norsk:... 4 Utangulizi - Kiswahili:... 5 Importance of faith to youth...

More information

ARCHETYPAL MOTIFS IN SWAHILI ISLAMIC POETRY: KASIDA YA BURUDAI

ARCHETYPAL MOTIFS IN SWAHILI ISLAMIC POETRY: KASIDA YA BURUDAI ARCHETYPAL MOTIFS IN SWAHILI ISLAMIC POETRY: KASIDA YA BURUDAI BY KINE ENE WA MUTISO A thesis submitted in fulfilment of the requirements for the degree of Doctor of Philosophy in the University of Nairobi.

More information

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian 1 sur 25 05.02.2006 0:37 ISSN: 1570-0178 Volume 2, Issue 6 (8 October 1999) The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian Introduction First Session,

More information

Immaculate Conception Church

Immaculate Conception Church Immaculate Conception Church Parish Mission Statement Immaculate Conception Catholic Church celebrates the Eucharist and proclaims the gospel in worship, through our love of God and for each other, and

More information

AND REACTION IN SWAHILI POETRY.

AND REACTION IN SWAHILI POETRY. REVOLUTION AND REACTION IN SWAHILI POETRY. M. M. MULOKOZI** Swahili poetry is that poetry, written or oral, which has been or is being produced in the Swahili language by East Africans. Swahili poetry

More information

NEW INTERNATIONAL VERSION

NEW INTERNATIONAL VERSION HOSEA Swahili / English Page 1 Osee 1 Hosea 1 1:1 Hili ndilo neno la Bwana lililomjia Hosea, mwana wa Beeri, siku za Uzia, na Yothamu, na Ahazi, na Hezekia, wafalme wa Yuda; na siku za Yeroboamu, mwana

More information

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian 1 sur 38 05.02.2006 0:28 Archives of Popular Swahili logo to the LPCA home page ISSN: 1570-0178 Volume 2, Issue 2 (11 November 1998) to the APS home page The history of Zaire as told and painted by Tshibumba

More information

I Peter 5:1-4 Good Leaders

I Peter 5:1-4 Good Leaders I Peter 5:1-4 Good Leaders In a time when power is abused in the world When powerful people can do anything as long as the company is running well The leaders of the church are to act differently Peter

More information

ATONEMENT IN AFRICAN PLURALISTIC CONTEXT: EXAMPLES FROM THE LUHYA OF WESTERN KENYA

ATONEMENT IN AFRICAN PLURALISTIC CONTEXT: EXAMPLES FROM THE LUHYA OF WESTERN KENYA Perichoresis Volume 14. Issue 1 (2016): 21-39 DOI: 10.1515/perc-2016-0002 ATONEMENT IN AFRICAN PLURALISTIC CONTEXT: EXAMPLES FROM THE LUHYA OF WESTERN KENYA WABOMBA SYCHELLUS NJIBWAKALE * Emmanuel Christian

More information

Mission, Church and Tradition in Context

Mission, Church and Tradition in Context Mission, Church and Tradition in Context Emic Perspectives on the Encounter and Tension between Traditional Bena Religion and Lutheran Christianity in Ulanga, Tanzania PHD-dissertation Faculty of Theology

More information

The Zephyr. https://w.facebook.com/fourwindspresbytery Send us your links! Fran Raven,

The Zephyr. https://w.facebook.com/fourwindspresbytery Send us your links! Fran Raven, The Zephyr Submit pictures at 150 dpi resolution, (this would a higher setting then the default settings on most digital devices) and text in Word or PDF file format for best results. https://w.facebook.com/fourwindspresbytery

More information

CHRISTIAN-MUSLIM RELATIONS IN TANZANIA: A THREAT TO FUTURE STABILITY AND PEACE?

CHRISTIAN-MUSLIM RELATIONS IN TANZANIA: A THREAT TO FUTURE STABILITY AND PEACE? CHRISTIAN-MUSLIM RELATIONS IN TANZANIA: A THREAT TO FUTURE STABILITY AND PEACE? Japhace Poncian Assistant Lecturer and Coordinator, Department of History, Political Science and Development Studies, Mkwawa

More information

Christian-Muslim Relations in Tanzania: A Threat to Future Stability and Peace?

Christian-Muslim Relations in Tanzania: A Threat to Future Stability and Peace? Christian-Muslim Relations in Tanzania: A Threat to Future Stability and Peace? Japhace Poncian Assistant Lecturer, Department of History, Political Science and Development Studies, Mkwawa University College

More information